Sitaki kuolewa

a.rahabu ngoja ngoma igonge 45 ndio utajua watu wanaolewaga au....
na hadi unafika 45 sijui unakua wasubiri mimi hasa
 
Last edited by a moderator:

Nimekupenda ghafla.

1. Do you.
2. Let others do them.
3. When 1 and 2 conflict, pick 1.

Hakuna atakayeishi maisha yako, ni wewe tu.
 
love on the air

Love on the air
I keep transmitting but reception is hazy
I don't get an answer, keep sending it fast
Always knew it was crazy to put my love on
the air
No one will hurt me again
No one will cause me to lie
No one will control me by pain
No one will cause me to cry
I was looking for love in wandering eyes
Like a ship trying to fix on a beacon
I learned how to sigh on the ribbon and
wires
It's a habit that's so hard to weaken
No one will ever manipulate
Make me promise to do or die
No one can make me hesitate
What can I lose if they try
I was looking for love like the very first time
Didn't realize love never left me
Contradicted, conspired, I connived and
designed
Nothing on earth could arrest me
Reception is hazy
When you put your love on the air
Always knew it was crazy
To put my love on the air
But I only communicate
When I put my love on the air
You don't have to consummate
Love on the air
No one will hurt me again
No one will cause me to lie
No one will control me by pain
No one will cause me to cry
I was looking for love in wandering eyes
Like a ship trying to fix on a beacon
I learned how to sigh on the ribbon and
wires
It's a habit that's so hard to weaken
I put my love on the air
Love
 

Kama unatokea katika mikoa inayopenda kuoza inawezekana hao ndugu zako wanajaribu kujikumbusha hizo traditions zenu!
 
kama haya ulioandika hapa yanatoka moyoni mwako na unamaanisha basi wewe unajitambuwa na ni mke bora kabisa hapa duniani. nimependa brain yako kudos.

Lara moko pitia hapa
 
Ndugu mamito wanakutakia mema tu, ila kwa mistali uliopangilia hata muoaji atakuogopa, niayao km una boy friend mpe heshima na uonyeshe kumthamini ili atangaze ndoa, ndoa haiji kwa kujua saana masharti ya kupenda ila kwa kutekeleza pendo kwa umpendae. Kuolewa itabaki kuwa palepale ina leta heshima, punguza kujua umri unasonga huo kalaga baho.
 
Ni sawa,si vema kuolewa kwa mkumbo,ila look it on another side,kunaweza kuwa na ujumbe flani muhimu tu.Labda uanze kujiuliza kwanini hujaolewa mpaka saiv?sin kwa ubaya,ni katika kujitathimimi tu!
 
Asanteee....umependezesha weekend yangu
 
Lara moko pitia hapa

why? unadhani Lara 1 ana tatizo na mimi kumpa credit mwanamke mwingine wakati she deserves? we are not that much childish, Lara 1 ni mwanamke mwenye akili nyingi kuliko mnavyomsoma kwenye fun thread zake.
 
Humu kila mtu huwa ni mtaalamu wa masahibu ya wengine!

Ha ha humu ndani kwa drama ni balaa.
Mara ameolewa mara ana mchumba humu wamegombana mara ana watoto wawili mara anasoma indiq mara anauza nywele za maiti mara kansas aaaaa.
Ila nachoweza sema ni mijitu imeshakula mipilipili ya bure na mivitunguu maji huko asa inakuja humu kujikuna.
 

Attachments

  • 1404670357258.jpg
    66.5 KB · Views: 238
amu umenipa rahaaaa mara gafla leo hajaolewa wadogo zake ndo wameolewa, kavurugwa hana lolote huyo..Husninyo uko wapi shogaaaa naona kwny post yake ulicomment
 
Wanakwambia kuolewa hutunza heshima na ni muhimu ila sio lazima
 
Ok. Sababu zako zote ni za msingi,labda utuambie unahitaji mume wa aina gani tukusaidie.because tunakubaliana nawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…