Sitaki dawa

Sitaki dawa

...sisy darling, story imepoteza hisia zako? Naamini hakugusi mtu kwa mda . Haya sasa tukapime, nakusindikiza usijali
Mentor ni msimuliaji mzuri sana, ametupa awareness tu, at least naamini hivyo.
Yani kama upo moyoni mwangu vile. "saikolojia" yangu imekufa kabisaaa. Kupima mbona napima tu hata sasa hivi. Kuna hii statement " Mungu ungeninyima scholarship, ukanipa afya yangu". Nishawahi ishuhudia statement kama hiyo kwa mtu wangu wa karibu sana. its a very sad long story, ila katika yote alimuomba Mungu amuachie tu afya yake, basi. Since that day HS niamke sijui nina majanga gani, ila nikiwa tu na afya, siumwi mmmh nasahau mengine yote kwa muda

I still pray ninachokiamini kuhusu story hii kiwe hivyo kweli. Otherwise as ulivyosema maisha lazima yaendelee whether + or -. As long as mtu huumwi kwamba umelazwa tu kitandani.....you just go out there and validate your dreams.
 
ukimwi haitibu...ila virusi vya ukimwi kwa asilimia 89...inaondoa...nimekujibu wewe tuu mimi sio mganga na wala sitangazi biashara

Sawa mkuu, kwa hili tupo pamoja.

Ni kweli dawa zinashusha kiwango cha VIRUSI kwenye damu hivyo upo sahihi.
 
Wewe ni muongo wa kutupa, unavyoandika havipo acha kupotosha watu humu na uongo wako.

Unaona hapo kwenye bold jinsi unavyojiwekea frame/wigo ambao unazuia akili yako kujua nje ya hapo?Ndio maana nasema ili ujue ukweli wa uongo wa HIV/AIDS lazima utoke kwenye wigo uliozungushiwa.

Hoja za watu wengi humu hazilengi kuelewa,bali zinalenga kubaki mulemule kwenye frame/wigo waliozungushiwa.Hivi ukiona kwa macho bado utahitaji article?Au article iliyoandikwa na mtu bila kujali kama mtu huyo ana interest gani kwenye hiyo article inaweza kweli kuwa zaidi ya kile unachokiona kwa macho yako?

Ukijua kitu halisi kinachopimwa na hivyo vipimo vinavyoitwa 'vya HIV' ni rahisi sana kwako kujua kwamba jambo hilo linawezekana kirahisi sana,hata wewe unaweza kupimwa HIV+ hata kama hujawahi kuwa katika mazingira yanayoitwa 'hatarishi'.Unaweza kupimwa HIV+ hata kama huna kirusi chochote kwenye damu.Funguka kuanzia hapa.Kuna documentary moja ya kitafiti usikilize kwa makini sana,inazungumzia 'vipimo vya HIV',inaitwa Birth of Heresy(Positively False).Angalia hii doc na usikilize kwa makini sana(kusikiliza na kuelewa nacho ni kipaji),ukimaliza rudi hapa tuendelee kujadili,nadhani hii doc itakutoa kwenye huo wigo uliozungushiwa.

Kuhusu articles,zipo nyingi sana lakini huwezi kuzikuta kwenye The Lancet kwa kuwa Lancet na majarida mengine kama hayo yanamilikiwa na walewale walioanzisha uzushi huu.Inabidi utambue kwamba kuna juhudi za makusudi za kuzuia watu wasijue ukweli huu.Sasa ili wewe ujue ukweli huu ni lazima uende nje ya hapo.Mfuatilie Thabo Mbeki jinsi walivyomtengenezea zengwe na kisha kutolewa kwenye uongozi kwa kashfa nyingine kabisa wakati aliposema kwamba HIV sio sababu ya Ukimwi.Thabo Mbeki ni mtu mwenye akili timamu,wewe bado hujiulizi kwanini amesema haya maneno?

Ushauri:
Kama kweli unataka kujua hicho ulichouliza hapo juu,tembelea kwenye vituo vya afya vinavyofanya upimaji huo.Pale utapewa data,zunguka kwenye vituo kadhaa,ukifanya lazima utakutana na case kadhaa za namna hiyo.Najua ni vigumu kwako kufanya hivyo,ila nimeamua tu kukushauri.

