Mkuu wasalimie hapo Buhongwa, waambie niwamis sanaZa asubuhi wakuu,
Niende kwenye mada, hapa niko kwenye haisi(daladala) kuelekea Buhogwa na mbele ya siti yangu kuwa wadada warembo wekaa ni marafiki lakini mmoja amechukuwa tyubu fulani ameanza kujipaka usoni halafu haijatosha amechukuwa poda ya rangi ya udongo nayo anajipaka.
Sasa nimejiuliza huyu dada labda ndio ni mpenzi wangu na anakuja kwangu mda huu, halafu ndio naanza kulamba mwili wake kumbe nakula poda na tyubu bila chenga zaidi ya yote nakula kemiko(chemical)ukweli sitafanya hivyo tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app