Msweet
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 3,241
- 4,441
Lakini Mkuu cases za watoto wanaozaliwa na HIV lakini wazazi wote wawili ni wazima ziko ngapi ? Unaweza kutusaidia data za tukio la namna hii?
Good Question.....
Lakini Mkuu cases za watoto wanaozaliwa na HIV lakini wazazi wote wawili ni wazima ziko ngapi ? Unaweza kutusaidia data za tukio la namna hii?
Lakini wanajuanaje.?! ... Mimi hua nashangaa sana.
pole sana. Unajua watu weng wanafanya makosa ambayo yanawaharibia maisha yao lkn hawaon hilo wanachukulia kawaida. Yakishawatokea puani wanaanza kumlalamikia Mungu. Kwann Mungu wetu tunambebesha lawama tunapokesea? Kbla haujaathirika ukiambiwa unasema shetani alinipitia ila ukipata lawama zote kwa Mungu. Kwann tunamkosea sana Mungu?
Naomba usimbebeshe Mungu lawama hana makosa.
Nenda kanisani uongozwe sala ya toba, umrudie muumba wako. Kisha anza kutumia dawa.
Ukimwi upo lkn watu weng hawalitambui hili mpaka waathirike ndio wanalitambua.
Inashangaza sana tendo la dk 30 linakuharibia maisha.
Unajua km unapenda ngono, oa tu ndio dawa lkn kila mtu unataka kumpalamia, utakuja uumie.
Ona sasa unakufa papuchi unaziacha na watu wanaendelea kula.
Aise dunia hii hebu tutulie HIV KILLS
Kabla ya kukujibu swali lako,ulitakiwa pia kujiuliza kwanini pia kuna watoto wanazaliwa HIV- wakati mama zao wamepimwa HIV+ na hawatumii ARVs?Au hujui kama kuna watoto wengi sana wa namna hii huzaliwa kila siku?
Kasumba au imani hii mliyonayo inawafanya mjiulize yale maswali mnayopenda kujiuliza tu,ila maswali yale yenye mikanganyiko ambayo iko wazi kabisa hamuwezi kuyaona kwa kuwa yako nje ya imani yenu.Akili za watu wengi ni kama zimewekewa frame/wigo wa kufikiri,haziwezi kufikiri zaidi ya kile walichokisikia kutoka kwenye vyombo vya habari kuhusu suala hili.Mtu ambaye akili yake imewekewa frame/wigo hawezi kujikwamua mwenyewe kutoka kwenye hali hiyo kwa kuwa hajijui,inatakiwa mtu mwingine kutoka nje aje amkwamue,mimi hukwamua watu wengi sana waliolemaa katika suala hili ovu,la uongo na la kikatili kabisa la HIV/AIDS.
Pia je,unajua kama kuna watoto wanapimwa HIV+ wakati mama na baba zao ni HIV-,he he heee,inawezekana hili hulijui kwa kuwa hukuwahi kufuatilia.Jambo kama hili linapotokea madaktari huwa wanasema inawezekana mtoto kanyonya maziwa ya mama mwingine aliyeathirika na takataka za majibu kama hayo,he he heee,huwa madaktari hawakosi jibu kwenye kila swali linalohusu HIV/AIDS,hata kama wanajua wanajibu pumba.Sasa je,unajua sababu halisi inayosababisha hilo kutokea?Usiniambie mtoto wa miezi 4 anaweza kufanya ngono.
Sasa kama hujui jibu la swali nililokuuliza,wewe niambie halafu mimi nitakujibu maswali yote mawili,yaani lile ulilouliza wewe na hili nililokuuliza mimi kwa pamoja.
Halafu kingine usiyaamini haya matokeo ya mahali hapo tu wakati mwingine huwa wanafanya makosa, hivyo nenda sehemu nyingine tofauti tatu ukapime ili uone huko nako majibu yatakuwa kama hayo ya kwanza.
kama hayo uliyoandika ndio pekee uliyoelewa katika ile video,basi unathibitisha jinsi unavyotembea na mwili huku akili imeshikwa na wengine.Labda kiingereza ni shida kidogo,sitakulaumu kwa hilo.Ukitaka kuthibitisha kama hujaelewa hiyo video basi jaribu kumuuliza mwingine akuelezee alivyoelewa yeye,lazima atakueleza zaidi ya hayo uliyoeleza wewe kama mtu huyo anajua vizuri kiingereza na anajua pia kusikiliza.Au JF members wengine watakuelezea,mijadala hii sikuanza leo humu JF,nilishajadili hadi na madaktari humu.Sasa kama madaktari wenye fani yao walikosa point za msingi,itakuwa wewe?Sitakulaumu kwa kuwa najua uko ktk kipindi cha mpito kiuelewa,mimi nilishapita huko zamani sana.
Mkuu nimekuelewa lakini nataka nipate uhakika zaidi uje nikupime HIV ukiwa HIV- nitakutafutia mwanamke HIV+ umgegede bila ndomu halafu after 3 months tuone matokeo.
Angalia sasa usivyojielewa, maneno mengiii bila kuhit the point.
Kwani unanijua mimi ni nani?
Crap! Acha upotoshaji
Hapo kwenye bold sijawahi kusikia mahali popote pale duniani au kusoma article ya uwezekano wa hilo kutokea. Na kama likitokea basi 110% mama kachepuka nje ya ndoa na kuwekwa mimba na muathirika.
Hebu tuwekee uthibitisho wa hata article inayoonyesha uwezekano wa hilo kutokea, vinginevyo utakuwa unatunga vitu ambavyo havipo.
Lakini Mkuu cases za watoto wanaozaliwa na HIV lakini wazazi wote wawili ni wazima ziko ngapi ? Unaweza kutusaidia data za tukio la namna hii?
Mkuu nilikuhuliza namna ya kumuachisha mtu aliyeanza kutumia ARVs lakini hadi leo HUJANIJIBU mpaka nashindwa kukuelewa una maana gani ? Basi elezea hapa jamvini au nipm
Sasa bro hebu tuambie wewe unasema ni uwongo huku watu wanazidi kuangamia je ukweli ni upi? Naomba pia uniambie unaweza kututhibitishia kisayansi kwamba kirusi hana uwezo wa kushusha kinga ya mwili? Samahani nimekuwa interested na maelezo yako.nisamehe kama nimekuwa harsh kwa baadhi ya post zako.nahitaji kuelewa zaidi.
Mkuu nguvu nyingi unazotumia kutushawishi tukubaliane na hoja zako ungetumia kutujibu maswali yetu scientific with data. Hii kujenerolaizi stories kwamba hujui hiki sijui hiki haitatusaidia.hata jinsi ya kuuliza swali ili uweze kuelewa jambo fulani nacho ni kipaji.Kwanini usiseme mimi nijichanje na pia tumchanje mwingine ambaye ni HIV+ then tupakazane damu kwenye sehemu zilizochanjwa?Huoni kama hiyo ndio italeta uhakika kwamba damu zetu lazima zitakuwa zimeingiliana?
Kufanya ngono hakuleti uhakika kwamba lazima damu zetu ziingiliane,wapo waliofanya ngono bila kinga wengi tu na watu ambao ni 'HIV+' lakini hadi leo wako safi,kwani wewe hujui hili?Au uko dunia gani?Au ni kweli hujui kwamba kuna ndoa nyingi tu mmoja ni 'HIV+' na mwingine ni 'HIV-' na wameishi kwa zaidi ya miaka 10 na wamezaa watoto na watoto nao ni 'HIV-'?Hivi ni kweli hujui hili?Muulize daktari yeyote anajua kama kuna ndoa kama hizi nyingi tu.Kama unajua lakini ume bypass basi unathibitisha ule usemi wangu kwamba kuna watu wanatembea na miili tu lakini akili zimeshikwa na wengine.Na ndio maana nasema kama kweli uchawi upo,basi kwenye hili la HIV/AIDS wamarekani wametumia uchawi kulegeza akili za watu.
By the way,nilishawahi kuchanganya damu yangu na mtu ambaye amepimwa 'HIV+' na hadi leo hii niko vilevile 'HIV-'.Najua hutaamini,ila nimeamua nikwambie tu.
Tatizo kubwa ninalolipata pale ninapojadili suala hili ni kwamba,akili za watu zimeshikwa na wengine.Hivyo kwanza natumia nguvu nyingi kuwanyang'anya ili akili hizo nizishike mimi halafu ndio nianze kuzilisha mambo ya ukweli.Vinginevyo sitaweza kueleweka kamwe.Weka akili yako kwangu kama kweli unataka kuelewa.
Tunaposhindwa kuelewana ni wewe kutumia maneno yako "wapo weeeengi " mkuu naona kama unatupigisha stories tu. Huna ushahidi wa hayo unayoyaamini.science goes with evidence and data.Usijali,nimeambiwa maneno harsh kuliko hayo ulisema wewe lakini bado nipo JF katika kazi hii isiyo na malipo.Najua ninachokifanya,ndio maana sina wasiwasi na yeyote atakayekuja kuni challenge.
Kuhusu swali lako hapo kwenye bold:
Labda nikujibu hivi; Kuna watu weeeengi sana wamepimwa HIV+ hata madaktari weeeengi wanajua hili jambo.Lakini watu hawa hawatumii ARVs katika maisha yao yote(zaidi ya miaka 20) na hawaugui kama ilivyotarajiwa.Kwanza fahamu kwamba watu kama hawa ni kweli wapo wengi tu,hata wewe au mimi naweza kuwa mmoja wao,hata mleta mada akiamua kutotumia na yeye hatauguagua.
Jambo hilo ndio mojawapo ya jambo halisi linaloonekana kwa macho ambalo linathibitisha kwamba hiko kinachoitwa 'HIV'(ingawa hakipo kiuhalisia),hakina uwezo wa kushusha kinga ya mtu yeyote yule.Ukiona mtu amepimwa HIV+ halafu anaumwaumwa ujue kuna kitu kingine tofauti na huyo HIV(feki) kimesababisha hayo.Ukirekebisha kitu hiko mtu huyo atarudi kawaida mwenye afya njema hata kama bado ni HIV+ na hata kama hatumii ARVs.Hapa ndipo mojawapo ya sehemu muhimu ambayo wengi hawajui/wamefichwa.Mambo haya ndio nitakayojadili baadaye ili watu waweze kuunganisha dots....
Ukinifuatilia kwa makini utaona kwamba ninazungumza mambo mengi sana lakini sijichanganyi,hii ni kwasababu yote ninayosema ni FACTS.Kama hujaridhika na jibu la hapo juu rudi tena.Nimeona nikujibu kitu ambacho hata wewe unaweza kukiona kwa macho ili ujue/uamini moja kwa moja bila mizengwe.Nikikupa article/scientific paper unaweza kuisoma lakini usiiamini hata kama utailewa.Halafu pia hata mainstream doctors wanaokubali kwamba HIV anasababisha ukimwi nao wanazo scientific papers,kwa hiyo scientific papers sio kitu kitakachokufanya wewe ujue ukweli huu kwa kuwa kama jambo linaweza kuonekana kwa macho na kulithibitisha,scientifc paper ya nini.
Ukienda kwenye uhalisia mainstream doctors ndipo wanaposhindwa,hii ni kwasababu kwenye uhalisia ndiko ukweli unapojidhihirisha.Lakini ukisema lete scientific papers,looooo....ma MD watakuja kuzimwaga nyingi sana hapa...hata wale ma daktari walio nje ya mainstream nao wanazo nyingi sana..halafu mwisho wa siku zitakuwa story zilezile,huelewi wapi kwenye ukweli.
Si vibaya ukinipa majibu yako Mkuu.Kuna mtu ameuliza swali kama lako,fuatilia nimemjibu,kama hujaridhika rudi tena hapa.
Anatumia nguvu nyingi sana jamaa, hakuna scientific evidence wala proof. Ni maneno mengi kama ilivyo kawaida yetu.Mkuu nguvu nyingi unazotumia kutushawishi tukubaliane na hoja zako ungetumia kutujibu maswali yetu scientific with data. Hii kujenerolaizi stories kwamba hujui hiki sijui hiki haitatusaidia.