Birth of Heresy;
 
Mkuu Deception nimesoma hizo karatasi (paper) za prof Duesberg ila nilichoona ana-argue kuwa AIDS haisababishwi na HIV ingawa hasemi kuwa HIV haipo kama wewe unavyodai. Na pia findings zake bado sio conclusive kwa sababu walimkatia funds za kuendelea kufanya research. Ametumia statistical analysis by comparison with other epidemic diseases characteristically to argue that HIV is NOT the agent of AIDS and his arguments makes a lot of sense actually.

Hivyo basi mimi nafikiri wewe unachotakiwa kufanya ni kuwakilisha huu upande wa pili wa shilingi lakini sio kudai ndiyo mwenye ukweli wote kama unavyofanya sasa.

Hapa ndiko kwenye tatizo,hao WHO ndio wenye mradi huu wa HIV/AIDS,wewe kukosa kujua hilo ni tatizo kubwa ambalo linazalisha tatizo lingine la kutojua kwamba hata kile kinachosemwa na WHO kuhusu HIV/AIDS si kweli.But sad enough,you call them as trusted sources.

Hivi unajua kama kuna madaktari wengi wametoa machapisho kupinga uzushi wa HIV/AIDS lakini machapisho hayo yamekataliwa na WHO na hayakuchapishwa kwenye majarida maarufu kama The Lancet nk?Madaktari hawa ni maarufu sana na wengine ni wamarekani na wengine waliwahi kupewa Nobel prizes.Sasa unajua kwa nini machapisho yao yalikataliwa na WHO ambao wewe ndio unawaamini kama ndio trusted sources?

Ni criteria gani ulizotumia kujua kwamba hayo uliyotaja ndio trusted sources,halafu yako trusted na nani?Hapa kweli kuna shida,ndio maana nilisema kwamba hii njia ninayoitumia ya kufafanua mambo na kukupa documentary uangalie na kukupa homework ya kwenda kwenye vituo vya afya ukachunguze jambo fulani ndio njia sahihi kuliko zote ambayo itakusaidia moja kwa moja wewe kujua ukweli kirahisi sana,lakini kama utategemea ipo siku utaambiwa dawa imepatika na hizo unazoziita trusted sources basi utasubiri sana.

Unamjua Prof.Peter Duesberg ni nani?Unamjua Prof.Kary Mullis ni nani?Wafuatilie hawa na utajua kwa nini machapisho yao yanakataliwa na hao unaowaita trusted sources.Hawa niliowataja ni baadhi tu,na wanafahamika hadi na serikali ya USA hawa watu.Hata wale waliogundua huyo HIV feki walikuwa ni ****** tu kwa hawa niliowataja.

Kwenye dunia hii ya sasa unahitaji kuwa mwerevu sana na kuwa na information nyingi sana ili kupata ukweli wa jambo ambalo unaweza kuliona ni dogo sana.Dunia haiko kirahisi kama unavyofikiri.

Hata Osama aliitwa gaidi,lakini ukweli ni kwamba wanajeshi wa Marekani ndio magaidi namba moja duniani na ukweli uko wazi kama kweli wewe ni mfuatiliaji wa mambo.

Siko tayari kukuwekea paper yoyote kwa kuwa tayari umeshajiwekea wigo,kwamba wewe una sources ambazo tayari unaziamini kwa mtazamo wako.
 
Kama hadithi uliyoleta ni kweli ilitokea kwako,basi nakushauri yafuatayo;

1.Unaoekana kuwa na uelewa wa mambo mengine lakini hili la HIV/AIDS(ambalo ni feki) hulijui,hivyo utayari wako wa kufuatilia ili kujua kwanini na kwa vipi HIV/AIDS ni feki ndio utakaokuokoa.HIV/AIDS ni feki na ndio maana kuna watu wengi wana claim kuwa na dawa na wana claim kuponesha watu,na ni kweli wapo watu wengi waliopima HIV+ halafu wakaja kupima HIV- baadaye,haya yote hutokea kwa kuwa HIV/AIDS ni feki.HIV/AIDS is not real,but rather it is a MINDSET disease.

2.Endelea kufuata uamuzi wako wa kutokunywa ARVs kwa kuwa ARVs ndio kitanzi na ndio zinazosababisha vifo kwa wale wanaozitumia baada ya muda mrefu,kama hutumii ARVs hutakufa kwa hiko kitu kinachoitwa 'HIV'(ambacho ni feki).Matatizo yote unayoyaona kwa wale ambao umeambiwa wameathirika na wanatumia ARVs yamesababishwa na ARVs,kama mtu hatumii ARVs lakini anaumwa,basi lazima ukimpima utamkuta na ugonjwa unaofahamika ambao unatibibika kabisa kama atapewa matibabu mapema,mfano TB,pia ugonjwa huo unampata mtu yeyote bila kujali kama amepimwa HIV+ au HIV-.Nywele kudhoofika/kunyonyoka,ngozi kufubaa/kutoka vipele/vidonda,ini kufeli,figo kufeli,ugonjwa wa moyo,upungufu wa damu,cancer yoyote na kisukari ni baadhi ya matatizo makubwa yanayowaua wale wanaotumia ARVs,wale wasiotumia ARVs huwezi kuwakuta na matatizo haya hata kama wamepimwa HIV+ na hawajatumia ARVs kwa zaidi ya miaka 40(ie their lifetime).Hapa unatakiwa kujua kwamba ARVs ndio mambo yote,HIV ni scaring tactic tu.Unajengewa woga uogope HIV then unajengewa MINDSET ya kukimbilia kula ARVs ambazo ndizo zitakazokuua,pharmaceutical tycoons have made a very simple trick to grab our minds.

3.Kitu kingine ambacho ni kibaya sana ni kwamba,watu wengi wakishapima na kuambiwa ni HIV+,baaaasi,ndio wamemaliza,hawapimi tena katika maisha yao kwa kuwa tayari kwenye bongo zao kuna kale ka mindset kwamba ukishakuwa na HIV ndio baasi,eti HIV hatoki mwilini mpaka kifo kitakapokukuta.Lakini hawajui kwamba kinachopimwa na kipimo SI HIV,bali vipimo hupima vitu 'VINGINE' kabisa tofauti na HIV,and infact vipimo havipimi kijidudu chochote kile kwa muonekano.Hivi vitu ambavyo naviita 'VINGINE' huweza kuwepo kwenye damu ya mtu yeyote yule(hata Obama au Bush) bila kujali kama kwenye damu kuna vijidudu vyovyote au la.Na ndio maana leo hii ukimuuliza daktari yeyote yule unayemjua kama ameshawahi kuona HIV hata kwa kutumia chombo chochote cha maabara,atakwambia "sijawahi",sasa kama hajawahi kuona HIV kwa macho yake anaamini nini?anapima nini?wamejuaje kama HIV ndio husababisha UKIMWI?Hivyo kama utakuwa tayari nitakushauri jambo la kufanya halafu uende kupima tena mara kwa mara mpaka upata majibu HIV- then uje tena hapa uwe shuhuda kwa wengine,sitahitaji chochote kutoka kwako,hii ni kwasababu ninajua hiki ninachokisema ni ukweli mtupu,sibahatishi.

4.Fahamu pia kwamba MINDSET ndio inayofanya watu washindwe kutofautisha kati ya HIV(ambaye ni feki pia) na UKIMWI(ambao upo lakini hauui).HIV hayupo kiuhalisia,UKIMWI upo lakini SI ugonjwa na hauui.Ukimwi si kitu cha kuogopa kwa kuwa hauui na UKIMWI hausababishwi na HIV(Feki),kila mtu anaweza kupata ukimwi na ukimwi huondoka wenyewe mwilini kama mtu utabadili style ya maisha iliyokufanya uwe na upungufu wa kinga.Akili ni kitu cha ajabu sana,yaani ukisema IKIMWI watu wanaogopa sana,lakini ukisema upungufu wa kinga watu hawashtuki wala kuogopa,watu hawana hisia kwamba UKIMWI ndio upungufu wa kinga,hii inatokana na MINDSET mbovu zilizojengeka kwa zaidi ya miaka 30 baada ya kampeni nzitonzito zilizoambatana na movie zenye vitisho za 'eti ukimwi' na matangazo redioni na kwenye TV,kampeni hizi zimefanikiwa kupenyeza IMANI(na si FACT) kwenye vichwa vya watu ambazo zimedumu hadi leo hii.

NB:
Sitakushauri chochote mpaka pale utakapoonesha utayari,nisingependa kupoteza muda wangu bure kwa mtu aliyegubikwa na MINDSET mbaya.Mtu anayeongozwa na MINDSET mbaya kama hizi za HIV/AIDS huwa ni vigumu sana kuuona ukweli,nina mifano.Hata kama unaeleza FACT, mtu hawezi kuiona hiyo FACT iko wapi,hili ni tatizo kubwa sana.

