Sisi wanawake ni watu wa ajabu sana

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,384
Sisi wanawake ni waongooooo. Ubaya wake tunajiongopea hadi wenyewe 😂 utaona dada ameweka picha amei-edit mpaka inapoteza uhalisia halafu mwenyewe hata hayupo hivo; ukija kumuona live utakimbia bla kugeuka nyuma.

Hivi huwa tunapata faida gani kujidanganya hta wenyewe? Halafu anajua kabisa kuwa hayupo hivyo, ila akisifiwa mzuri anajibu asante kuubwa kama vile ypo hivo kweli 😂

Hivi kuna faida gani wakati haupo hivyo kabisa na mwenyewe ukweli unaujua haupo hivyo?

Sasa kama hyu kwa picha amejiedit mpaka vishimo vya pua havionekani hapo mwenyewe sijui anajiona kama malaika vile wakati moyoni mwake anajua hayupo hvo 😂😂 tupunguze editing. Kumbuka ku-edit picha hakukufanyi uwe mzuri wewe kama mzuri ni mzuri tu na kama mbaya hta ufanye nn ukweli utabaki kua wewe ni mbaya.

Tujikubali


83130579_215736839586889_5026973371001433391_n.jpg
 
Kumbe na nyie mnajijua!?

2017, nlipata kudate na hawa mademu wa mtandaon alikua kahama. sasa mwezi wa 9 nkapata safari ya kikazi kwenda kibondo, ikabidi nilale kahama ili nionane na mamsapu labda kwa siku 2 hiv, dah asee, nmefika nkalala lodge. kesho asubuhi mida ya saa 4 kwenda kukutana bahat nzuri nlimuona kwanza kabla hajaniona nkakuta manzi mbovu sana alafu ndo vile matege chini , shape mbovu hatari. nkampigia simu nikamwambia nmepata dharura, nikafuta namba yake na kuiblock, nikafuta na account f.book mpaka leo situmii tena. Ilibidi niondoke na gari za saa 6 kwenda kibondo .
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom