Sisi wanawake ni watu wa ajabu sana

Sioni tatizo mtu kujiedt kwa sababu haimpunguzii kitu alafu mnaotafuta wanawake mtandaon mjitaid kutofautisha pic ya kawaida nayakuedit... wengine hawana hela za kupoteza kufanya photoshoot ndomana anaamua kujiedit mwenyewe na viaplication uchwala mwisho wa siku anakua kituko.
 
Ana simu ya laki 4 (kwa mfano) halafu hana elfu 10 ya photoshoot

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi wanawake ni waongooooo. Ubaya wake tunajiongopea hadi wenyewe 😂 utaona dada ameweka picha amei-edit mpaka inapoteza uhalisia halafu mwenyewe hata hayupo hivo; ukija kumuona live utakimbia bla kugeuka nyuma.

Hivi huwa tunapata faida gani kujidanganya hta wenyewe? Halafu anajua kabisa kuwa hayupo hivyo, ila akisifiwa mzuri anajibu asante kuubwa kama vile ypo hivo kweli 😂

Hivi kuna faida gani wakati haupo hivyo kabisa na mwenyewe ukweli unaujua haupo hivyo?

Sasa kama hyu kwa picha amejiedit mpaka vishimo vya pua havionekani hapo mwenyewe sijui anajiona kama malaika vile wakati moyoni mwake anajua hayupo hvo 😂😂 tupunguze editing. Kumbuka ku-edit picha hakukufanyi uwe mzuri wewe kama mzuri ni mzuri tu na kama mbaya hta ufanye nn ukweli utabaki kua wewe ni mbaya.

Tujikubali

Halafu siku ukija kukutana naye unakuta yuko hivi
Image result for a woman with a big nose
...
 
Back
Top Bottom