[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkemia mkuu wa serikali bila shaka...Hii hali sio poa kabisa maana ofisi ya mkemia mkuu inapata tabu sana...
Umelenga mule mule mubashara kabisa..[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkemia mkuu wa serikali bila shaka...
Nimependa jinsi ulivyosimuliaSio Stori Mkuu, hata hapa nilipo bado nipo kwa Bibi Nyau
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]raha saana,.hii hali iendelee hivihivi leo,Umelenga mule mule mubashara kabisa..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jemmy yupo kwa trump mimi nipo kwa bibi nyau[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hunitakii mema kwa kweli[emoji134] [emoji134] [emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]raha saana,.hii hali iendelee hivihivi leo,
Joka jeusi my brother for sure una kipaji umekificha ndani kwa bibi nyau siku ukiweza kukitambua hizo interview hutazishobokea tena upo vizuri kwenye utungaji wewe kiumbe kuanzia Leo acha kulala endeleza kipaji chako
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mema tuu chief,.nakutakia vinono kweli siku ya leo,Hunitakii mema kwa kweli[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Hivo vinono havitanifaa endapo sitakuwa furaha na amaniSio mema tuu chief,.nakutakia vinono kweli siku ya leo,
Me nikajua naww utakuwa kwa tiramp sa hii...[emoji16]Teh..teh..teh!!
Mkuu hata wewe unacheka jinsi jiwe anavyoniumbua mjini kweli
Ooh,. Kwann unasema hivyo lakiniii[emoji22][emoji22]Hivo vinono havitanifaa endapo sitakuwa furaha na amani