BOMBAY
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 4,744
- 3,544
Habari wana bodi,
Kuna mdada nilitokea kumpenda, nikamface lakini akawa anasita kama vile kuna kitu. Kidume nikamkomalia akakubali, siku kadhaa badae nikaona kama haeleweki nikambana anambie kuna nini?
Akanambia anamimba ya Jamaa flani ambae ni boy wake kitambo lakini Jamaa kama hamjali japo alikubali kuhudumia.
Nikastuka but nikamshukuru kwa kunambia kweli then nikaanza kumpotezea, msichana akawa haishi kulalamika kwanini nampotezea mara hivi mara vile hatimae nikamla mzigo kama mara tatu.
Sasa nataka nipige chini lakini dogo ananiganda!Sasa najiuliza mimi na yeye tutakuwa pamoja hadi lini? Binafsi sitaki kuendelea nae.
Note: Jamaa anafanya kazi mkoani na anahudumia vizuri tu, mabinti mbona mnakuwa hivu? Tulieni na jamaa zenu mliokubali kuwazalia basi.