Wanawake ni watu wa ajabu sana, jana kang'ang'ana kwenda kwao nimempa Nauli, leo anataka kurudi

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Nashindwa kuelewa mpaka sasa hizo Akili za hawa mbavu(maubavu) yetu ya kushoto"wanawake"huwa zinawaza nini.

Huyu mwanamke wangu, wiki moja kabla ya x-mass, kuna shida ilitokea kwao nikampa nauli akaenda kwao, amekaa siku tano akageuka tukaja lia x- mass hapa home.

Wiki hii ya mwaka mpya juzi ijumaa akaniambia tena kwa kushitukiza kwamba kesho yake jumamosi yaani jana anataka kwenda kwao (eti kuna sherehe ya ndugu yake inafanyika jioni yake) sikuambiwa kabla hiyo sherehe nimeshitukizwa tu,
Nimegombana nae sana lakini nikasema no sweat nikampa nauli na pesa ya kutumia Emergence aende.

Kweli asubuhi yake ya jana akaenda, sasa cha kushangaza Asubuhi hii kanipigia simu anaomba nimtumie nauli ya kurudi(pumbafu).

Sijawahi mjibu vibaya ila leo nimemtolea uvivu pumbafu zake, nimemuuliza kuhusu pesa ya matumizi niliyompa kasema katumia yote kutoa zawadi kwenye sherehe, na hana pesa ata kumi ya Akiba hivyo anaomba kurudi.

Sasa nilichomjibu ni kwamba situmi pesa abaki huko kwao na kama akitaka kurudi basi amwambie baba yake ampe nauli, mi sina pesa za kuchezea shenzi zake.

Anajua na nilimwambia nina mambo mengi ya kufanya mwezi huu ila yeye hawazi anachowaza ni kutumia tumia hela bila sababu.

Mwezi huu tu wa 12 nimetumia wazazi wake hela ya sikukuu,nimetumia wazazi wangu, nimemnunulia nguo zake plus kusuka, nguo za mtoto, nguo za mdogo wangu, nimehakikisha nyumbani X-mass anakula kama wakishua.

Bado nina mdogo wangu namsomesha ndio kwanza anaingia kidato cha kwanza, mama yangu dawa plus clinic ya moyo kila mwezi. Alafu bado yeye anataka kucheza na pesa zangu, kaniuzi kiwango cha SGR.

Natamani angekuwa karibu ningemngoa meno.

Cc Zero IQ.

Cc Zero IQ
 
Naona una hasira za kuuwa mtu ningekuwa nakujua ningekutumia hiyo nauli ila unisamehe tu
Ingawa najua hukuja kuomba hapa ila imeniuma sana ya dawa za mama kila mwezi hilo tu

Pole sana sana
January huwa inakuja na changamoto zake ingawa watu wanasherehekea Xmas na mwaka mpya na kumwaga hela nyingi bila kuwaza ya kesho
Nimessikilizia mwaka mpya kwenye TV na fataki za jirani
 
Nashindwa kuelewa mpaka sasa hizo Akili za hawa mbavu(maubavu) yetu ya kushoto"wanawake"huwa zinawaza nini,

Huyu mwanamke wangu, wiki moja kabla ya x-mass, kuna shida ilitokea kwao nikampa nauli akaenda kwao, amekaa siku tano akageuka tukaja lia x- mass hapa home,

Wiki hii ya mwaka mpya juzi ijumaa akaniambia tena kwa kushitukiza kwamba kesho yake jumamosi yaani jana anataka kwenda kwao (eti kuna sherehe ya ndugu yake inafanyika jioni yake) sikuambiwa kabla hiyo sherehe nimeshitukizwa tu,
Nimegombana nae sana lakini nikasema no sweat nikampa nauli na pesa ya kutumia Emergence aende,

Kweli asubuhi yake ya jana akaenda, sasa cha kushangaza Asubuhi hii kanipigia simu anaomba nimtumie nauli ya kurudi(pumbafu)
Sijawahi mjibu vibaya ila leo nimemtolea uvivu pumbafu zake, nimemuuliza kuhusu pesa ya matumizi niliyompa kasema katumia yote kutoa zawadi kwenye sherehe, na hana pesa ata kumi ya Akiba hivyo anaomba kurudi,

Sasa nilichomjibu ni kwamba situmi pesa abaki huko kwao na kama akitaka kurudi basi amwambie baba yake ampe nauli, mi sina pesa za kuchezea shenzi zake,

Anajua na nilimwambia nina mambo mengi ya kufanya mwezi huu ila yeye hawazi anachowaza ni kutumia tumia hela bila sababu,.