Habari kama hizi zinapaswa watu wazifurahie kwa kuwa ni habari njema zinazookoa maisha yako na wengine kama utazitujua,lakini kinyume chake watu huishia kudharau na kukebehi tu.Ndio maana nasema hii IMANI tuliyojengewa kwenye HIV/AIDS imetumia akili nyingi sana kiasi cha mtu asiyependa kufikiri kushindwa kung'amua ukweli ulivyo.

Utayari wako wa kusikiliza ndio ukombozi wako kiafya na kifikra hasa kuhusu suala hili.Ninaamini kama ulichoeleza ni kweli na wewe ulikuwa na sifa ya kusoma masters,basi utaelewa hiki ninachosema ingawa hutakuwa na full confidence,full confidence utaipata pale utakapoanza kuruhusu ubongo wako kupokea zaidi ya haya.

HAMNA CHA ADIOS HAPA....
 
Wapendwa, thanks for the wishes ingawa sidhani kama ninastahili pole kutoka kwenu.

I am on my way kwenda Moshi kwa wazazi, kichwa kinaniuma kuwaza nitamueleza nini mama yangu. If only I could turn back the years.

Kama nilivyosema mwanzo sitatumia dawa ya mtu yeyote ile. I chose this.

83098160a7206d6dd08a8d2a7ff75464.jpg


7b7b00222f0a8e000e56ab497759463a.jpg
nashindwa kuamini kabisa Mentor nashindwa kuelewa kuwa ni kweli au ni stori tu

ila ninachokuomba kuwa strong bible katika jeremia 27:31-32 sijakosea au kama nimekosea andiko ila linasema kuwa nanukuu "Mimi ni Bwana Mungu wa wote wenye mwili je kuna jambo gumu nisiloliweza? hakuna jambo gumu linaloshinda Mungu cha kufanya mruidie muumba wako naye atakuotokea na fanya maamuzi magumu ya kumkabidhi Yesu maisha yako soma wapilipi 9:10-12 ukiamini kwa kinywa chako utapata wokovu naye Mungu atakuponya mtegemee Mungu na kuwa mtu wa maombi atakutokea husikate tamaa na kuvunja ndoto zako endelea kusoma na songa mbele my besttito friendy
 
Take it easy bro. Bado una nafasi yakufikia malengo yako. Nakusihi pia usiwaambie ndugu zako hali hii. Hasa wale wanaokutegemea utawakatisha tamaa.
 
Jaman mimi nazidi kuumia.... naumia sana jamani
Mentor njoo uonekane humu mara moja tu walau nikuulize kitu kimoja...
Nina hali mbaya
 
Yani kama upo moyoni mwangu vile. "saikolojia" yangu imekufa kabisaaa. Kupima mbona napima tu hata sasa hivi. Kuna hii statement " Mungu ungeninyima scholarship, ukanipa afya yangu". Nishawahi ishuhudia statement kama hiyo kwa mtu wangu wa karibu sana. its a very sad long story, ila katika yote alimuomba Mungu amuachie tu afya yake, basi. Since that day HS niamke sijui nina majanga gani, ila nikiwa tu na afya, siumwi mmmh nasahau mengine yote kwa muda

I still pray ninachokiamini kuhusu story hii kiwe hivyo kweli. Otherwise as ulivyosema maisha lazima yaendelee whether + or -. As long as mtu huumwi kwamba umelazwa tu kitandani.....you just go out there and validate your dreams.
Sasa naanza kukuelewa dada.
Ebu ngoja niishie hapa maana ukubwa nao ni pamoja na kujifunza kua na kifua pasipo kuingia GYM
 
Amepataje ujasiri wa kufunguka tena mapema mno.
Kupata ujasiri ni moja ya sehem ya ukomavu aiseeee....
Na yawezekana kwa ujasiri huo alio uonyesha Mentor, ikasababisha kupona kwa wengi ama wachache na walio kwenye maambukizi wakajiona ni wathamani na maisha yao yakajijenga upya kama hapo kale.

Done....
 
Dah nimesoma kwa kurudia rudia ili nijue kama ni chai au vipi? Lakini ukisoma vuzuri utagundua mood ya mwandishi ni Sad, so inawezekana ni ukweli, pole sana kaka mentor, bado una maisha marefu so usikate tamaa kaka.
 
Back
Top Bottom