Sitaki dawa

Sasa brother hebu nisaidie Kitu hapa.kama una sema HIV haiexist je kinachosababisha kinga ya mwili nauzito kupungua ni Kitu gani? Nina maswali mengi kidogo ya kuuliza lakini tuanze na hili hapa.
 
Sasa bro hebu tuambie wewe unasema ni uwongo huku watu wanazidi kuangamia je ukweli ni upi? Naomba pia uniambie unaweza kututhibitishia kisayansi kwamba kirusi hana uwezo wa kushusha kinga ya mwili? Samahani nimekuwa interested na maelezo yako.nisamehe kama nimekuwa harsh kwa baadhi ya post zako.nahitaji kuelewa zaidi.
 
Labda na Mimi nieleze kwa ufahamu wangu mdogo.ni kweli kabisa kinachouwa si HIV lakini kisababishi ni HIV.sijuwi kama nitakuwa nimeeleweka.waathirika wanapoteza uhai kutokana na magonjwa mengi kuzuka baada ya kinga ya kuzuia magonjwa hayo kupungua.kinga hiyo ndio hushambuliwa na virusi vya HIV.
 
Very inspired
 
Mkuu nilikuhuliza namna ya kumuachisha mtu aliyeanza kutumia ARVs lakini hadi leo HUJANIJIBU mpaka nashindwa kukuelewa una maana gani ? Basi elezea hapa jamvini au nipm
 
Lakini Mkuu cases za watoto wanaozaliwa na HIV lakini wazazi wote wawili ni wazima ziko ngapi ? Unaweza kutusaidia data za tukio la namna hii?
 
Uwiiiiiii jamani mbona nashindwa kuamini?
Hivi ni kweli au?
OMG!!!
Why Mentor jamani,why?

Unamtisha jamani huo ugonjwa sio mwisho wa maisha,kuna kitu inaitwa kisukari,cancer na ule ugonjwa upo Sierra Leone ndo noma
 
Halafu kingine usiyaamini haya matokeo ya mahali hapo tu wakati mwingine huwa wanafanya makosa, hivyo nenda sehemu nyingine tofauti tatu ukapime ili uone huko nako majibu yatakuwa kama hayo ya kwanza.
 
Kafman
 
He should never ever give up! kuna dada mmoja anaumwa lakini amezaa watoto 5 wote wazima na maisha yanaendelea.

Mentor mpokee Yesu awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako.
 
Mkuu nilikuhuliza namna ya kumuachisha mtu aliyeanza kutumia ARVs lakini hadi leo HUJANIJIBU mpaka nashindwa kukuelewa una maana gani ? Basi elezea hapa jamvini au nipm
Akujibuje na hana jibu....huyu ataua watu bure ukimfatilia hayupo straight anazunguka na maneno mengiii na zaidi ni lawama tu ooh waafrika hivi waafrika vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…