habibu bakili
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 202
- 51
maji yanapofika shingoni mtu hutapatapa (hasa ukiwa hujui kuogelea)
maji yanapofika shingoni mtu hutafuta chochote anachoweza kushika ili mradi asizame
maji yakifika shingoni mtu hupaniki na ubongo wake huacha kufikiri
ukiona wabunge wa sisiem paka wanathubutu kutamka ''f**K you'' ndani ya bunge, uje maji yamefika shingoni
ukiona naibu spika anamwambia mtukanaji ''endelea mkuu'', ujue ubongo umeacha kufikiri
ukiona hoja ya nwabunge wawili wa chdm inajibiwa na mawaziri watano na wabunge wote wa sisiem ujue chama kinatapatapa..
mwaka huu ndio mwaka wa kutokomeza wakoloni weusi ndani ta tz..
we got them were we wanted..
.....!!?Hoja ipi ngumu?
Pyaaaa!
kama bata kanya.
.....!!?
poor u.......
hamjui kujadili hoja.!..!!!!??
rich u......
ndo tabia yenu wachaga.
Umekunya wewe badala ya kutoa mtazamo wako unatoa uharoHoja ipi ngumu?
Pyaaaa!
kama bata kanya.
kabisa mkuu nitonye...Umekunya wewe badala ya kutoa mtazamo wako unatoa uharo
Ngoja niende zangu maana kuna raia wachokozi
Umekunya wewe badala ya kutoa mtazamo wako unatoa uharo
Ngoja niende zangu maana kuna raia wachokozi
Ni lini umekanusha mdidimio wa ccm kwa sasa badala yake unaishia kutukana. Pinga kwa hoja sio unang'aang'aa sharubuThreads za namna hii zinalishushia hadhi Jukwaa la Siasa.
Threads za namna hii zinalishushia hadhi Jukwaa la Siasa.
Threads za namna hii zinalishushia hadhi Jukwaa la Siasa.
Hoja ipi ngumu?
Pyaaaa!
kama bata kanya.
Mod Thread za namna hii zinafaa zitengenezewe jukwaa la wasio na akili
acha jazba.
Hoja ipi ngumu?
Pyaaaa!
kama bata kanya.
wako wanpiga mzigo dodoma kwenye ufunduzi wa kanda ya kati.!Mkumbushe hayo Tundu Lisu,Sugu,Msigwa na wajinga wengine wa cdm.