Sitaki kuolewa

khe ........

ndo hvyo na akamnanga sana dada wa watu akajibu mapigo ila wala amu hakuanza ukorofi sema nae alivyoona anachokonolewa sana akarudisha mapigo ndo kongosho akaomba wayamalize si vzri kugombana akaja lambogin akamwita mpenzi wake pm wayamalize ila amu kiukweli kaonewa labda kosa kutoa post za zamani ndo maana,sijui lakini mana wengine sie hapa wageni hatujui sheria vizuri.
 
Duh kumbe kuna habari zimefutwa hapa eeeeh, jamani mwenye nazo azirudishe basi.
Kumbe ilikuwa hot sana hiyo jana

jana palikua na mtanange but thnx to kongosho kidogo aliwatuliza washiriki!
 
Kumbe UZI Bado Unatembea Tu Kama Kawaida.....
 

khe nilipitwa na mengi. ban zilitembezwa ile ile usiku??
hapa umenifungua now I Know.
 
eti "washiriki" mbona we hukuingia kati kuzuia.

Nilikuwa nasoma tu mm,nilishindwa kuingilia sababu yalikuwa mambo yanayohusu jinsia ingine! amu afunguliwe haraka na hana hatia,alichofanya ni kukumbusha tu kuwa unasema bado hujaolewa wakati juzi umesema umeolewa na una watoto 2!

Yale yale ya huyu mwingine leo mwanamke kesho mwanamme
 
Last edited by a moderator:

naunga mkono hoja.

hahaa pale sijaona kosa alikua anatukumbusha wadau. na hiyo mbona watu kibao huwa wanafukunyua threads. labda hayo yaliyoendelea kwenye mtanange maana sikuwepo.
umenichekeshaje hapo kwenye huyu mwanamke yule mwanaume unaanzisha thread unajijibu mwenyewe na kujipa likes mambo ya multiple IDs
 
Last edited by a moderator:

Labda alikuwa anamsuta mode!??
 
Last edited by a moderator:
Ndo side effects za LTHP na Get together hizo.Watu wakishajuana nje ya keyboard ni matatizo

hamna kukosa ni kukosa ustaarabu mbona watu wanajuana sana afu sis watoto wa kike tu ndo tuna shida mi nahisi humu wanaume wanaume wanajuana ila hawafikii kutajana majina na kutaka kuwekeana mapicha.
 
eti "washiriki" mbona we hukuingia kati kuzuia.

mi nliwaambia jamani mpisheni shetani watu tulikua km sita au saba hatukua wengi wachangiaji nahis watu walishtua mods na nlijua ban lazma itembee kwa mmoja au kwa wote!
 

Aise!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…