Uchaguzi 2020 Sitaki kuwa mnafiki. WanaCCM awamu hii tunaburuzwa na Mwenyekiti

Trust me machafuko si jambo unalolitaka kama una watoto wanaoenda shule na una biashara inayohitaji utulivu wa jamii. Kumbuka siasa ni biashara za watu wengine, ss kuharibiana biashara sababu biashara ya siasa imekaa pabaya si sawa. Hii nchi hata uhuru watu hawakumwaga damu.
Ni kweli kabisa, waambieni hao watawala waheshimu watu, hata kule Palestina hawapendi kujilipua na mabomu (suicide)
 
Back
Top Bottom