Sitafanya romancy ya kumlamba mwanamke tena kipindi cha mapenzi

Sitafanya romancy ya kumlamba mwanamke tena kipindi cha mapenzi

lup

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
2,514
Reaction score
2,744
Za asubuhi wakuu,

Niende kwenye mada, hapa niko kwenye haisi(daladala) kuelekea Buhogwa na mbele ya siti yangu kuwa wadada warembo wekaa ni marafiki lakini mmoja amechukuwa tyubu fulani ameanza kujipaka usoni halafu haijatosha amechukuwa poda ya rangi ya udongo nayo anajipaka.

Sasa nimejiuliza huyu dada labda ndio ni mpenzi wangu na anakuja kwangu mda huu, halafu ndio naanza kulamba mwili wake kumbe nakula poda na tyubu bila chenga zaidi ya yote nakula kemiko(chemical)ukweli sitafanya hivyo tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Za asubuhi wakuu.
Niende kwenye mada,hapa Niko kwenye haisi(daladala)kuelekea buhogwa na mbele ya siti yangu kuwa wadada warembo wekaa ni marafiki....lakini mmoja amechukuwa tyub Fulani ameanza kujipaka usoni halafu haijatosha amechukuwa poda ya rangi ya udogo nayo anajipaka.sasa nimejiuliza huyu dada labda ndio ni mpz wangu na anakuja kwangu mda huu,halafu ndio naanza kulamba mwili wake....kumbe nakula poda na tyubu bila chenga zaidi ya yote nakula kemiko(chemical)ukweli sitafanya hivyo tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Huna utaratibu wa usafi kabla ya kugegedana mkuu?!
 
Mkuu mjini haupawezi, tuachie sisi.

Kwa uelewa wangu wa kemia, body powder hutumika kwajili ya urembo na pia kufyonza jasho na mvuke mwilini, ina ingredients kama sodium acrylate copolymer, essential oil kama cinnamon, calcium carbonates, . Vitu ambavyo havina madhara kwenye mwili wa binadamu.

Unakataa mambo ya romance lkn unaenda nunua pepsi yenye kemikali kama 4-Methylimidazole ambayo kikemia hii ni carcinogenic chemical. Yani chemikali ambayo inaleta chronic cancer mwilini.

Unaacha kumla denda bibie unaenda nunua Mo energy, red bull au dragon ambazo zinq kiwango kikubwa cha Taurine... basically taurine inakua extracted kutoka kwenye shahawa za ng'ombe dume (bull/Ox).

Unaenda kununua fanta wakati chupa yake imetengenezwa kwa Bisphenol-A - huyu ni mdau makini sana wa kukuletea prostate cancer.
 
Ushamba mzigo,bora ungeuliza na sio tyub,hiyo tube ya nini? Ni inayofanya kama ni poda au make up I last longer bila kuchuja. Kazi kwako kama utalamba Uso au nyuchi maamuzi
 
Back
Top Bottom