Sitaki dawa

Sitaki dawa

Ukishindwa kusema ni wapi nimepotosha basi nitakuweka kwenye kundi la wale wale wanaotembea kama miili tu lakini akili zimeshikwa na wengine.Umepewa akili uitumie.

Ndio maana wazungu wamewa grade waafrika kwenye IQ 70 ambayo huko kwao is regarded kama ni mentally retarded people.Kama uchawi upo,basi hapa kwenye HIV/AIDS wamarekani watakuwa wametumia uchawi kushika akili za watu,hii ni kwasababu kuna mambo ya wazi kabisa yanajionesha kwa namna zote kwamba HIV/AIDS ni feki,lakini watu hawaoni.Ndio maana nasema waafrika wengi(kasoro mimi na wengine wachache kama Thabo Mbeki nk) wamerogwa na walioanzisha uzushi huu.

Watu wanakufa kwa ARVs halafu wanasingizia HIV.Mbona kuna watu wengi wamepimwa HIV+ na hawatumii ARVs maisha yao yote na hadi sasa wako safi?Mbona hampeni kujiuliza maswali kama haya?

Mbona kuna ndoa nyingi tu mmoja ni HIV+ na mwingine ni HIV- na wameishi zaidi ya miaka 10 na wamezaa watoto katika hali hiyo na watoto pia ni HIV- na wote hawatumii ARVs?

Mbona kuna watu wengi wamepimwa HIV+ halafu baadaye wakapimwa HIV-?

Kama umeshindwa kujiuliza baadhi ya maswali kama haya na kupata majibu,basi pole sana,endelea kusema kwamba mimi napotosha.

NB:
Naomba umsikilize huyu Prof hapa chini kwenye link hii,huyu ndiye mgunduzi halisi wa huyo 'HIV' unayemwabudu,sasa msikilize huyu prof aliyebadilisha sayansi kuwa imani.Halafu sema ukweli wako kama na yeye amepotosha,na useme amepotosha wapi.Kama unaamini kwamba alichokisema ni kweli,basi jua wazi kwamba mimi ninajitambua na najua ukweli wa kile ninachokisimamia,kwa ufupi,sikurupuki.

Fungua link hapo chini.



Your ignorance isifanye kupotosha watu.

Sasa wapi hapo huyo profesa kazungumzia kuwa kirusi cha HIV hakiexist au hakipo?

Kirusi yupo na anaonekana, omba ueleweshwe.

Hapo kwenye hiyo video huyo profesa kazungumzia nini cha zaidi ya kula vizuri, kufanya mazoezi kubadilisha life style ili kupunguza oxidants mwilini?
 
Your ignorance isifanye kupotosha watu.

Sasa wapi hapo huyo profesa kazungumzia kuwa kirusi cha HIV hakiexist au hakipo?

Kirusi yupo na anaonekana, omba ueleweshwe.

Hapo kwenye hiyo video huyo profesa kazungumzia nini cha zaidi ya kula vizuri, kufanya mazoezi kubadilisha life style ili kupunguza oxidants mwilini?
kama hayo uliyoandika ndio pekee uliyoelewa katika ile video,basi unathibitisha jinsi unavyotembea na mwili huku akili imeshikwa na wengine.Labda kiingereza ni shida kidogo,sitakulaumu kwa hilo.Ukitaka kuthibitisha kama hujaelewa hiyo video basi jaribu kumuuliza mwingine akuelezee alivyoelewa yeye,lazima atakueleza zaidi ya hayo uliyoeleza wewe kama mtu huyo anajua vizuri kiingereza na anajua pia kusikiliza.Au JF members wengine watakuelezea,mijadala hii sikuanza leo humu JF,nilishajadili hadi na madaktari humu.Sasa kama madaktari wenye fani yao walikosa point za msingi,itakuwa wewe?Sitakulaumu kwa kuwa najua uko ktk kipindi cha mpito kiuelewa,mimi nilishapita huko zamani sana.
 
