Hii supu ya kuku wa kienyeji ni tamu balaa. Inabidi tuachane na hao broilers wa kichina!
Tena moyo wa chuma haswaaInahitaji moyo mwanaume kusema ”sisi wanawake”
Halafu lipo humu jamiiforum kazi yake kuiba story za watu kwenda kuweka kwenye kpindi chake eti kuna mdau kanitumia mesej anaomba ushauri linaniuzigi sanaKama kawaida mwenye picha yake Divathebawse atapita hapa kimya kimya
Hawa ndo wanafanya tupoteze nauli zetu
Badilikeni wadada mtatutia hasara
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia video call. Ndio suluhu ya tatizo hilo. Ukiona video call haipokelewi na visingizio vingi ujue hasara.Hawa ndo wanafanya tupoteze nauli zetu
Badilikeni wadada mtatutia hasara
Sent using Jamii Forums mobile app