Sitaki kuolewa

Usiolewe kwa sababu yoyote kati ya hizo ulizoziweka hapo juu. Olewa kwa sababu umempata mtu ambaye mmependana naye yeye anapenda kuwa nawe kama mkewe na wewe unapenda kuwa naye kama mumeo.

na hiyo ndo sababu inayojitosheleza. shkamoo BAK.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Usiolewe kwa sababu yoyote kati ya hizo ulizoziweka hapo juu. Olewa kwa sababu umempata mtu ambaye mmependana naye yeye anapenda kuwa nawe kama mkewe na wewe unapenda kuwa naye kama mumeo.

That's what am talking about....sitaki kuolewa kwa sababu nilizotaja hapo juu
Nitaolewa muda ukifika
 
Awwwwwwww am so happy right now msweet♥♥♥♥ more than you do
 
Awwwwwwww am so happy right now msweet♥♥♥♥ more than you do

Meeting you was the best moment of my life. Asking you out was the best decision of my life ilikuwa like wow!!Kuwa na wewe is the best thing that has ever happened to me.
Tulia msweet wangu
 
Hakuna msichana hata mmoja asietaman kuolewa ila kitendawili huja unaolewa na nani ndo maana mtu anaamua kubuy time coz ndoa ni zaidi ya shule ukichemka umechemka kweli there is no turning back so olewa when u find the right man
 
Napenda watu wenye misimimo isiyoyumba na ambayo haiwaumizi wengine! Fanya kitu kwakuwa umeamua ni si kwasababu 1,2,3...!!!!!:thumbup::thumbup::thumbup:
 
wapo weng wameolewa na wakiwa na umri zaid ya 30.tena had 45 m2 unaolewa2
 
mungu hakukosea kukuleta hivyo amin jinsia yako ipo hata kama itachelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…