Pole sana mkuu duh! Kwanzia sasa najirekebisha coz na mimi ni mchafu hamna mwanamke apite machoni mwangu nisimgegede tena kavu but niko safi lakini napoelekea si pazur aise
 
Umeangalia na kusikiliza ile video niliyotuma kwa mwenzio?Sikiliza kwa makini ile video,kwenye hiyo video ALIYEGUNDUA huyo HIV ndio kashasema kwamba 'HIV' anaweza kuondolewa kutoka kwenye damu ya mtu,sasa wewe unayekataa ni nani?Hapa sasa mnanichanganya,kwani ninyi mnamwamini nani kuhusu HIV/AIDS kama sio huyu mgunduzi?

Wewe ndio unajua kwamba ku control HIV to AIDS ni shida,lakini mgunduzi aliyefanya wewe ujue kwamba kuna HIV anasema kuna very simple measures za ku control HIV.Sasa wewe ni nani unayekataa?

Utaelewa taratibu tu kwamba HIV/AIDS ni IMANI na hakuna kijidudu chenye sifa ya kuitwa HIV.

Fuatilia ile video niliyotuma usikilize.
Kama ni imani inakuwaje kwa watoto wanaozaliwa na HIV? Si ingetokea kwa watu wengine.
 
Mkuu I still think this is like any other story humu. Naona pia hata diagnosis iliyoandikwa kwenye form yako ya hospital uliyo-attach inaonyesha tatizo lako ni PUD. Meaning una vidonda vya tumbo (Peptic Ulcer Disease). Ingawa inaonyesha kweli kipimo cha ukimwi kilifanyika lakini majibu umeyaficha.

Unless, daktari aliyeweka hiyo diagnosis yako ni kimeo au kilaza, ninazidi kuamini kuwa inawezekana kweli umepata hiyo scholarship na ukapima lakini majibu sio positive for HIV ila unajaribu kuelimisha na kukumbusha watu wawe makini kwenye pitapita zao kwasababu ukimwi upo.

However, vyovyote vile iwavyo, kama kweli mkuu umeathirika, nakupa pole. Lakini zaidi sana na kwa dhati kabisa nakupongeza kwa uamuzi wa kupima, japo ilikuwa coincidental. Mshukuru Mungu umejua status yako. Usijichukie. Mungu ana makusudi yake mkuu.

Hali unayoisikia sasa hivi ni reaction ya kawaida sana pale mtu unapopata taarifa mbaya kama hizo. Hasa ukizingatia kuwa ni tatizo utakaloishi nalo forever.

Nakusisitizia mkuu kuelewa kuwa huo sio mwisho wa dunia. Kuna magonjwa ya kutisha zaidi lakini sio ukimwi. Nakuomba usijiadhibu. Uamuzi wa kutokutumia dawa ni wa kujiadhibu. Sio sawa hata kidogo.

Tafadhali sana:

1. Zingatia ushauri uliopewa na utakaoendelea kupewa na madakari. Kubali kutumia dawa accordingly.

2. Endeleza mipango yako yote ya maisha. Pursue your dreams bro. Hiyo ni status tu. Sisemi hutakufa. Lahasha. Kila mtu atakufa siku yake ikifika. Unaweza kuishi na ukimwi for over 20 years. Na kwa taarifa yako ukimwi unaweza usiwe sababu ya kifo chako. Most importantly, you need the right attitude bro. Kung'uta vumbi hilo maisha yaendelee.

3. Hakikisha unabakia safe brother...to yourself and others. Jikinge mwenyewe usipate maambukizi mapya (hii ni broad subject) na jitahidi usiwaambukize wengine. Protected sex is one of the ways to go.

4. Ukihitaji rafiki na mshauri, I can always give you a hand, in any way possible, my brother. Just give me a shout.

Genuine salute to you my brother Mentor kwa kutoa mafundisho muhimu kupitia thread hii yako.
 
Pole sana ndugu yangu. Nimewahi kuwa katika wakati wa kutafakari nikiwa nasubiri majibu kutokana na nafasi ya ndoto yangu niliyoipata kwa neema ya Mungu nikatoka mzima.

