Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Sawa, ili tusiharibu dhima ya mtoa mada twende zetu faragha dear!haukuniona kwenye ile kampeni ya no free p.. anyways tuachane na haya tunaharibu dhima ya mtoa mada.
Sawa, ili tusiharibu dhima ya mtoa mada twende zetu faragha dear!haukuniona kwenye ile kampeni ya no free p.. anyways tuachane na haya tunaharibu dhima ya mtoa mada.
Brother help us telling us the truth about HIV/AIDS and what actually PITC measures. Okoa hiki kizazi BrotherMECHER ili upate jibu la huo mkanganyiko hapo juu inabidi kwanza ujue ni kitu gani kinachopimwa na hivyo vipimo vinavyosemekana ni vya 'HIV'.Watu wengi hawajui jambo hili,jambo hili ndilo kati ya mambo muhimu sana na ya lazima kujua ili kupata hitimisho kwamba HIV/AIDS ni feki.Hapa utajua waziwazi kwamba hakuna kiumbe yeyote duniani mwenye sifa ya kuitwa HIV,pia utajua kwamba HIV ni jina tu ambalo linawakilisha kitu kisichokuwepo na badala yake wanapima kitu kingine kabisa ambacho hakionekani kwa macho ambacho hufanya vipimo vitoe majibu HIV+ kama kipo mwilini na vipimo kutoa majibu HIV- kama kitu hicho hakipo mwilini.Kitu hiki SI HIV na wala si kijidudu,lakini wao wamekipa jina la HIV,na wamefanikiwa kuwashawishi watu kwamba kweli kuna HIV,hivyo watu wanaamini kwa IMANI kali sana.LAKINI HUYO HIV ANAYESEMWA HAJAWAHI KUONEKANA.Muulize daktari yeyote unayemfahamu ambaye yuko miaka mingi kwenye nyanja ya udaktari kama ameshawahi kumwona HIV,atakwambia "sijawahi".
Ukishajua kitu hiki kinachopimwa ni nini,hapo itakuwa rahisi wewe kujua kwamba,kumbe hata wewe unaweza kupimwa HIV+ hata kama hujawahi kuwa katika mazingira yoyote ambayo wao wanaita hatarishi,kumbe hata Obama,Bush,Trump anaweza kupimwa HIV+ bila kujali kama wana kijidudu chochote au la mwilini,kumbe hata wanandoa wanaweza kupimwa HIV+ wote wawili wakati fulani na wakati mwingine wakapimwa HIV- wote wawili au mmoja wao HIV+ na mwingine HIV- na kinyume chake,kumbe unaweza kupimwa HIV+ leo halafu kesho ukapimwa HIV- bila kutumia dawa yoyote ya hospitali.
HIV/AIDS ni uongo ambao umeshagundulika zamani tu ila watu wa dunia ya tatu kama hapa kwetu Afrika/Tanzania bado wako gizani kutokana na uwezo mdogo wa kufikiri ambao umechangiwa sana na mazingira tunayoishi.Watu wako busy na whatsapp,insta,facebook,twitter.....nk kufanya mambo ya udaku tu,hivyo si rahisi bongo kama hizi kutengemaa kiakili,ndio maana napata upinzani mkubwa sana ninapoelezea suala hili kutoka kwa jamii kama hii yenye uelewa mdogo wa mambo yanavyoendelea kwenye dunia hii ya sasa.
-Kama mme ni HIV+ na mke ni HIV+,watu wanaona ndio sahihi.Lakini kama mme ni HIV+ lakini mke ni HIV-,watu watasema aidha mke hakupata mchubuko au mungu amemlinda.
-Kama mtoto amezaliwa kutoka kwa mama aliyepimwa HIV+ lakini mtoto ni HIV-,watu watasema ni kwasababu mama alikuwa anamlinda mtoto kwa kula ARVs.Lakini kama mama hatumii ARVs na mtoto amezaliwa HIV-,watu watasema mungu amemwokoa mtoto/malaika wake.
-Kama mtu amepimwa HIV+ leo halafu akaendelea kupimwa HIV+ siku zinazofuata,watasema huu ni uthibitisho kwamba HIV hana dawa.Lakini kama mtu huyo atapimwa HIV- baadaye,watasema labda vipimo vilikosea mwanzoni au mpimaji hajui kupima.
-Mtu akipimwa HIV+ halafu kama hatatumia dawa/ARVs maisha yake yote zaidi ya miaka 40,watasema huyo ni CARRIER,yaani haadhuriki na HIV,lakini akitumia ARVs na kuishi zaidi ya miaka 10 watasema ARVs ndizo zimemlinda miaka yote hiyo.
