Sitafanya romancy ya kumlamba mwanamke tena kipindi cha mapenzi

Za asubuhi wakuu,

Niende kwenye mada, hapa niko kwenye haisi(daladala) kuelekea Buhogwa na mbele ya siti yangu kuwa wadada warembo wekaa ni marafiki lakini mmoja amechukuwa tyubu fulani ameanza kujipaka usoni halafu haijatosha amechukuwa poda ya rangi ya udongo nayo anajipaka.

Sasa nimejiuliza huyu dada labda ndio ni mpenzi wangu na anakuja kwangu mda huu, halafu ndio naanza kulamba mwili wake kumbe nakula poda na tyubu bila chenga zaidi ya yote nakula kemiko(chemical)ukweli sitafanya hivyo tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo ww huwa unawaparamia nakulamba kabla yakuwapeleka bafuni ???mwanamke lazima aende bafuni kwanza naukiki kaoga .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: lup
Weeee....acha kabisa...binti shurti apikwe deki kwa kumpindua pindua kila mahala haswa masikioni, kwenye chuchu, uvunguni mwa shingo, kuzunguka kiuno, mfereji wa wima mgongoni...
Uko sawa mkuu...wengine wanajidai wasafi hapa wakati huenda wanalammba hadi njia ya kisamvu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu sio wa hapa kwetu! Watu tumeanza kulamba tangu tuko vijana mpaka Leo yeye ndio analiona
 
  • Thanks
Reactions: lup
Mkuu mjini haupawezi, tuachie sisi.

Kwa uelewa wangu wa kemia, body powder hutumika kwajili ya urembo na pia kufyonza jasho na mvuke mwilini, ina ingredients kama sodium acrylate copolymer, essential oil kama cinnamon, calcium carbonates, . Vitu ambavyo havina madhara kwenye mwili wa binadamu.

Unakataa mambo ya romance lkn unaenda nunua pepsi yenye kemikali kama 4-Methylimidazole ambayo kikemia hii ni carcinogenic chemical. Yani chemikali ambayo inaleta chronic cancer mwilini.

Unaacha kumla denda bibie unaenda nunua Mo energy, red bull au dragon ambazo zinq kiwango kikubwa cha Taurine... basically taurine inakua extracted kutoka kwenye shahawa za ng'ombe dume (bull/Ox).

Unaenda kununua fanta wakati chupa yake imetengenezwa kwa Bisphenol-A - huyu ni mdau makini sana wa kukuletea prostate cancer.
Asante
 
Kila kitu cha nje ya mwili hakiliwi kaka, huwezi sema hakina madhara. Ndo maana hzo make up huwezi paka sehem yenye kidonda or inner part ya mwili. Yaweza isiwe na athari nje ya mwili lakini ikiingia ndani haifai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: lup
Mkuu mjini haupawezi, tuachie sisi.

Kwa uelewa wangu wa kemia, body powder hutumika kwajili ya urembo na pia kufyonza jasho na mvuke mwilini, ina ingredients kama sodium acrylate copolymer, essential oil kama cinnamon, calcium carbonates, . Vitu ambavyo havina madhara kwenye mwili wa binadamu.

Unakataa mambo ya romance lkn unaenda nunua pepsi yenye kemikali kama 4-Methylimidazole ambayo kikemia hii ni carcinogenic chemical. Yani chemikali ambayo inaleta chronic cancer mwilini.

Unaacha kumla denda bibie unaenda nunua Mo energy, red bull au dragon ambazo zinq kiwango kikubwa cha Taurine... basically taurine inakua extracted kutoka kwenye shahawa za ng'ombe dume (bull/Ox).

Unaenda kununua fanta wakati chupa yake imetengenezwa kwa Bisphenol-A - huyu ni mdau makini sana wa kukuletea prostate cancer.
Bonge la point, big up!

Acha ujinga we unakula mzigo bila kuoga!!!
 
Back
Top Bottom