Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,336
- 127,017
Kwa hiyo mnataka tukikaa wanawake na wanaume kusiwe na utofauti. Kujiremba muhimu kwa mwanamke.
Kwa hiyo mnataka tukikaa wanawake na wanaume kusiwe na utofauti. Kujiremba muhimu kwa mwanamke.
Mwambieni huyo ye badala amsifie mwanamke kakumbuka kujiweka kwenye muonekano mzuri ye anawaza kulambana.
Hahahaaa.
Na hata mwenyewe hazijui, laiti angezijua angeweza kubadilika!Akili za mwanamke anazijua mwenyewe mwanamke
Mkuu ONTARIO uumenikosha sana, yaani nimesoma andiko lako nikajipongeza sana kusoma Chemia, yaani umenyumbua kwa mtindo wa Medicinal Chemistry.Mkuu mjini haupawezi, tuachie sisi.
Kwa uelewa wangu wa kemia, body powder hutumika kwajili ya urembo na pia kufyonza jasho na mvuke mwilini, ina ingredients kama sodium acrylate copolymer, essential oil kama cinnamon, calcium carbonates, . Vitu ambavyo havina madhara kwenye mwili wa binadamu.
Unakataa mambo ya romance lkn unaenda nunua pepsi yenye kemikali kama 4-Methylimidazole ambayo kikemia hii ni carcinogenic chemical. Yani chemikali ambayo inaleta chronic cancer mwilini.
Unaacha kumla denda bibie unaenda nunua Mo energy, red bull au dragon ambazo zinq kiwango kikubwa cha Taurine... basically taurine inakua extracted kutoka kwenye shahawa za ng'ombe dume (bull/Ox).
Unaenda kununua fanta wakati chupa yake imetengenezwa kwa Bisphenol-A - huyu ni mdau makini sana wa kukuletea prostate cancer.
Hahaha nimekupa emmytaJamaani mkuu eti tunazijua wenyewe sio kweli bana.
Urembo muhimu ila ikifikia kwenye yale mambo kuoga ndio cha kwanza
.
Hahahaa. Haya bana mkuu.Hahaha nimekupa emmyta
Aisee salamu zimefika ila number tu zinasomeka huku kitaaHahahaa. Haya bana mkuu.
Nakusalimu pia.
BADO wanaendelea kujiumbaAkili za mwanamke anazijua mwenyewe mwanamke
Hahahaaa. Ndio ishakuwa hivyo mkuu inabidi tupambane nayo tu aisee mana tunakaribia kuizowea sasa.Aisee salamu zimefika ila number tu zinasomeka huku kitaa
Na hata mwenyewe hazijui, laiti angezijua angeweza kubadilika!
Kitu umesubiri kwa wiki au mwezi halafu aje aende kuoga kwanza!! Acha mchezo, unakuta kitu ishasimama 90 degree prior to her arrival, utangoja aoge??? Naamini hudakia mlangoni na kama ni kipotabo basi unabeba hadi bafuni straight.kabla ya mgegedo sharti apitie bafuni huo ndo ustaarabu
Hakika aisee! Na kwako pia dadakeHahahaaa. Ndio ishakuwa hivyo mkuu inabidi tupambane nayo tu aisee mana tunakaribia kuizowea sasa.
Siku njema mkuu.
Igoma
Igoma
Poa poa Kaka ake.Hakika aisee! Na kwako pia dadake