Sitafanya romancy ya kumlamba mwanamke tena kipindi cha mapenzi

Sitafanya romancy ya kumlamba mwanamke tena kipindi cha mapenzi

Una muda gani tangu uanze sanaa ya mapenzi usikute ndio kwanza una miaka 2 au 3 tangu ujiingize kwenye suala la mapenzi na kwa mtazamo unaiga kwenye filamu za ngono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sema hiyo hiace inatoka wapi? Igoma kupitia Mabatini, Bwiru kupitia Kitangiri na Kirumba?

Sukari Yenu
 
  • Thanks
Reactions: lup
Mkuu mjini haupawezi, tuachie sisi.

Kwa uelewa wangu wa kemia, body powder hutumika kwajili ya urembo na pia kufyonza jasho na mvuke mwilini, ina ingredients kama sodium acrylate copolymer, essential oil kama cinnamon, calcium carbonates, . Vitu ambavyo havina madhara kwenye mwili wa binadamu.

Unakataa mambo ya romance lkn unaenda nunua pepsi yenye kemikali kama 4-Methylimidazole ambayo kikemia hii ni carcinogenic chemical. Yani chemikali ambayo inaleta chronic cancer mwilini.

Unaacha kumla denda bibie unaenda nunua Mo energy, red bull au dragon ambazo zinq kiwango kikubwa cha Taurine... basically taurine inakua extracted kutoka kwenye shahawa za ng'ombe dume (bull/Ox).

Unaenda kununua fanta wakati chupa yake imetengenezwa kwa Bisphenol-A - huyu ni mdau makini sana wa kukuletea prostate cancer.
Word. Mapenzi hayana kinyaa. Kama unampenda mtu huwazi red powder wala blue lipstick.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sema hiyo hiace inatoka wapi? Igoma kupitia Mabatini, Bwiru kupitia Kitangiri na Kirumba?

Sukari Yenu
Kutoka kona ya bwiru had I buhogwa

mwanza kwetu
 
Back
Top Bottom