Bado kuna mifano mingi inaonesha wazi kabisa kwamba HIV/AIDS ni IMANI iliyojengeka vilivyo ndani ya bongo za watu,hasa waafrika/tanzania.Watu hawana uwezo wa kuona mikanganyiko kama hiyo kutokana na imani waliyonayo,hivyo hawawezi kamwe kujiuliza maswali fikirishi,ndio maana hadi leo hii,wenzetu wazungu suala hili haliko kwenye vichwa vyao,ni sisi tu weusi,na ndio maana misaaada mingi wanai push kwetu,kila kijiji utaona land cruisers zao za gharama kubwa,MSD imejaa ARVs ambazo zinahitaji watu wa kuzitumia,watu hao watawapata vipi kama sio kuwalazimisha kupima kwa kutumia vipimo vyao ambavyo ni very strategic na vyenye lengo la kutafuta wateja wapya ili takwimu iongezeke ili serikali iongeze bajeti ya ARVs kulipia kwenye viwanda vya ARVs walivyoingia navyo mikataba.
Mwenye masikio na asikie.
Anapotosha huyo, shauri yako.Brother help us telling us the truth about HIV/AIDS and what actually PITC measures. Okoa hiki kizazi Brother
Hii post yako unapotosha mazima.
Mentor na yeyote mwingine kama unajipenda /mnajipenda msifuate huu ushauri hata kidogo.
Utakupoteza /utawapoteza na kuwaumiza.
Ukishindwa kusema ni wapi nimepotosha basi nitakuweka kwenye kundi la wale wale wanaotembea kama miili tu lakini akili zimeshikwa na wengine.Umepewa akili uitumie.
Ndio maana wazungu wamewa grade waafrika kwenye IQ 70 ambayo huko kwao is regarded kama ni mentally retarded people.Kama uchawi upo,basi hapa kwenye HIV/AIDS wamarekani watakuwa wametumia uchawi kushika akili za watu,hii ni kwasababu kuna mambo ya wazi kabisa yanajionesha kwa namna zote kwamba HIV/AIDS ni feki,lakini watu hawaoni.Ndio maana nasema waafrika wengi(kasoro mimi na wengine wachache kama Thabo Mbeki nk) wamerogwa na walioanzisha uzushi huu.
Watu wanakufa kwa ARVs halafu wanasingizia HIV.Mbona kuna watu wengi wamepimwa HIV+ na hawatumii ARVs maisha yao yote na hadi sasa wako safi?Mbona hampeni kujiuliza maswali kama haya?
Mbona kuna ndoa nyingi tu mmoja ni HIV+ na mwingine ni HIV- na wameishi zaidi ya miaka 10 na wamezaa watoto katika hali hiyo na watoto pia ni HIV- na wote hawatumii ARVs?
Mbona kuna watu wengi wamepimwa HIV+ halafu baadaye wakapimwa HIV-?
Kama umeshindwa kujiuliza baadhi ya maswali kama haya na kupata majibu,basi pole sana,endelea kusema kwamba mimi napotosha.
NB:
Naomba umsikilize huyu Prof hapa chini kwenye link hii,huyu ndiye mgunduzi halisi wa huyo 'HIV' unayemwabudu,sasa msikilize huyu prof aliyebadilisha sayansi kuwa imani.Halafu sema ukweli wako kama na yeye amepotosha,na useme amepotosha wapi.Kama unaamini kwamba alichokisema ni kweli,basi jua wazi kwamba mimi ninajitambua na najua ukweli wa kile ninachokisimamia,kwa ufupi,sikurupuki.
Fungua link hapo chini.
Wapendwa, thanks for the wishes ingawa sidhani kama ninastahili pole kutoka kwenu.
I am on my way kwenda Moshi kwa wazazi, kichwa kinaniuma kuwaza nitamueleza nini mama yangu. If only I could turn back the years.
Kama nilivyosema mwanzo sitatumia dawa ya mtu yeyote ile. I chose this.
![]()
![]()







Ukishindwa kusema ni wapi nimepotosha basi nitakuweka kwenye kundi la wale wale wanaotembea kama miili tu lakini akili zimeshikwa na wengine.Umepewa akili uitumie.
Ndio maana wazungu wamewa grade waafrika kwenye IQ 70 ambayo huko kwao is regarded kama ni mentally retarded people.Kama uchawi upo,basi hapa kwenye HIV/AIDS wamarekani watakuwa wametumia uchawi kushika akili za watu,hii ni kwasababu kuna mambo ya wazi kabisa yanajionesha kwa namna zote kwamba HIV/AIDS ni feki,lakini watu hawaoni.Ndio maana nasema waafrika wengi(kasoro mimi na wengine wachache kama Thabo Mbeki nk) wamerogwa na walioanzisha uzushi huu.
Watu wanakufa kwa ARVs halafu wanasingizia HIV.Mbona kuna watu wengi wamepimwa HIV+ na hawatumii ARVs maisha yao yote na hadi sasa wako safi?Mbona hampeni kujiuliza maswali kama haya?
Mbona kuna ndoa nyingi tu mmoja ni HIV+ na mwingine ni HIV- na wameishi zaidi ya miaka 10 na wamezaa watoto katika hali hiyo na watoto pia ni HIV- na wote hawatumii ARVs?
Mbona kuna watu wengi wamepimwa HIV+ halafu baadaye wakapimwa HIV-?
Kama umeshindwa kujiuliza baadhi ya maswali kama haya na kupata majibu,basi pole sana,endelea kusema kwamba mimi napotosha.
