Sitaki dawa

Sitaki dawa

Hii story mwanzo niliona uvivu kuisoma kwa ilivo ndefu nikadhani ni story tu za Mentor kama kawaida yake... Nimeshawishika kuisoma yote

Inasikitisha,lakini Mentor ndugu hebu usikate tamaa bado unaweza. Zingatia shauri nzuri ulizopewa na wana Jf kina Mzizi mkavu na wengine. Pia huu ni wakati wako wa kua karibu na Mungu zaidi,binadamu tunaweza kukufariji hapa na pale lakini yeye ndio msaada wa kweli na uhakika.
 
Sasa brother hebu nisaidie Kitu hapa.kama una sema HIV haiexist je kinachosababisha kinga ya mwili nauzito kupungua ni Kitu gani? Nina maswali mengi kidogo ya kuuliza lakini tuanze na hili hapa.

Hata mimi nina majibu ya maswali yote ambayo wewe unaona yana utata,hivyo usihofu.Sikiliza maelezo yenye logic kubwa hapo chini.

1-Kuna mambo mengi sana ukiacha huyo HIV(feki) yanayosababisha kinga kushuka,nutrition,multiple infections,matumizi ya mara kwa mara ya dawa za hospitali(mfano,ARVs,dawa za uzazi wa mpango nk hutumiwa sana),mionzi,chemotherapy,msongo mkali wa mawazo,unywaji wa pombe kupindukia bila kula vizuri,matumizi ya dawa za kulevya nk.Ukifuatilia watu wanaougua mara kwa mara utaona wanaangukia kwenye baadhi ya mambo hayo hata kama hao ni HIV-.Lakini kama hao watu ni HIV+ basi utasikia HIV ndiye atakayesingiziwa kwamba ndio sababu ya watu hawa kuugua,hivyo watamrundikia mgonjwa a ARVs ambayo baada ya muda mrefu zitamwua halafu wanakuja kusema angalau amedumu kidogo ARVs zimemsadidia,lakini kama hawa watu ni HIV- basi madaktari ndio wanaanza kutafuta ugonjwa halisi kama vile malaria,TB nk,wakigundua ugonjwa wanautibu na mtu anakuwa safi kabisa,hawampi ARVs.

2-Ili kuthibitisha kwamba namba 1 hapo juu ni kweli,kuna ugonjwa unaitwa TB,nadhani kila mtu anaujua huu.Ili uugue TB kwanza kinga yako inabidi ishuke,yaani uwe na upungufu wa kinga(ukimwi),mtu asiye na upungufu wa kinga si rahisi kuugua TB.Sasa kuna watu weeeengi wana TB lakini ni HIV-,mimi nilikuwa mmojawapo, enzi hizo lakini.Sasa unganisha,ili uugue TB inabidi kinga yako ishuke(kama huamini muulize daktari hili),lakini pia kuna watu weeeengi wana TB ila ni HIV-,Ooooook,kumbe hii ina maana ili kinga ishuke(yaani uwe na ukimwi) si lazima upimwe HIV+.Ila ukipimwa HIV+ basi HIV ndiye atakayebebeshwa lawama zote kwa sababu ya ujinga tu wa madaktari wachache.Wakishakupima HIV+ baaaasi,mambo yote halisi yalisababisha kinga yako ishuke yatasahaulika palepale.Utatibiwa TB,ofcourse utapona,halafu watakushauri jinsi ya kuishi maisha bora yenye afya na kukupa ARVs.

Kwasababu utakuwa umekonda kwa kuugua TB muda mrefu,utaanza kunenepa kwasababu utaanza kupona TB kutokana na dozi ya TB utakayopewa(sio ARVs),halafu kwa kuwa ulishauriwa kula vizuri(ambalo ndilo jambo la msingi walitakiwa walifanye) utaanza kunawiri tena na kurudi ktk hali yako ya zamani.Sasa umepona TB kwa sababu ulikula dozi ya TB(sio ARVs),umenenepa kwa kuwa umepona TB na kula chakula bora,lakini watu wataanza kusingizia kwamba ARVs ndizo zilizokuponya na kuacha kuzungumzia tiba halisi ambayo ni dozi ya TB na chakula bora,ama kweli ujinga ni kitu kibaya sana.Toka lini ARVs zinatibu TB?

