Sitaisahau siku ya interview

Nimejifunza kitu hapa,kwamba ni vyema
kutumia vizuri bum,badala ya kuwekeza
kwenye umarioo,kumbe kuna maisha
baada ya chuo,Hayo mengine ya Jemmy
nakuachia ila nimepata fundisho.


Mkuu sio tuu Bumu, chochote kihusucho pesa wekeza. Mimi niliwekeza kwa kina Miss Udsm
 
Back
Top Bottom