NB:
Naomba umsikilize huyu Prof hapa chini kwenye link hii,huyu ndiye mgunduzi halisi wa huyo 'HIV' unayemwabudu,sasa msikilize huyu prof aliyebadilisha sayansi kuwa imani.Halafu sema ukweli wako kama na yeye amepotosha,na useme amepotosha wapi.Kama unaamini kwamba alichokisema ni kweli,basi jua wazi kwamba mimi ninajitambua na najua ukweli wa kile ninachokisimamia,kwa ufupi,sikurupuki.
Fungua link hapo chini.
Deception
How comes without using ARV's the viral load increases and CD4 count goes down?
mkuu hebu tupe maelezo zaid juu ya HIV,kama kunauzi umeshawah kudadavua naomba link.
Ninajitahidi sana kukuelewa lakini from HIV to AIDS is non revers-able and this is caused by higher viral load and low cd4 counts. Kwanini ni shida kucontrol HIV to AIDS without ARV's?Kwanza kabisa inabidi ujue hiyo term 'viral load' ina maana gani,vinginevyo yatakuwa yaleyale kama vipimo vinapopima kitu kingine kabisa lakini watu wanaambiwa kwamba vinapima HIV.Ukielewa hapa itakuwa rahisi kuelewa na jibu nitakalokupa.Inabidi twende taratibu ili uelewe,hata wao waliotudanganya walitumia muda mrefu kujenga IMANI hii kwenye vichwa vyetu,vivyo hivyo ili na mimi niitoe imani hiyo kwenye vichwa vya watu inabidi niende taratibu na kwa mipango.
Ukila green food CD4 zinapanda,ukila mbegu za mlonge CD4 zinapanda,Ukipima CD4 nyakati mbalimbali za siku ie mchana na asubuhi utapata viwango tofauti bila kujali kama umepimwa HIV+ au la.CD4 zinaweza kuwa chini ya kiwango lakini mtu ukawa na afya njema sana.Hivyo CD4 ni function yenye variable nyingi sana lakini 'HIV' si mojawapo kati ya hizo variables.Unaweza ukawa na CD4 katika kiwango kinachohitajika halafu ukawa unaugua ugua pia.Immunity ni suala pana sana na complicated as far as knowledge ya wanasayansi ilipofikia kwa sasa.
Kama ukichukulia viral load kama ni wingi wa HIV kwenye damu basi hilo ni tatizo,hii ni kwasababu,kama hata huyo HIV hajawahi kuonekana kwa macho kwa kutumia hivyo vipimo vyao,sasa wanapata wapi data za viral load?Kama wanapima kitu kingine na kusema kwamba ndio viral load,basi hiki kitu kingine ndio nataka kiwe mjadala wetu sasa,maana hapa ndipo watu wanapodanganywa.
JIBU:
Swali lako liko kimantiki zaidi,hii ni kwasababu inategemea mlengwa ana matatizo gani ndani ya damu yake.Swali hili ni rahisi kulijibu kwa kutumia mfano halisi wa mlengwa.Kwa kuwa najua hata kama mlengwa ameambiwa ni HIV+ na hatatumia ARVs,kuna mambo mengine ya kufanya kwenye mwili wake ili kumfanya apime HIV- na kama nitataka CD4 zake zipande pia(ingawa sio muhimu) nina uwezo huo,ni rahisi sana,ni suala la nutrition na antioxidants kulingana na tatizo lake la msingi.Hivyo kama hakuna mfano unaoonekana,ni vigumu kujibu swali lako moja kwa moja.Vitu vingi vinaweza kufanya CD4 zipande au zishuke,lakini si 'HIV'.Ni kweli kwamba ARVs zinapandisha CD4,but is it a big deal?NO.Ni ujanja wa kisayansi tu ili kujenga IMANI kwa watumiaji wa ARVs.
Kumbuka yule mgunduzi wa huyo anayesemwa kuwa ni 'HIV' alitanabaisha kwamba,"immune system of many African people doesn't work well already,even if they are not infected with HIV".Hivyo kujua kwanini kinga ya mlengwa haiko sawa inabidi kumwona mlengwa,kujua utaratibu wake wa maisha ambao mwisho wa siku ndio uliomsababisha awe hivyo.
Ninajitahidi sana kukuelewa lakini from HIV to AIDS is non revers-able and this is caused by higher viral load and low cd4 counts. Kwanini ni shida kucontrol HIV to AIDS without ARV's?
Acha woga mkuu kapime, usiwe kama sisi ambao hata kwa fimbo hatuwezi endaAfadhali ya ww uliyeenda kupima, tupo wengi tusiojijua
...
Nae alichagua kutokutumia dawa kama wewe...
Sadly tumemzika mwezi uliopita na ni baada ya miaka 10 tokea agundue kaathirika.
Yeye alikufa kwa uzembe wa madokta waliomzidishia dose ya malaria,ila alikuwa mzima wa afya kabisa........
Mkuu upo sahihi nafikiri sms zikiwa nyingi watu watakuwa makini sana.ukiisoma hii story unaweza usidindishe siku nzima dadadeki
Acha woga mkuu kapime, usiwe kama sisi ambao hata kwa fimbo hatuwezi enda



