Sitaki kuolewa

Sitaki kuolewa

Inawezekana pia hujapata wa kukuoa .haiwzekani eti una mtu anakupenda..serious hlf akutangazie ndoa ukatae wkt wadogo zako wanaolewa....hhee eeehhh kazi ipo

I have been in relationship ni mwaka na ushee sasa nitaolewa kwa makubaliano yangu mimi na partner wangu kwamba tuko tayari kwa ndoa
Sio mtu mwingine anipangie

Ni kuulize swali?
 
bf wako anajua? usije ukawa unampotezea mwenzio muda.
 
Nimependa msimamo wako na usiudhike ni maadili yamewaathiri...ukisikiliza sana ya watu utawehuka!!
 
Hivi kumbe ndoa ni utayari wa mwanamke na mwanaume? Nnachojua ndoa ni utayari wa mwanaume then anamwambia mwanamke ndoa inafwata..sasa wewe kuwa tayari mwambie mwanaume akuoe km hayuko tyr uone km kuna ndoa..haya niulize swali Rapunzel
 
Inawezekana pia hujapata wa kukuoa .haiwzekani eti una mtu anakupenda..serious hlf akutangazie ndoa ukatae wkt wadogo zako wanaolewa....hhee eeehhh kazi ipo

HAHAHAAAAAAAAAA! Girl you are RUDE! Jina limekutoshea kabisaa!
 
Dah nkasema mamaaa inaman a undugu ndo unatutoka hivihivi? Khhhaaa we Rapunzeli
Siku engine uachege kutushtua hapa presha ishapanda!!!
we acha tu!
nilibaki nachanganyikiwa sijui mkono ushike moyo au ushike simu
bora Kongosho anelala, sijui nani angemuuguza mwenzie!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha ha mahondaw shost angu..sna tena hata kumbukumbu nae.nlye nae sasa anantosha.nktaka kuolewa takualka..ha ha ha ha.. Lol
Mzma lakn ww, hauonekan bidada angu.

nipo bize kidogo namalizia kuvuna tumazao twangu....teh shost ndo kuachana kimyakimya au kwa notice??? much congrats kwa kutua mzigo mzito mamaa.
 
Last edited by a moderator:
its wether Excel!

I honour your point madam.

but please consider this : whether from me, and it means this;

whether
ˈwɛðə/
conjunction
conjunction: whether

  • expressing a doubt or choice between alternatives.
    "he seemed undecided whether to go or stay"

    • expressing an enquiry or investigation (often used in indirect questions).
      "I'll see whether she's at home"


    • indicating that a statement applies whichever of the alternatives mentioned is the case.
      "I'm going whether you like it or not"


      Can you please give me what wether of yours mean?





 
i gat u super woman,by da way kwanini unamzingua shem?kuna siku kaja hapa na uzi mzito
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom