James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,527
- 16,232
Ktk utunzi kama huu andika uzaMkuu shukrani sana. Sehemu gani hiyo
Ktk utunzi kama huu andika uzaMkuu shukrani sana. Sehemu gani hiyo
Tumia wizara ndogo ya ndani Mzee mwenzangu[emoji23][emoji23]oh yeah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wizara ya mambo ya nje iko mbali sana, inahitaji Drimulaini kabisa
Ili niwe huru zaidi natakiwa niwe Wizara ya Nje.Tumia wizara ndogo ya ndani Mzee mwenzangu[emoji23][emoji23]oh yeah
Hivi GU dume anaweza kutunga kwa uzuri kama hivi? Nimeangalia mchezo wa lugha siyo story tuuDouble Id, kama sio Galagadu ni Gudume.
Jiwe yuko na kuomboleza bado saa hii,..unaweza fanya kitu cha fasta na ukaweka mambo mubashara kabisaaa[emoji3]Ili niwe huru zaidi natakiwa niwe Wizara ya Nje.
Wizara ya ndani kutumbuliwa kupo nje nje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Jiwe yuko na kuomboleza bado saa hii,..unaweza fanya kitu cha fasta na ukaweka mambo mubashara kabisaaa[emoji3]
Em kwanza nipe simu nimuulize baba ubayaa...Mkuu nimelia usiku wa manane mpaka nimefikia kiwango chango cha mwisho cha kilio.
"Nitoke vipi mkuu?" In bwana misosi voice
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Tuishie hapa, naona dalili za tuendako sio salama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12]
Naaamm Chief,.na iwe kama ulivyonena..[emoji4]Tuishie hapa, naona dalili za tuendako sio salama
Nimejikuta nacheka ila angalau intaavuuu ilikukutanishaaa na toto ndugu wa toniiii jaaaaaHata na wewe unanicheka Mkuu?
Ebhanaaaaah kwa hiyo shooo nzima na kunena kwa lugha hakuna cha maana mlichokiachaa ??Hahaaaaa!!!! Mkuu mimi na Tony Jaaa ni Mashemeji kabisa. Inabidi nikaombe kazi ya uigizaji huko thailand