3-Uzito kupungua;
Hapo juu nimetoa mfano mmoja wa ugonjwa wa TB,ili upate TB kinga yako inabidi ishuke,kinga kushuka kuna sababu nyingi kama nilizotaja hapo juu.Sasa inabidi utambue kwamba hata huyo HIV(ambaye ni feki) haikusemwa kwamba ana uwezo wa kukondesha mtu.Kinachokondesha mtu ni ugonjwa fulani unaoingia baada ya kinga yake kushuka kwa sababu nilizotaja pale juu.Sasa tukihukua mfano wa TB kama ni ugonjwa maarufu,sasa twende kwenye dalili za TB;

1.Kukohoa mara kwa mara kwa zaidi ya wiki 2,
2.Homa za mara kwa mara
3.Kukonda sana
4.Kupungua uzito
5.Kuharisha au kutapika kama ni GI TB.nk

sasa je,hizo dalili sio zile ambazo wewe ulidanganywa kwamba ndio za HIV/AIDS?
Je,wote wenye dalili hizo ni kweli wana HIV?

Hivyo basi,usikariri kwamba kukonda ni dalili ya HIV.Kuna magonjwa halisi ambayo yanakondesha na ukitibiwa unapona kabisa hata kama hutumii ARVs.Magonjwa hayo ni TB,Malaria,cancer,kisukari nk.Magonjwa ni yaleyale lakini sasa hivi yamepewa chapa nyingine kwa lengo la kuuza ARVs,HIV ndiye missile wanayoitumia kutengenezea chapa hiyo huku vipimo vyao feki ndio vinavyotumika kama marketing managers wa ARVs.Ndio maana siku hizi wanatoka jasho wanakuja hadi majumbani kufanyia watu vipimo vya HIV bure na ushauri bure,wanapoteza mafuta kwenye gari zao na wanawalipa wahudumu kukufuata pale ulipo BUREEEE kabisa huku wewe ukidhani wanakupeeenda sana.Mimi ndio nakupenda zaidi ya wao,tambua hili sasa.

Mtu anayetumia ARVs baada ya muda mrefu anapata matatizo yafuatayo;
1.Matatizo ya moyo,presha,
2.Matizo ya ini
3.Matatizo ya figo
4.Cancer yoyote ile,kwa wanawake zaidi ni cervical cancer au matiti..nenda ocean road kajionee mwenyewe...
5.Upungufu wa damu
6.Kisukari
7.Nywele kudhoofika
8.Ngozi kutoka vipele/vidonda,kuwasha,kufubaa nk

Dalili hizo sio ndio zile ambazo wewe umeambiwa ni za HIV? Sasa nakwambia ukweli leo kwamba haya matatizo yanasababishwa solely na ARVs kwa wale wanaozitumia baada ya muda mrefu.Asiyetumia ARVs hapati matatizo haya(technically).

Fanya utafiti wako nenda kwenye mahospitali waliolazwa watu wanaotumia ARVs(wenye huyo HIV feki).Utajionea wewe mwenyewe matatizo hayo niliyotaja hapo juu.

Ukweli uko hivi;badala ya kusema HIV/AIDS ilitakiwa watu waseme ARVs/AIDS.Lakini kwa kuwa tumewekewa wigo wa kufikiri,hatuwezi kutambua hilo.
 
Mentor kama utaanza dawa sasa...maana s hv dawa zinaanzwa mapema una miaka kati ya 15 hadi 25 ya kuishi..ndani ya miaka hiyo anikiangalia una kama miaka 28 hadi 30 kutokana na uandishi wako hii ina màna unaweza kufika miaka 50 hii ina maanisha unaweza kupata watoto,ukajenga ukaishi ...haya ni maisha tu kaka hamna atakaeishi miaka mia tena huna cha kujutia mana dawa zipo na unatakiwa kuamini maisha ni lazma yaendelee
 
Kaka ebu nifunulie jalada plz, nahitaji kufahamu man!

Fuatilia taratibu,utajua tu,cha msingi uwe na utayari wa kusikiliza mambo mapya.Utayari huu wengi hawana,na hapo matatizo ya kuelewa jambo hili ndipo yanapoanzia.Lakini nakupa hongera kwa wewe kuwa na utayari huo.
 