Kwa ufupi unarudi kuwaza jinsi ulivyoishi katika jamii na familia. Unakumbuka njia ulizopitia na kuuona ujinga uliowahi kuufanya japo kwa wakati huo ulidhani ndo kula maisha.

Kuna mijadala mingi tunajadili humu kuhamasishana na kujivunia ngono, lkn likikutokea ndo unapogundua mchango pekee wa watu waliokuona unaweza ni POLE na hamna zaidi. Tunaishia kujuta na kuacha simanzi kwa wapendwa lakini pia kukatisha ndoto zetu.
 
Hmmmmm! Dah! Pole sana Mkuu lakini huo ugonjwa si hukumu ya kifo. Waathirika wengi ambao hutumia dawa wanaishi kwa miaka mingi tu na kuweza kufanya shughuli zao za kila siku bila matatizo yote. Sioni sababu ya wewe kuamua kutotumia dawa. Pole sana Mkuu.
 
Pole sana Mkuu ucfe moyo.. Mbona watu tumezaliwa navyo na bado tunaish ondoa hofu kabisa.. Mungu atakupa nguvu.. Kila nafs itaonja umaut so hakuna anayejua atakufaje na pia unaweza ucfe kwa ugonjwa huu na ukaja kufa na kitu kingine kabisa... Watu wanakufa hata kwa ajali.. Mshukuru Mungu kwa yote... Cjawah kujutia kuzaliwa na hali hii ila nilisikitika mama angu alipofarik nakuniacha nikiwa Mtoto sana cjielewi
 
Kinachosikitisha ni kwamba niliwahi kusoma humu kwamba baadhi ya waathirika hutoa rushwa ili waandikiwe kwamba ni wazima wa afya. Sasa kama kuna jamaa KE/ME amemuomba akapime kabla ya kupiga hatua kwenye mahusiano yao ya kimapenzi watu kama hawa ni waambukizaji wazuri kwa sababu mwenzie huamini kwamba afya yake ni njema kabisa hivyo hakuna sababu ya kutumia kinga, kumbe anaendelea kuusambaza. INATISHA SANA.

Pima sista, utapata relief kubwa mno. Last week nililazimika, sikutaka, na nilipinga mno kama kawaida yangu. Lakini nililazimika, for the sake of my wife, sikusikiliza ushauri wa mtu yoyote, nilipofanya maamuzi nilipima. Majibu alichukua wife. It's not easy though.

Nenda MNH, wapo vizuri sana sasa hivi, hakuna foleni kabisa na kama unahitaji ushauri nasaha wapo vizuri pia. Tulipewa cases chache, watu wakipewa majibu yakiwa + wanavunja hadi makabati ya ofisi kwa panic, lakini mwisho wanakalishwa chini na kueleweshwa tu na maisha yanaendelea. Maisha lazima yasonge, whether + or -.
 
Hmmmmm! Dah! Pole sana Mkuu lakini huo ugonjwa si hukumu ya kifo. Waathirika wengi ambao hutumia dawa wanaishi kwa miaka mingi tu na kuweza kufanya shughuli zao za kila siku bila matatizo yote. Sioni sababu ya wewe kuamua kutotumia dawa. Pole sana Mkuu.
Yeah..? Kama mim nilianza kutumia dawa nikiwa na miaka 10 mpaka Leo na miaka kama 15 natumia ARVs na nipp fresh nafanya shughul zangu kama kawaida... Sion kama ni kitu cha ajabu na ukwel hukuweka huru na kukuondolea msongo wa mawazo coz unakuwa umeshajikubal.. HIV is conditional.
 
Pole sana Mkuu na ahsante kwa kufunguka hapa jamvini kuhusu hali yako.

Yeah..? Kama mim nilianza kutumia dawa nikiwa na miaka 10 mpaka Leo na miaka kama 15 natumia ARVs na nipp fresh nafanya shughul zangu kama kawaida... Sion kama ni kitu cha ajabu na ukwel hukuweka huru na kukuondolea msongo wa mawazo coz unakuwa umeshajikubal.. HIV is conditional.
 
Back
Top Bottom