Sitaki kabisa mume mlevi

"Mlevi hapana sitaki kabisa?!!"
Kumbe bado unajiuliza swali, sawa!
 
hata kama naonja tu?
 
Hahahahahahaaa babuuu, nilifika salama salimini na kazi imepamba motoo.
Safi sanaaa...

Babu bado niko napambana na kale kajamaa. Japokuwa kananiletea usumbufu sana asubuhi sitakaacha ng'oo. Jana nimekafakamia hapa najipooza na maji baridiiii
 
Safi sanaaa...

Babu bado niko napambana na kale kajamaa. Japokuwa kananiletea usumbufu sana asubuhi sitakaacha ng'oo. Jana nimekafakamia hapa najipooza na maji baridiiii

Hahahahahahaaa babuuu kwa raha zako kama nakuona.
 
Aahahahahhahaaa hakyanani, ngoja nimuite Sky Eclat aje kukuchukua hapo ulipoanza looh.

Hiyo kitu wangeifanyia drip style I naingia moja kwa moja kwenye damu....

Hiyo ingeleta balaa... maana tungeshindwa hata kutimiza wajibu wetu

 
Ndiyo hapo, hata mimi mtu mlevi simuwezi!! mtu anywe hata kwa mwezi mara 1 na kwa staha.... sio kila weekend pombe utafikiri ana hisa TBL.
Sisi wengine tunakunywa kila siku lakini sio walevi ni mazingira tu yanasababisha
 
je wale ambao wanakunywa but hawalewi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…