Deception , iweje useme hakuna HIV/AIDS huku unatoa ushuhuda wa kuchanganya damu ya MTU HIV+? Huyo damu ulijuaje kama yuko + kama hicho kitu hakipo? Umeenda mbali pia kwa kutoa mifano ya ndoa za watu wenye kuishi mmoja akiwa ameathirika na mwingine hana maambukizi. Hizo habari zote zinakua za uongo kama maelezo yako ni ya kweli endapo utayadhibitisha.

Ili uweze kumuelewesha mtu inabidi utumie lugha anayoielewa.Kama hujanielewa hapa basi kuna tatizo.
 
Mkuu nguvu nyingi unazotumia kutushawishi tukubaliane na hoja zako ungetumia kutujibu maswali yetu scientific with data. Hii kujenerolaizi stories kwamba hujui hiki sijui hiki haitatusaidia.

Nikikupa scientific paper utaamini?Njia hii nayoitumia ndio sahihi zaidi.Kama unataka scientific paper basi sema u ataka scientific paper inaelezea nini nami nitakuwekea hapahapa halafu nikusikilize utasemaje...nilishaweka hizo nyingi tu lakini watu hawasomi...labda wewe ndio utakuwa wa kwanza kusoma...haya sema unataka ipi?
 
Si vibaya ukinipa majibu yako Mkuu.

Nimekwambia nilishamjibu mtu aliyeuliza swali kama lako,fuatilia utajua tu.Sasa unaposema si vibaya nikikupa majibu yangu unamaanisha nini?kwani majibu niliyompa huyo mwingine yametoka kwa nani?
 
Anatumia nguvu nyingi sana jamaa, hakuna scientific evidence wala proof. Ni maneno mengi kama ilivyo kawaida yetu.

Sayansi haitaki maneno mengi, Deception alete proof ya kisayansi, kama hao wengine waliotela proofs zao kuwa HIV ipo.

Kama scientific paper kwako ndio itakuwa proof,basi sema unataka paper ya aina gani,au inayothibitisha nini,na mimi nitakuwekea halafu tuone utakuja na hoja gani nyingine.

Mimi nipo kuelewesha watu lakini wengi wako kwa ajili ya kubishana,hapo ndipo tofauti ilipo,watu hawajui hata wanashabikia nini.Sasa sema unataka proof gani nikuwekee hapa halafu tuone kama kweli utaisoma yote.
 
Ucje ukafanya maamz mabaya wapo kwenye HIV na wanaish cha muhim we fuata ushauri wa dactari
 
Mentor kwani kabla haujaambiwa kwamba una maambukizi ya HIV/AIDS si ulikua sawa tu? Ina maana usingeenda kupima na kupewa haya majibu usingekua na hali uliyo nayo ya kukata tamaa. Kama ni kweli majibu yamekua hivyo, haitabadilika, lakini unaweza kubadili hali na jinsi unavyolichukulia hilo jambo ndugu yetu! Tuna watu tumeishi nao na bado tuko nao wanamiaka 15, wengine 20 wakiwa wameathirika, wote tunapita, kuanzia aliyeathirika na asiyeathirika, hata kama ukiishi miaka 1000, tunarudi tuliko toka. Wote tuna uhakika kwamba iko siku tutakufa ila lini na itakuaje hatujui sio aliyeathirika wala mzima. Usiumie sana kwa kitu ambacho kwa sasa kipo nje ya uwezo wako, ukiiendekeza hiyo hali utaathirika zaidi ya madhara yenyewe ya HIV/AIDS.
 
Nikikupa scientific paper utaamini?Njia hii nayoitumia ndio sahihi zaidi.Kama unataka scientific paper basi sema u ataka scientific paper inaelezea nini nami nitakuwekea hapahapa halafu nikusikilize utasemaje...nilishaweka hizo nyingi tu lakini watu hawasomi...labda wewe ndio utakuwa wa kwanza kusoma...haya sema unataka ipi?
Nipe scientific papers from reliable and trusted source. Eg. WHO , Havard school of Medicine, Stanford, Oxford etc. Nitakuamini mkuu
 
Nimekwambia nilishamjibu mtu aliyeuliza swali kama lako,fuatilia utajua tu.Sasa unaposema si vibaya nikikupa majibu yangu unamaanisha nini?kwani majibu niliyompa huyo mwingine yametoka kwa nani?
Ulimpa nani hayo majibu mkuu.nipe jina nimtafute hapa JF au uliweka kwenye post ipi niitafute.
 
