Sisi ndio wanaume bwana!

Mkuu DC kama hiyo ndo attitude yako kuhusu mahusiano na mwenza wako sasa kwa nini hapo kurasa za nyuma umeshadadia thread ya Aspirin,is it not a contradiction?By the way unaweza ku print hii thread plus your earlier comments ukampelekea mama DC?
 
Odm is still nursing hangover. Si unajua mwanaume hatakiwi kuwahi nyumbani! Wanajishangaa wanakufa haraka wanatuacha tunakula maisha! Simba mwenda pole hufaidi aisee!
Thx my Big shem,
Hope babu yuko poa ni mambo ya wik end,
Naona babu hapa katoa ufagio wa ukweli kwa WANAUME lol!
 
Tafadhali Mkuu DC,hivi kiukweli kabisa kabisa Mama DC anajua kwamba hizi ndo fikra zako kuhusu 'uanaume'? .....'its fine to f...ck around so long as you are using a condom?(source Aspirin).
 
El President,kwenye red hapo,vipi hajambo David Cameron?
 
hivi aliyeandaa hii Thesis professor Aspirin yuko wapi? kaupwaka? au ndo yale ya kukaanga mbuyu ukawaachia wengie wale?
na log off (source:washawasha)
 
Mkuu DC kama hiyo ndo attitude yako kuhusu mahusiano na mwenza wako sasa kwa nini hapo kurasa za nyuma umeshadadia thread ya Aspirin,is it not a contradiction?By the way unaweza ku print hii thread plus your earlier comments ukampelekea mama DC?

Bishanga,

Don't take issues personally,

Katika hii dunia, you are first a man (human) whether white, red, black etc, then yourself.....Kwa hiyo mimi nimeyaangalia maandiko kwa msingi wa kwanza....Ila kama unataka kujua kama mimi DC nikoje, that's another facet...Tunaweza kujadili hilo siku nyingine.

Kwa hoja ya kwanza...ambayo mama DC anaijua vizuri....Hii thread si tu kwamba naweza kumpritia bali pia naweza kumsomea na tukajadiliana face to face bila kusababisha damage kwake au kwangu. Kama wewe unaukimbia ukweli basi pole sana Bro!


Tafadhali Mkuu DC,hivi kiukweli kabisa kabisa Mama DC anajua kwamba hizi ndo fikra zako kuhusu 'uanaume'? .....'its fine to f...ck around so long as you are using a condom?(source Aspirin).

Hebu soma vizuri tena katikati ya mistari.....

Kwa sababu kwangu mimi haijatokea, ila sina uhakika wa 100% kwamba katika maisaha yangu haitatokea, basi ikitokea nitatumia hiyo tahadhari anayoitoa mzee mwenzagu (tena mwanamume wa kweli) ambayo ni very valid!!


 
sawa Mkuu,weekend njema.
 
And here is MY TOP 10 REASONS ON WHY IT IS BETTER TO BE A MAN THAN A WOMAN.

1. Jesus and Mohammad (SAW) were all Men, That's called dogma - man-dogma

2. When we're done, you're done (doesn't matter 5 minutes, 30minutes or 1 hour, it's over when the man finishes!!

3. Men Do Not Get Pregnant, you know the advantage of this one.....

4. Men Do Not Wear Make-up (usually) This is another great advantage! It saves us abundant amount of time to pretty ourselves up to prepare us for the world's viewing.

5. Men Pee Standing Up (usually)..This is a great thing if you really think about it.

6. Women are racists...Women's entire lives and social circles are based around hatred. Do they hate their boyfriends?
Do they hate their wardrobe? Do they hate each other? Yes, yes and definitely. Men don't go in for that silly sort of nonsense.

7. The great leaders, Thinkers, scientists and inventors are all men. Nyerere, Einstein, Newton, Ford, Franklin et al.

8. Minimal Emotions, Men have two emotions: joy and anger. and can handle emotions better than Women.

9. Women make less money...Carlos Slim Helu, Bill Gate and Warren Buffet are all MEN 10. Women speak so much....... Hahahahahaha,

NAWASILISHA!!!
 
Du,i am flabergasted,sina la kusema Mkuu!
Nothing personal but i just hope no female relative of yours will ever know that this came from you!
 

....mnh....! balaaaaaa!....hiii tafakuru inahitaji uchambuzi yakinifu...
easily said than done!....aliye mwanaume kweli na anajiaminisha na haya anyanyue mkono juu hapa....!...
 
Hunny nimejikuta njia panda na naogopa kupiogwa mawe bure humu
maana misimamo mingine si ya kusimamia kabisa
Sijambo hunny 😛oa


lol....hahahaha....kaka tangu jana nakusoma unadonyoa donyoa tu...ingia mazima aisee!
hahaha...tupa mawe!
 

lol....hahahaha....kaka tangu jana nakusoma unadonyoa donyoa tu...ingia mazima aisee!
hahaha...tupa mawe!

Mkuu ukisoma thread ya Bishanga nilitoa msimamo wangu mkuu wa jumla
Sasa nikiingia humu na msimamo wa kule kwa akina Bishanga watanipiga mawe aise
Bora tuu nichungulie na kuondoka na ndo maana nasisitiza akili zako changanya na za kuambiwa mkuu
 
mapnga sssshhssshaaaaaa sssssshhhhshaaaaaaa
 
mapnga sssshhssshaaaaaa sssssshhhhshaaaaaaa

Data,nani sasa anampiga mwenzie mapanga shaa? Mto mada mwenyewe Aspirin kajifungia chooni toka jana mchana,sasa sijui alikuwa na maana gani kufungua uzi huu,mie nahisi Mama Matasha alimbamba nao na baada ya kibano akadai Bishanga aliiba password yake,mianaume bana,ndivyo tulivyo!
 
Unajua wakati mwingine hata House girl hutamani kuwa mama mwenye nyumba,lakini ni vigumu,yeye atabaki HG na hakuna kitakachobadili huo ukweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…