Sisikii

Mijitu mingine kuwa wenzao presha za bure tu, kama haskii alijuaje kuwa padre kauliza kitu?, mie ningempa ndosi moja la uso huyo dogo.

Duh! Mkuu ungeweka record ya ''Bwana Harusi apigana kanisani wakati akifungishwa Ndoa''
 
yaani ningekuwa ni mimi padre namuwasha bonge la kofi huyu jamaa

ndo maana hukuwa padri kwa sababu huna hekima za kiutumishi wa Mungu, yaani mtu ana matatizo ya kusikia halafu wewe umzabe makofi kwa sababu ya ulemavu wake!
 
Back
Top Bottom