Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Hali ya hewa hainiruhusu kuwa na AmaniOoh,. Kwann unasema hivyo lakiniii![]()
Hali ya hewa hainiruhusu kuwa na AmaniOoh,. Kwann unasema hivyo lakiniii![]()
Hii ni story ya kutunga kwa fact moja tu kuna sehemu umesema miaka 24 yaani piga mahesabu mtu aliyemaliza chuo na akasota mtaani miaka minne inakuwaje awe na miaka 24
Sent using Jamii Forums mobile app
Oohoooo...hilo ndio neno fimbo ya mbali haiui hata sisimiziWewe Acha tuu, japokuwa Jemmy na wasiliana naye il Kinachonitia hofu ni kile kiitwacho Fimbo ya mbali haiui nyoka
Nini mbaya??Hali ya hewa hainiruhusu kuwa na Amani
Wakati huo ushasota mtaani miaka minne sioMkuu hiyo si sababu ya kufanya stori hii iwe ya kutunga. Nimesema miaka 24 kipindi kile nikiwa naingia hotelini kuonana na Jemmy.
Nafikiria kwenda sehemu ila kwa hali hii nashindwa kutokaNini mbaya??
Sasa ushakubali kwamba umetunga sio..ila umejitahidi hongera sanaNimekupata
Hahahahaa hata sisi wa ng'apa iko hivyo tunatofautiana tuu mambo mambo flan flan...lakini ishu ya umbali inabaki kuwa changamotoComment yako inahuzunisha sana Mkuu.
Yaani kuwa na demu wa kimataifa unaweza ukajihisi mwanadiplomasia
Nafikiria kwenda sehemu ila kwa hali hii nashindwa kutoka

wizarani eeh??Aah hata mtu uwe kapuku vipi kama mm au ww,.huwezi kosa wizara yako ndogo mahali...tehKapuku mimi, wapi na wapi na Wizara.![]()
![]()
![]()

Kumbeee.Aah hata mtu uwe kapuku vipi kama mm au ww,.huwezi kosa wizara yako ndogo mahali...teh![]()

Sasa ushakubali kwamba umetunga sio..ila umejitahidi hongera sana
Sent using Jamii Forums mobile app
We nzingueee tuu![]()
"Usiliieee" mwanaume analia kama simbaa peke yake usiku wa mananee"" Sasa Mimi masikni niende wapi?" In Bella voice