Sitaki kuolewa

message sent and delivered kwa yule alokuja huku kumuomba msamaha kuwa hataki na hana mpango wa kuolewa naye so asipoteze muda wake atafute fursa nyingine huh huh!!
 
we mubayaaa!!" unamtoa povu bidada wa watu. sheria za jf zizingatiwe kabla sijawareport. lol

Ha ha ndo zake huyo analianzisha ukimbana anakuja kama mbogo.
 
Nilikuwa sijaiona, ndo naingia.sasa.

My wiiii, mke wetu, waambie wapunguze munkari hadi mfikie maamuzi na msweet wako bana.

Najiuliza hivi Kongosho hajaiona hii sredi??
 
Last edited by a moderator:
kama haya ulioandika hapa yanatoka moyoni mwako na unamaanisha basi wewe unajitambuwa na ni mke bora kabisa hapa duniani. nimependa brain yako kudos.

Umeiona fursa hiyo dogo?

Ikamate basi twen zetu...lol!!

Babu DC!!
 
Husninyo nahic ntapewa ban ngoja nilale..hv kusoma nje ya nchi dili eehh husninyo?? Ila nna mashaka kuna shouga angu alisoma huko nje masters saiv ni secretary apa bongo..nalala jamaniiii
 
Husninyo nahic ntapewa ban ngoja nilale..hv kusoma nje ya nchi dili eehh husninyo?? Ila nna mashaka kuna shouga angu alisoma huko nje masters saiv ni secretary apa bongo..nalala jamaniiii

Nisaidie.
 
Inawezekana pia hujapata wa kukuoa .haiwzekani eti una mtu anakupenda..serious hlf akutangazie ndoa ukatae wkt wadogo zako wanaolewa....hhee eeehhh kazi ipo
labda bado ansasoma nipita mie
 
Husninyo nahic ntapewa ban ngoja nilale..hv kusoma nje ya nchi dili eehh husninyo?? Ila nna mashaka kuna shouga angu alisoma huko nje masters saiv ni secretary apa bongo..nalala jamaniiii

kusoma nje deal shogangu ila inategemea umesoma kwa msaada wa loan board au kwa pesa yako mwenyewe!!!
sina uhakika kama kusoma india napo deal.... lol! nahisi wahindi walikuwa hawapumui huko.
 
amu naomba tulale kesho ntaskia uchungu sana kuona mmoja wetu au wote tuna ban..ila una maneno amu umenishindaaa..
Shouga kipenzi Rapunzel pumzika sasa umechoka
 
Kongosho uuwwiii uuwwii tuache unatuua mbavu..yani km namuona shoga kidawa ndo anasema maneno hayo..lol
 
kusoma nje deal shogangu ila inategemea umesoma kwa msaada wa loan board au kwa pesa yako mwenyewe!!!
sina uhakika kama kusoma india napo deal.... lol! nahisi wahindi walikuwa hawapumui huko.

Ha ha ha ha ada yenyewe mwaname alisema kamchangia humu ndani.
Ha ha shosti mi India naenda kula Jerebi tu darasani kwangu failers wote walienda India na Malaysia.
Wengine mie nliwasaidia kutengeneza cheti za form 6 wakasome wakapoteze mda huo.
 
Nadhani haya umeyaandika kwa jaziba tu, kuna binadamu ambaye hataki kuolewa? Tena umri upo 30s Wazungu wenyewe wanataka sana kuolewa sema waoaji hawapo. Nakushauri ujipange uoe kama hutaki kuolewa! Maana kaheshima kanaonekana hapo hata wewe hapo haulali usingizi mzuri maana ukifika ofisini inakuta wenzio wanaongelea mambo ya familia sasa wewe utaongelea nn?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…