Mwezi huu tu wa 12 nimetumia wazazi wake hela ya sikukuu,nimetumia wazazi wangu, nimemnunulia nguo zake plus kusuka, nguo za mtoto, nguo za mdogo wangu, nimehakikisha nyumbani X-mass anakula kama wakishua,
Bado nina mdogo wangu namsomesha ndio kwanza anaingia kidato cha kwanza, mama yangu dawa plus clinic ya moyo kila mwezi,
Alafu bado yeye anataka kucheza na pesa zangu, kaniuzi kiwango cha SGR.

Natamani angekuwa karibu ningemngoa meno.

Cc Zero IQ.

Cc Zero IQ
Pole sana kiongozi,anautoto mwingi huyo ubavu wako maana hakua na sababu ya kurudi alivyoenda mara ya kwanza angesubiri hadi New year unless wewe ndo ulimuamuru arudi kula Christmas nawewe. Mkazie kama wiki hivi ajifunze asirudie ujinga
 
Nashindwa kuelewa mpaka sasa hizo Akili za hawa mbavu(maubavu) yetu ya kushoto"wanawake"huwa zinawaza nini.

Huyu mwanamke wangu, wiki moja kabla ya x-mass, kuna shida ilitokea kwao nikampa nauli akaenda kwao, amekaa siku tano akageuka tukaja lia x- mass hapa home.

Wiki hii ya mwaka mpya juzi ijumaa akaniambia tena kwa kushitukiza kwamba kesho yake jumamosi yaani jana anataka kwenda kwao (eti kuna sherehe ya ndugu yake inafanyika jioni yake) sikuambiwa kabla hiyo sherehe nimeshitukizwa tu,
Nimegombana nae sana lakini nikasema no sweat nikampa nauli na pesa ya kutumia Emergence aende.

Kweli asubuhi yake ya jana akaenda, sasa cha kushangaza Asubuhi hii kanipigia simu anaomba nimtumie nauli ya kurudi(pumbafu).

Sijawahi mjibu vibaya ila leo nimemtolea uvivu pumbafu zake, nimemuuliza kuhusu pesa ya matumizi niliyompa kasema katumia yote kutoa zawadi kwenye sherehe, na hana pesa ata kumi ya Akiba hivyo anaomba kurudi.

Sasa nilichomjibu ni kwamba situmi pesa abaki huko kwao na kama akitaka kurudi basi amwambie baba yake ampe nauli, mi sina pesa za kuchezea shenzi zake.

Anajua na nilimwambia nina mambo mengi ya kufanya mwezi huu ila yeye hawazi anachowaza ni kutumia tumia hela bila sababu.

Mwezi huu tu wa 12 nimetumia wazazi wake hela ya sikukuu,nimetumia wazazi wangu, nimemnunulia nguo zake plus kusuka, nguo za mtoto, nguo za mdogo wangu, nimehakikisha nyumbani X-mass anakula kama wakishua.

Bado nina mdogo wangu namsomesha ndio kwanza anaingia kidato cha kwanza, mama yangu dawa plus clinic ya moyo kila mwezi. Alafu bado yeye anataka kucheza na pesa zangu, kaniuzi kiwango cha SGR.

Natamani angekuwa karibu ningemngoa meno.

Cc Zero IQ.

Cc Zero IQ
Dalili zinaonyesha safari hii ya mwisho kaenda kwa mwanaume mwingine ameliwa na sasa anataka kurudi, hakwenda kwao
 
Back
Top Bottom