Sitafanya romancy ya kumlamba mwanamke tena kipindi cha mapenzi

hhahah, jirani yangu wa "Ghana" hahahahha, labda vilikuwa virembo vya kule Malimbe tehe tehe.
 
  • Thanks
Reactions: lup
Mkuu mjini haupawezi, tuachie sisi.

Kwa uelewa wangu wa kemia, body powder hutumika kwajili ya urembo na pia kufyonza jasho na mvuke mwilini, ina ingredients kama sodium acrylate copolymer, essential oil kama cinnamon, calcium carbonates, . Vitu ambavyo havina madhara kwenye mwili wa binadamu.

Unakataa mambo ya romance lkn unaenda nunua pepsi yenye kemikali kama 4-Methylimidazole ambayo kikemia hii ni carcinogenic chemical. Yani chemikali ambayo inaleta chronic cancer mwilini.

Unaacha kumla denda bibie unaenda nunua Mo energy, red bull au dragon ambazo zinq kiwango kikubwa cha Taurine... basically taurine inakua extracted kutoka kwenye shahawa za ng'ombe dume (bull/Ox).

Unaenda kununua fanta wakati chupa yake imetengenezwa kwa Bisphenol-A - huyu ni mdau makini sana wa kukuletea prostate cancer.
No comment ,acha tulambane.
Asante kwa ufafanuzi mkuu
 
hhahah, jirani yangu wa "Ghana" hahahahha, labda vilikuwa virembo vya kule Malimbe tehe tehe.
Jirani alikuwa ni Dada fulani Hivi... Walikuwa wanaonekana smart sana

mwanza kwetu
 
hhahah, jirani yangu wa "Ghana" hahahahha, labda vilikuwa virembo vya kule Malimbe tehe tehe.
Huenda ila vilipandia mission na vikafika hadi mkolanu..sasa sijui

mwanza kwetu
 
Mkuu mjini haupawezi, tuachie sisi.

Kwa uelewa wangu wa kemia, body powder hutumika kwajili ya urembo na pia kufyonza jasho na mvuke mwilini, ina ingredients kama sodium acrylate copolymer, essential oil kama cinnamon, calcium carbonates, . Vitu ambavyo havina madhara kwenye mwili wa binadamu.

Unakataa mambo ya romance lkn unaenda nunua pepsi yenye kemikali kama 4-Methylimidazole ambayo kikemia hii ni carcinogenic chemical. Yani chemikali ambayo inaleta chronic cancer mwilini.

Unaacha kumla denda bibie unaenda nunua Mo energy, red bull au dragon ambazo zinq kiwango kikubwa cha Taurine... basically taurine inakua extracted kutoka kwenye shahawa za ng'ombe dume (bull/Ox).

Unaenda kununua fanta wakati chupa yake imetengenezwa kwa Bisphenol-A - huyu ni mdau makini sana wa kukuletea prostate cancer.
Umempa ujasiri wa kufanya asichokijua.

USHAURI
1.Mapenz ni hisia,Fuata hisia zako kulinda Afya yako.
2.Kabla na baada ya ......OGA & USWAKI
3.ziada:Mujtahd kupata DENTAL SERVICE ya kusafisha Meno,walau Mara 1kwa mwaka,wewe na mwenza.
(Tusije kula chakula kisafi ktk sahan chafu)

Regards 1,2-dntrophynlhydrazene
 
Hivi kama mtu amezunguka siku nzima bika kupumzika unafanyaje?! Jenga utaratibu wa usafi kabla ya kuingia au kuanza foreplays. I hope you will enjoy the moment
 
..watu wanendaga kuoga kabla ya hivyo vitu bro ili wawe wasafi then mtanange ndo unaanza..nakushuri na ww na mwenza wako muwe na tabia hiyo..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom