Sitafanya romancy ya kumlamba mwanamke tena kipindi cha mapenzi

Sitafanya romancy ya kumlamba mwanamke tena kipindi cha mapenzi

Mkuu mjini haupawezi, tuachie sisi.

Kwa uelewa wangu wa kemia, body powder hutumika kwajili ya urembo na pia kufyonza jasho na mvuke mwilini, ina ingredients kama sodium acrylate copolymer, essential oil kama cinnamon, calcium carbonates, . Vitu ambavyo havina madhara kwenye mwili wa binadamu.

Unakataa mambo ya romance lkn unaenda nunua pepsi yenye kemikali kama 4-Methylimidazole ambayo kikemia hii ni carcinogenic chemical. Yani chemikali ambayo inaleta chronic cancer mwilini.

Unaacha kumla denda bibie unaenda nunua Mo energy, red bull au dragon ambazo zinq kiwango kikubwa cha Taurine... basically taurine inakua extracted kutoka kwenye shahawa za ng'ombe dume (bull/Ox).

Unaenda kununua fanta wakati chupa yake imetengenezwa kwa Bisphenol-A - huyu ni mdau makini sana wa kukuletea prostate cancer.
Uko vzr mkuu ila still huo alioongelea pia ni uchafu ambao nadhani pia ukiu consume kwa wingi lazima madhara yawepo.
 
  • Thanks
Reactions: lup
Back
Top Bottom