Uuh basi tumsubiri. BTW ulitaka kummention Deception au Ushimen?Nami pia natamani sana kumwelewa ndugu yangu Deception .... Natamani sana kuelewa anamaanisha nini between the lines
Huyu jamaa ni kama user name yake. Hana scientific evidence zaidi ya kuandika magazeti ya uongo tu.Wewe ni muongo wa kutupa, unavyoandika havipo acha kupotosha watu humu na uongo wako.
Lazima maisha yasonge, hakuna shortcut katika hili. Watu wakiamua kuwa wazi kuhusu status zao humu kama alivyofanya brother Mentor tutashangaa na kustaajabu.Yani kama upo moyoni mwangu vile. "saikolojia" yangu imekufa kabisaaa. Kupima mbona napima tu hata sasa hivi. Kuna hii statement " Mungu ungeninyima scholarship, ukanipa afya yangu". Nishawahi ishuhudia statement kama hiyo kwa mtu wangu wa karibu sana. its a very sad long story, ila katika yote alimuomba Mungu amuachie tu afya yake, basi. Since that day HS niamke sijui nina majanga gani, ila nikiwa tu na afya, siumwi mmmh nasahau mengine yote kwa muda
I still pray ninachokiamini kuhusu story hii kiwe hivyo kweli. Otherwise as ulivyosema maisha lazima yaendelee whether + or -. As long as mtu huumwi kwamba umelazwa tu kitandani.....you just go out there and validate your dreams.
Uuh basi tumsubiri. BTW ulitaka kummention Deception au Ushimen?
Hilo nalo neno, tukisema kila mtu afunguke mmh.Lazima maisha yasonge, hakuna shortcut katika hili. Watu wakiamua kuwa wazi kuhusu status zao humu kama alivyofanya brother Mentor tutashangaa na kustaajabu.
Oooh me nilimquote ushimen. Hizo arguments za Deception ntazipitia siku nikitulia...Deception
Daah,inauma na inaumiza kweli.
Daah, inauma na inaumiza kweli.
usiwaze bestito hayo ndo matokeo ameamua kutushirikisha mabestito wenzake ila cha msingi asikate tamaaNaendelea kuwaza kama alichoandika Mentor ni stori au ni scenario ya kweli kabisa..... Ohhhh So sad.
Mkuu....Hilo nalo neno, tukisema kila mtu afunguke mmh.
Ushimen em nishirikishe ulichonielewa please
Jaman mimi nazidi kuumia.... naumia sana jamani
Mentor njoo uonekane humu mara moja tu walau nikuulize kitu kimoja...
Nina hali mbaya![]()
Hili andiko lako limenindosha chozi aiseeee....HUMBLE REQUEST: Sijaomba mnipe pole lakini jamani mbona tunatukanana? Why abuse me lakini?
Nisameheni kwa kukosea kushare my story but I wanted people to know. Its not fair kuja PM na kunitukana wakuu.
hadi naogopaHUMBLE REQUEST: Sijaomba mnipe pole lakini jamani mbona tunatukanana? Why abuse me lakini?
Nisameheni kwa kukosea kushare my story but I wanted people to know. Its not fair kuja PM na kunitukana wakuu.
Mkuu, are you seroius aisee una dawa waathirika tujiongeze aisee.nipo teyari kukupa dawa ambayo nimeachiwa na babu yangu...na wala usijari kuhusu malipo sitachukua ata shilingi yako kama upo teyari nitafute usikate tamaa jamii bado inakuhitaji