Sitaki kuolewa

pole sana,bt ts tru umri unaenda na kwa wanawake kuna limit ya kupata mtoto dats why wanakukumbusha b4 danger zone,,:cool2:
 
bado kidoncho nikupigie ila simu ilikuwa haina vocha. nway, leo usiku tunataraji vurumai lingne. kaa mkao wa kula.

Eti hukua na vochaa loo una vitukooo weweeeeee
 
hahahaha!!! hili nalo neno. kuna wanaume ni wasweet jamani. unatamani kuwa nae mda wote, ukitangaziwa ndoa misimamo yako yote unaweka kando.

besti mimi nimepaona hapo tu......

cc; Ennie
 
Last edited by a moderator:
kama haya ulioandika hapa yanatoka moyoni mwako na unamaanisha basi wewe unajitambuwa na ni mke bora kabisa hapa duniani. nimependa brain yako kudos.
Baby UKOME KUSHOBOKEA WATU! Unaona umevuliwa nguooooo? Mi nilikuwa na kucheki tu mchepuko wako! Haya sasa KIKO WAPIIIIIIII?

Umeshusha MISIFA KIBAOOO kumbe kanjanja! WALE WOTE MLIOSHOBOKA KUMSIFIA MMEINGIA MITINI! Hahahaaaaaa!
Uwe unanisifia tu mi mkeo!
 
Sizitaki mbichi hizi,,, teh teh teh ungeandika sijapata wa kunioa hapo ningekuelewa lakini sio SITAKI KUOLEWA!!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Hheeee hhheeeiyaaa kumbe sijapigwa ban...husninyo tumeponaaaa..ila amu kaniumaaaa
 
kuolewa ni raha kama unampta mtu, ila kama hapatikani ni bora tu kujizeekea taratibu kuliko kujiingiza kwenye shida.
 

Teh teh nami niliona kidogo nikustuee tu lo yamewashukajeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…