Za asubuhi wakuu,
Niende kwenye mada, hapa niko kwenye haisi(daladala) kuelekea Buhogwa na mbele ya siti yangu kuwa wadada warembo wekaa ni marafiki lakini mmoja amechukuwa tyubu fulani ameanza kujipaka usoni halafu haijatosha amechukuwa poda ya rangi ya udongo nayo anajipaka.
Sasa nimejiuliza huyu dada labda ndio ni mpenzi wangu na anakuja kwangu mda huu, halafu ndio naanza kulamba mwili wake kumbe nakula poda na tyubu bila chenga zaidi ya yote nakula kemiko(chemical)ukweli sitafanya hivyo tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli aisee yani had I barabarani yeye ni kujiremba tuAkili za mwanamke anazijua mwenyewe mwanamke
MhhhhIlo tyu lisikupe shida mwanaume shughuli ,mtoto apige maji ww piga kazi adi kisima kitoe sukari
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]huwa hamuogi?!?! unaona kinyaa poda?!?! utok.o utauweza!!!
Ushamba mzigo kwa kweli unatuabisha wanaume wenzio.Za asubuhi wakuu,
Niende kwenye mada, hapa niko kwenye haisi(daladala) kuelekea Buhogwa na mbele ya siti yangu kuwa wadada warembo wekaa ni marafiki lakini mmoja amechukuwa tyubu fulani ameanza kujipaka usoni halafu haijatosha amechukuwa poda ya rangi ya udongo nayo anajipaka.
Sasa nimejiuliza huyu dada labda ndio ni mpenzi wangu na anakuja kwangu mda huu, halafu ndio naanza kulamba mwili wake kumbe nakula poda na tyubu bila chenga zaidi ya yote nakula kemiko(chemical)ukweli sitafanya hivyo tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa sasa tunaanza kwenda sawa.cc UKAWA2 njoo sasa uone art zakike hapa pia
Hapa sasa tunaanza kwenda sawa.
huwa hamuogi?!?! unaona kinyaa poda?!?! utok.o utauweza!!!
Kuoga... Kuoga... Kuoga... Jasho la mwili ni hatari kwa Afya yako.Za asubuhi wakuu,
Niende kwenye mada, hapa niko kwenye haisi(daladala) kuelekea Buhogwa na mbele ya siti yangu kuwa wadada warembo wekaa ni marafiki lakini mmoja amechukuwa tyubu fulani ameanza kujipaka usoni halafu haijatosha amechukuwa poda ya rangi ya udongo nayo anajipaka.
Sasa nimejiuliza huyu dada labda ndio ni mpenzi wangu na anakuja kwangu mda huu, halafu ndio naanza kulamba mwili wake kumbe nakula poda na tyubu bila chenga zaidi ya yote nakula kemiko(chemical)ukweli sitafanya hivyo tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umempa vitu vya kisayansi ni sawa na sie watu wa mjini ambao tunawashangaa watu wanaokunywa maji ya kisima ambayo yana hali ya rangi rangi kwa mbali na kujiona wajanja kwa kunywa maji meupe tena mengine unaletewa na wauza maji ...kumbe yamechotwa kwenye mabomba yaliyochanganyikana na mfumo wa maji takaMkuu mjini haupawezi, tuachie sisi.
Kwa uelewa wangu wa kemia, body powder hutumika kwajili ya urembo na pia kufyonza jasho na mvuke mwilini, ina ingredients kama sodium acrylate copolymer, essential oil kama cinnamon, calcium carbonates, . Vitu ambavyo havina madhara kwenye mwili wa binadamu.
Unakataa mambo ya romance lkn unaenda nunua pepsi yenye kemikali kama 4-Methylimidazole ambayo kikemia hii ni carcinogenic chemical. Yani chemikali ambayo inaleta chronic cancer mwilini.
Unaacha kumla denda bibie unaenda nunua Mo energy, red bull au dragon ambazo zinq kiwango kikubwa cha Taurine... basically taurine inakua extracted kutoka kwenye shahawa za ng'ombe dume (bull/Ox).
Unaenda kununua fanta wakati chupa yake imetengenezwa kwa Bisphenol-A - huyu ni mdau makini sana wa kukuletea prostate cancer.
Na manjonjo muhimu.. Tena muhimu sanaaaaaaaaaa [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mahondaw wa Smart911