Ulimpa nani hayo majibu mkuu.nipe jina nimtafute hapa JF au uliweka kwenye post ipi niitafute.

Kwenye uzi huuhuu sikumbuki nilimjibu nani,lakini ni reply ambayo nime attach video chini yake,tafuta utaona tu kati ya zile nilizoattach video.
 
Hii story mwanzo niliona uvivu kuisoma kwa ilivo ndefu nikadhani ni story tu za Mentor kama kawaida yake... Nimeshawishika kuisoma yote

Inasikitisha,lakini Mentor ndugu hebu usikate tamaa bado unaweza. Zingatia shauri nzuri ulizopewa na wana Jf kina Mzizi mkavu na wengine. Pia huu ni wakati wako wa kua karibu na Mungu zaidi,binadamu tunaweza kukufariji hapa na pale lakini yeye ndio msaada wa kweli na uhakika.
Hhahaahhahaa sidhani kama ni kweli, Mentor ni mtunzi mahiri sana sana unakumbuka story yake ya Polisi? au shairi lake la Verrossa lilivyokuwa gumzo? Lisome hapa utaona jmaa ni mwana harakati dhidi ya UKIMWI

Verossa
 
Nipe scientific papers from reliable and trusted source. Eg. WHO , Havard school of Medicine, Stanford, Oxford etc. Nitakuamini mkuu

Hapa ndiko kwenye tatizo,hao WHO ndio wenye mradi huu wa HIV/AIDS,wewe kukosa kujua hilo ni tatizo kubwa ambalo linazalisha tatizo lingine la kutojua kwamba hata kile kinachosemwa na WHO kuhusu HIV/AIDS si kweli.But sad enough,you call them as trusted sources.

Hivi unajua kama kuna madaktari wengi wametoa machapisho kupinga uzushi wa HIV/AIDS lakini machapisho hayo yamekataliwa na WHO na hayakuchapishwa kwenye majarida maarufu kama The Lancet nk?Madaktari hawa ni maarufu sana na wengine ni wamarekani na wengine waliwahi kupewa Nobel prizes.Sasa unajua kwa nini machapisho yao yalikataliwa na WHO ambao wewe ndio unawaamini kama ndio trusted sources?

Ni criteria gani ulizotumia kujua kwamba hayo uliyotaja ndio trusted sources,halafu yako trusted na nani?Hapa kweli kuna shida,ndio maana nilisema kwamba hii njia ninayoitumia ya kufafanua mambo na kukupa documentary uangalie na kukupa homework ya kwenda kwenye vituo vya afya ukachunguze jambo fulani ndio njia sahihi kuliko zote ambayo itakusaidia moja kwa moja wewe kujua ukweli kirahisi sana,lakini kama utategemea ipo siku utaambiwa dawa imepatika na hizo unazoziita trusted sources basi utasubiri sana.

Unamjua Prof.Peter Duesberg ni nani?Unamjua Prof.Kary Mullis ni nani?Wafuatilie hawa na utajua kwa nini machapisho yao yanakataliwa na hao unaowaita trusted sources.Hawa niliowataja ni baadhi tu,na wanafahamika hadi na serikali ya USA hawa watu.Hata wale waliogundua huyo HIV feki walikuwa ni vilaza tu kwa hawa niliowataja.

Kwenye dunia hii ya sasa unahitaji kuwa mwerevu sana na kuwa na information nyingi sana ili kupata ukweli wa jambo ambalo unaweza kuliona ni dogo sana.Dunia haiko kirahisi kama unavyofikiri.

Hata Osama aliitwa gaidi,lakini ukweli ni kwamba wanajeshi wa Marekani ndio magaidi namba moja duniani na ukweli uko wazi kama kweli wewe ni mfuatiliaji wa mambo.

Siko tayari kukuwekea paper yoyote kwa kuwa tayari umeshajiwekea wigo,kwamba wewe una sources ambazo tayari unaziamini kwa mtazamo wako.
 
Back
Top Bottom