Sitaki kuendelea nae ila ananiganda

Sitaki kuendelea nae ila ananiganda

Huyo Demu nae mapepe aisee,
Kwa jamaa yake aligongwa kavu mpaka akajazwa,
Kuja kwa mshikaji nako kagongwa kavu vilevile,
Wadada nyinyi jamani
ha ha ha ha ha akili zetu tunazijua wenyewe ila kavu tam asikwambie mtu mkuu ngoma unaisikilizia kabisa yamotoo
 
Kavu tamu kweli,
Nyama kwa nyama ina stimu zaidi kuliko Nyama kwa mpira,
Tena Nyama kwa nyama hata usiposugua ule mgusano tu wa Nyma mbili za watu tofauti ni raha tosha,
Shida sasa vile vijamaa vikiingiaga mwilini havitokagi tena na vikianza kula mwili basi Nyama kwa nyama yako utaifaidi miaka michache tu,
 
Inabidi umpime kwanza ili ufaidi mkuu mnapitia zahanati mnapima then unaenda kujipigia kwa raha zako maisha yenyewe mafupi haya
 
wenye mimba watamu.....naona kichwani ulikua na kauli hii ndio maana ukaamua kumla
Kaka nakutafuta sana mpaka napata wasiwasi umeliwa na majini tafadhali njoo chemba
 
Inabidi umpime kwanza ili ufaidi mkuu mnapitia zahanati mnapima then unaenda kujipigia kwa raha zako maisha yenyewe mafupi haya
Hapo sawa,
Unajisugulia tu bila hata wasiwasi
 
Habari wana bodi,

Kuna mdada nilitokea kumpenda, nikamface lakini akawa anasita kama vile kuna kitu. Kidume nikamkomalia akakubali, siku kadhaa badae nikaona kama haeleweki nikambana anambie kuna nini?

Akanambia anamimba ya Jamaa flani ambae ni boy wake kitambo lakini Jamaa kama hamjali japo alikubali kuhudumia.

Nikastuka but nikamshukuru kwa kunambia kweli then nikaanza kumpotezea, msichana akawa haishi kulalamika kwanini nampotezea mara hivi mara vile hatimae nikamla mzigo kama mara tatu.

Sasa nataka nipige chini lakini dogo ananiganda!Sasa najiuliza mimi na yeye tutakuwa pamoja hadi lini? Binafsi sitaki kuendelea nae.

Note: Jamaa anafanya kazi mkoani na anahudumia vizuri tu, mabinti mbona mnakuwa hivu? Tulieni na jamaa zenu mliokubali kuwazalia basi.
hiki kisa nilikisikia mahali, kama ndo wewe kijana umekwishaaaa, maana dada alikuwa akijiapiza ni ama zako au zake.
 
Huyo Demu nae mapepe aisee,
Kwa jamaa yake aligongwa kavu mpaka akajazwa,
Kuja kwa mshikaji nako kagongwa kavu vilevile,
Wadada nyinyi jamani
Hatari mkuu
 
Kavu tamu kweli,
Nyama kwa nyama ina stimu zaidi kuliko Nyama kwa mpira,
Tena Nyama kwa nyama hata usiposugua ule mgusano tu wa Nyma mbili za watu tofauti ni raha tosha,
Shida sasa vile vijamaa vikiingiaga mwilini havitokagi tena na vikianza kula mwili basi Nyama kwa nyama yako utaifaidi miaka michache tu,
Kweli mkuu
 
hiki kisa nilikisikia mahali, kama ndo wewe kijana umekwishaaaa, maana dada alikuwa akijiapiza ni ama zako au zake.
Nahisi sio Mimi mkuu,hatujafikia huko
 
Endelea kucheza tu mechi ya kirafiki hiyo, ukihitaji tu unatafuta uwanja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom