ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,359
- 118,734
Nyani Ngabu, how old are you? ...teh teh! Tukate mzizi wa fitina hapa!
Nyani Ngabu, how old are you? ...teh teh! Tukate mzizi wa fitina hapa!
Hawa uliowataja wanakufahamu kiasi cha kujua umri wako? Ukisema wewe, hakuna atakayeuliza tena, iwe umedanganya au umesema kweli.Nikisema mimi mtasema naongopa.
Nitaachia wengine waje kuukata huo mzizi wa fitna hapa.
JS anaweza kuja kuukata huo mzizi.....
Dinazarde pia
Dark City naye kwa kiasi chake anaweza.
Mwali pia
Heck...hata Reina princess...
Hawa uliowataja wanakufahamu kiasi cha kujua umri wako? Ukisema wewe, hakuna atakayeuliza tena, iwe umedanganya au umesema kweli.
Yaani nimekusoma ila it is ironic you call yourself deception! How do you expect anyone to take you seriously with such a name?
Deception, toka nimeanza kufuatilia post zako ndani ya hii thead, nime develop interest ya kufuatia reasoning yako. Previously, nilikuwa na dismiss hizo argument kuwa conspiracy theories, na wala sikutaka kutaka kufanya research zaidi mpaka sasa...Mnaweza kuelewana katika jambo ambalo ni uongo/batili lakini msijijue.Kuelewana katika jambo fulani haina maana kwamba jambo hilo ni kweli.
Deception, toka nimeanza kufuatilia post zako ndani ya hii thead, nime develop interest ya kufuatia reasoning yako. Previously, nilikuwa na dismiss hizo argument kuwa conspiracy theories, na wala sikutaka kutaka kufanya research zaidi mpaka sasa...
you could be right..kama kuna wagonjwa watakaokusoma kwamakini na kuamua kuchukua interest ya kuangalia wataalamu wengine kupitia youtube etc, hakika watapona.
Naantombe Mushi.Sasa kama uli apply hiyo ya South Africa pale wizara ya elimu how come kwenye story yako nimekutana na hii statement?... "Nilipewa majibu kuwa nimechaguliwa pamoja na wenzangu wawili kwenda Uingereza....."
Halafu kama ni kweli sasa kwanini kwenye story nzima hatujaona neno commonwealth scholarship south Africa?
Halafu sio tu kwamba unachanganya mambo ila hata procedures za kuapply commonwealth scholarship za south Africa kwa ulivosema mwanzo kwamba ulikamilisha taratibu zote za kutuma online unanipa mashaka kidogo maana hiyo platform ya kuapply common wealth scholar. naifaham na sijaona sehem ambapo kuna destination ya scholar. za S.A kwa mwaka jana.. so thats a lie...
Kuna falacies nyingi sana kwenye bandiko lako sema kwasababu nna usingizi napata shida kuzibainisha zote.
Halafu ni vile tu hatufahamiani ila nimedevelop natural intelligence ya kugundua validity ya statement ambayo nakuwa naisoma. Ni kitu kilichojijenga kwenye maisha yangu na nilishaapa hakuna uwongo unaoweza kupita mbele yangu salama... Ndo mana mi nilivokuwa school watu walikuwa wananichukia sana maana i was always crash with facts...
hizi ni dalili za mid-life crisisUnaona sasa ulivyo sucker? Uliwahi kuniona huko kwenye food evenings au unaamini hook, line, and sinker kila niandikacho humu?
Hunijui sikujui, huo uhakika wa mimi kuhudhuria food evenings unautoa wapi wewe? Teh teh teh we jamaa bana...
Age gani unayozungumzia? We ndo mama yangu kwani?
Kwanza, hivi unanijua wewe au huwa unanisoma tu humu?
hizi ni dalili za mid-life crisis
hizi ni dalili za mid-life crisis
Sielewi kitu jamani sasa hiki kinachoua watu ni nini hasa? Nimesha changanyikiwa hawa watoto wote wanaozaliwa +ve na kinga zinashuka shida nini tuelimishe basi
sometimesAla! Kumbe na wewe huwa mchokozi eh?
Amazing.Kama kweli una nia ya kuelewa,basi twende taratibu,utajua tu.
1.Kinachoua watu ni magonjwa ya kawaida ambayo yanajulikana tangu HIV hajatangazwa,na tangu HIV hajatangazwa magonjwa hayahaya yaliua watu na yataendelea kuua watu bila kujali watu hao wamepimwa HIV+ au HIV-.Kila mtu anaweza kufa kwa magonjwa hayo bila kujali kama amepimwa HIV+ au HIV-.Magonjwa hayo ni kama vile Malaria,TB,na magonjwa mengine ya kuambukiza na yasiyoambukiza.
Ila kuna special case kwa wale wanaotumia ARVs.Kwa wale wanaotumia ARVs kwa muda mrefu halafu wakazidiwa na kuanza kuugua huwa wanakuwa au wanakufa kwa matatizo yafuatayo hapa chini;
-Matatizo ya moyo(sumu ya ARVs inaathiri mzunguko wa damu na madini ya calcium na magnesium kupotea,madini haya ndio huusika katika kutanuka na kusinyaa kwa moyo wakati wa ku pump damu).
-Matatizo ya ini: Acidity/tindikali katika damu ni sumu mbaya inayoathiri ufanyaji kazi wa ini na hata figo
-matatizo ya figo: inaathirika kwa namna ileile kama ini
-matatizo ya cancer yoyote ile,kwa wanawake huwa ni cervical au matiti:Kwakuwa ARVs zinasababisha acidity/tindikali kwenye damu,hii inaweka mazingira muhmu kwa cancer kutokea.ARVs zote zinasababisha lactic acidosis kwenye damu,rejea link hapo chini ili usome madhara ya ARVs.Link hiyo inatumiwa na CDC na WHO wale ambao "eti wanaamika kama ni reliable source wa taarifa zote za afya".Link hii ni yao wenyewe wenye huo mradi wa HIV/AIDS,yaani wamarekani.Fungua hiyo link halafu nenda kwenye WARNING,soma kwa makini.
Tenofovir Disoproxil Fumarate (Viread) | Patient Version | AIDSinfo
-Upungufu wa damu: Nadhani umeshawahi kusikia wale wanaojiweza ambao wanatumia ARVs wakifika hatua za mwisho huwa wanasafiri nje ya nchi kubadilisha damu,siku hizi hata hapa huwa wanabadilisha damu.Hii ni kwasababu bone marrow imeharibiwa vibaya na sumu ya ARVs na kukosa uwezo wa kuzalisha damu mpya vizuri.
-Kisukari: Ini linapoathirika kongosho pia haitafanya kazi vizuri,hivyo hata production ya insulin haitakuwa nzuri,pia hata upokewaji wa insulin na mwili hautakuwa mzuri kutokana na acidity kwenye damu.
Matatizo mengine ni kama vile;
-Ngozi kufubaa/kutoka vipele au vidonda na ngozi kuwasha:Hii inasababishwa na pH ya ngozi kubadilika na kutokana na madhara ya ARVs.Watu wakiona mtu amepimwa HIV+ na anatumia ARVs kwa muda halafu anajikuna au ana vipele wanajua kwamba HIV ndio sababu,kumbe sababu halisi ni ARVs.Tatizo ni ARVs lakini anasingiziwa HIV.Yaani kama vile mtu akikohoa sana kwasababu ya TB lakini anasingiziwa HIV,yaani huu umekuwa kama ushabiki wa mpira.
-Nywele kudhoofu au kunyonyoka:ARVs zina component inayofanana kabisa na ile iliyomo kwenye dawa wanazopewa watu wenye cancer,lakini kwa kiwango cha chini kidogo.Hivyo kwa mtumiaji wa ARVs ambaye hana lishe nzuri anaweza kutokewa na tatizo hili baada ya muda.Nadhani umeshawahi kuwaona wagonjwa wa cancer wakinyolewa nywele kutokana na vichwa vya kubaki na nywele moja moja tu kutokana na madhara ya chemotherapy,basi ujue ARVs zina madhara sawa na chemo kwenye nywele,yaani zinaua seli zinazohusika na kutengeneza nywele.Ila mtu nywele zake zikiwa dhaifu watu watasingizia HIV wakati sababu halisi ni ARVs.Huu nao umekuwa ushabiki sasa hivi.
Matatizo yooote niliyotaja hapo juu hayasababishwi na vijidudu(technically).Lakini ndio matatizo ya nyongeza yanayowaua watu wanaotumia ARVs kwa muda mrefu.Sasa tumia akili ujiulize hapo,kama matatizo hayo yote hayasababishwi na vijidudu na ndio yanayowaua watu wanaotumia ARVs kwa muda mrefu,sasa HIV amesababishaje matatizo hayo?
NB:
Kama mtu haamini kama matatizo hayo,yote au kadhaa kati ya hayo,ndio huwalaza wale wanaotumia ARVs kwa muda mrefu,basi asitumie nguvu kubishana na mimi,anatakiwa aende kituo chochote cha afya pindi atakapomaliza kusoma maneno haya halafu akaulizie walipolazwa watu waliopimwa HIV+ halafu wanatumia/walitumia ARVs.Akishaenda huko aulize madaktari ni mambo gani yanayowasumbua wagonjwa hao.Daktari akiwambia ni HIV,wewe muulize tena akupe tatizo halisi lililomlaza mogonjwa hapo hospitalini.Akishakwambia linganisha na na matatizo hayo niliyotaja hapo juu.Sitaki mtu abishe kabla hajaenda kituo chochote cha afya kufa homework hii.Hapa tunakwenda kwa evidence zinazoonekana kwa macho,hakuna uchawi hapa.
Kama hujaelewa njoo tena uulize.
2.Kuhusu watoto wako kinga kushuka;ni rahisi sana,kama ni kweli kinga za watoto wako zinashuka,kunaweza kuwa na matatizo yafuatayo;
-Huwapi chakula bora-mboga za majani,ulezi,mtama,dona,soy,matunda nk
-Inawezekana watoto hao unawapa sana dawa fulani fulani za hospitali mara kwa mara
-Mazingira wanayoishi si masafi,hivyo hushambuliwa na maradhi mara kwa mara
-Inawezekana pia chakula na vinywaji wanavyotumia si vizuri kutokana na umri wao.Wape juisi za matunda halisi,usiwape juisi za viwandani,wape supu ya mboga za majani,wape uji/ugali wa dona/ulezi/mtama au soy.
Mambo mengine ningeweza kukushauri vizuri kama ningewaona watoto wenyewe na kujua mazingira wanayoishi.
sometimes
Kwani kuna sehemu nimesema nakujua? Stori zako humu ndio zinafanya watu wa guess vitu. Kama ambavyo kila siku unapost vibendera vya USA huku ukiimba USA baby watu wanajua uko USA na hawajawahi kukuona au labda kufika huko USA. BTW why are u so sensitive watu wakiguess umri wako? nini cha ajabu? suppose ur not 60 and i say you are 60 unapungukiwa nini?
Hahahaaaaaaa! Somo limeeleweka hatari. I just wonder why now?