Amiin**** thread nyingine ukisoma unajaribu kufikiri ni kwa vipi elimu wanayopewa vijana wetu haiwasaidi kuondoa ujinga, unawasha moto nyumba yako ya nyasi alafu unategemea nyumba izidi kuimarika, kuna vitu ukifanya lazima kuna vitu vitatokea kama natural consequence, Mungu atusaidie.
Siku hizi kutiana Kavu kavu na demu usiejuana nae ki undani ni sawa na Tukio la Kujitoa MhangaCjakusoma mkuu
Yan mkuu umeongea kama ulikuwepo,dogo anatafuta pumziko maana Jamaa ni kama hana mpango wa ndoamuda wote alizingua kaona kaharibu anajileta kwako iweje? shtuka mkuu ukute usingle mother unamnyemelea anaanza tafuta mahali salama..mpotezee kabsa mkuu labda na ww uwe ume umemkubali ivoivo.
Hahahaha u made ma day broMKUU, USISHANGAE MTOTO AKIZALIWA ATAKUITA BABA.
HATA MIMI ILIWAH NITOKEA, HAKUNAMBIE KAMA ANA MIMBA, NIKAWA NAKULA MZGO, AKAWA ANANIPENDA KUPITA KIAS, MARA TUMBO LINATANUKA, ANANENEPA, NDYO AKANAMBIA ANA MIMBA YA MCHUMBA WAKE WA MKOA WA MBALI.
MIMI IKANBD NIENDELEE TU MANA ALINIGANDA.
NILICHOGUNDUA HZ MIMBA UKIWA NAZO KARIBU ZNAKUZOEA.
HALAFU MWANAMKE MWENYE MIMBA MTAMU SANA SJUI KWANINI.
anasema alitereza mkuu manake kapiga dry chamaUlivaa??
Ha ha haaa,Kweli mkuu ila dogo kapima na yupo safi
Huyo Demu nae mapepe aisee,anasema alitereza mkuu manake kapiga dry chama