Ulivaa??Kaniganda mkuu,wanawake wana mbinu sana,pia dogo mkali inahitaji moyo kumuacha bila kupiga
Unauliza vinywaji kwenye sherehe.Kwahiyo umekula na mimba yake?
sasa bwana wewe hili swali kumuuliza nani!?Sasa najiuliza mimi nayy tutakuwa pamoja hadi lini???
Ulivaa??

Duh ana roho ya paka!Unauliza vinywaji kwenye sherehe.
Duh, aisee,Hapana
daah nimecheka sana niliposoma coment yakoShigongooo, njoo hukuuu
Mimba.... Mbona ulisema alikuambia ila ukaona ugegede tuNilimpenda nikidhani yupo single coz muda wote hakuwa na mwanaume pale anapoishi,kumbe Jamaa anaishi mkoani huwa nakuja Mara chache

Alikwambia kabisa ana mimba ya mtu...ila ukamomalia tena kwa kujiita kidume...Nilimpenda nikidhani yupo single coz muda wote hakuwa na mwanaume pale anapoishi,kumbe Jamaa anaishi mkoani huwa nakuja Mara chache
Haha kiongozi watu wanaiba stori kwa shigongo afu wanajimilikisha eti tuwape ushauridaah nimecheka sana niliposoma coment yako