Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,978
- 285,474
hakuna cha lowasa wala nani , huyu amelaaniwa na Mungu baada ya kimbelembele chake cha kuongoza mkakati wa chama chake kutupa maoni ya wananchi , na bado , maana kwa mujibu wa maandiko matakatifu laana inatafuna hadi kizazi cha 4 ! Wito KWA WALE WANAOTAKA KUOA AMA KUOLEWA KWENYE FAMILIA YA MZEE HUYU WAFIKRIE KWANZA NAFASI YA WATOTO WATAKAOWAPATA KWENYE LAANA HII , HUU NI USHAURI WA KIROHO MAANA MUNGU AMETUPA MAARIFA .