Umenikumbusha last month nilikua ktkt kijiji flani kilichokumbwa na baa la njaa , sasa jioni nilivyokua narudi stand kupanda bus nikamendewa na wezi wawili walionikaba na kunipora muhindi wa kuchoma nilokua na kula na kukimbia nao mithili ya wezi waliopora simu ya mkononi.
Njaa haina choice.
anataka kumkomesha mtu anayemtaka tigo....akila mahindi hayo hasa magumu kama yanavyoonekana, atakayemjaribu tigo hatarudia tena....kazi kwao...mahindi mawili ya nguvu kama hayo katumbo ka mdada mlaini swafi kama huyo....noma..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.