Kamanda lakini trust me wewe bana against yako inakubalika kimataifa! yaani mimi nafurahia sana bana nikuwe against na wewe maana nikimaliza mjadala basi sku ya pili lazima mtaani watanikoma kwa mapwenti. Na nadhani watu wote hapa JF wanaku value hivyo. Kama MMU ndio TZ basi mkuu ungeshinda uchaguzi tu, hakuna slaa wala kikwete wala maalim sefu
hehehee ankal bana, hapa dirishani kwangu kuna mabundi wawili na wewe unataka kuliongeza la tatu?Ankal kumbe bado uko macho hayaa njoo uchukue Finest Scotch Whisky
hahaah moskwito acha utani bana!
dahhhhh, aiseee....? hapana bana,
kuna magwiji hapa,....mimi mwanafunzi tu kwao!
Salald ipo njoo na uma na kisu usisahau na lighter.hehehee ankal bana, hapa dirishani kwangu kuna mabundi wawili na wewe unataka kuliongeza la tatu?
salad ya mirungi ipo?
hehehe msosi wa kukolezea upo? nakuja na pilipili mfukoni kamanda.Salald ipo njoo na uma na kisu usisahau na lighter.
Kamanda fanya mpango umtoe Hashycool boda maana nimesikia anaozea hukohehehe msosi wa kukolezea upo? nakuja na pilipili mfukoni kamanda.
kesi yake ngumu jibaba!Kamanda fanya mpango umtoe Hashycool boda maana nimesikia anaozea huko
Lol...kama ndio kesi inayomkabili wewe nenda front mimi nitatuma helakesi yake ngumu jibaba!
Mzembe kumbe kabaka farasi wa mkubwa wa jeshi wa zambia. Kimewaka
Haendi mtu kamanda, na senks god next of kin kamuandika UporotoLol...kama ndio kesi inayomkabili wewe nenda front mimi nitatuma hela
Bishanga Hureeeee!A REJOINDER:
Preamble:
Katika utangulizi wako Aspirini unadai eti mwanaume ni Taasisi,my foot,apparently hata Adam katika bustani ya Eden thought so,see where he ended!
Aidha unadai kuwa mwanaume kapendelewa kuumbwa,hivi aliyelaaniwa akaambiwa kwa jasho lako utakula ni nani sio kidume Adam? na alitenda kosa gani by the way?
Tuje kwenye mada sasa pweint kwa pweint:
1.Urijali/umiliki:
Hivi wewe ukawazia kummiliki mwanamke amekuwa gari au nyumba.Is a woman a 'thing'?Hata katika lugha ya kijerumani mwanamke ni 'die' ,mwanaume ni 'der' na vitu vyote vilivyobaki ni 'das' au mwanamke unamuweka kundi la 'das'?
2.Maamuzi:Maamuzi yapi unayaongelea hapa yale yanayotolewa na kichwa cha juu ya kuamua kujenga,kufungua duka ,kununua gari?au yale unayoamua kwa kukutumia kichwa cha chini ya kuamua kulala na hausgel,kuzaa nje ya ndoa,kumjengea hawara n.k?
3.Uwajibikaji: Wangapi siku hizi wanalishwa na kuvishwa na wake zao? wanaume kibao wanatunzwa na wake zao na si kwamba hawataki kutunza kaya zao la hasha,ni circumnstances mme anajikuta ana kipato kidogo kuliko mkewe.Do you become less of a man kwa kuwa mke ana mshahara mkubwa kukuzidi? Learn to be humble.
Na hili la kudai mwanaume wa ukweli ni yule anayemridhisha mkewe kitandani,kama kigezo ni hicho basi duniani wanaume ni wa kuhesabu maana takwimu zinaonyesha ni wanawake wachache kwenye ndoa ambao huwa wanapata orgasm za kiukwelikweli.Wapo kinamama hadi wanapata vitukuu orgasm hawaijui.
4.Muda wa kukutana na wanaume wenzio: Hivi huko vijiweni la kuongea ni nini hasa kama sio kupapasa makalio ya mabaamedi? Na sio hilo tu, vijiweni huko ndo centre ya kudanganyana...oh mwanamke asikubabaishe bana akikujibu tia makofi...kumbe anayekushauri hayo akifika nyumbani kwake ni magoti chini mke wangu samahani nimechelewa kurudi.
5.Kwenda nje: Eti mradi mkeo asijue.Kumbe mnawaogopa? na kimada ukimpa mimba huo uso utauweka wapi,au ndo yale ya watoto kukutana makaburini kwenye msiba wa baba?
6. Uangalifu: tungekuwa waangalifu tungezaa nje?
'Sisi ndio wanaume bana'.......hahahahahahaa...usijisifu subiri usifiwe otherwise tutasema:
DEBE TUPU HALIACHI KUSHINDA
mwisho nasema:
Mwanamke akiwezeshwa anaweza!
Big up kinamama,yes you can!!!!!!
Yours sincerely,
Bishanga Abashaija.
Ubarikiwe dadangu, ukweli ndio huo na utaendelea kubaki hvyo. Hakuna wa kukumwagia radhi hapa, utanidai biya 1 ya pongezi kwa hii useful quote yako. Ahsante.Loh hii attack Mbu wangu itakucost darling but ni ukweli kabisa. It is a woman ambaye anwezakukuhakikishia uanamume wako. Unaponipa starehe kwa six ninapopiga kelele unajiaminisha kuwa umeniweza?? Kwako sipindui?? Una uhakika gani kama kelele zangu ni za kweli?? Mbu amezungumzia swala la watoto, unawezapita barabarani na kujisifia kifua mbele kuwa una watot kadhaa wa kiume na kike, my son, my daugther ilhali huwezithibitisha kuwa ni wako kweli (Unless kwa msaada wa DNA)- Achilia mbali wana unawezathibitisha kwa DNA
Haya huyo mwanamke unayedai kummiliki una uhakika gani?? Unawezatimiza majukumu yote, chakula n.k wakati amani na furaha iliyopo nyumbani kwako unayojivunia nayo ni kwa msaada wa Shamba boy, family driver au jirani yako pembeni.
Eh nalog out nsijemwagiwa radhi na Babu bure.
Shikamoo babu ODM,
Nakutakia wik end njema.
Thx my Big shem,Marhabaa, kwa niaba yake....😛hoto:
hivi hujawahi kujiuliza kwa nini wanasiasa wengi ni wanaume? jiulize kisha nipe jibu ukizingatia taaluma ya siasa inahusiana na nini?why do most women stay away from politics?MWANAUME siku zote, wiki zote na miezi yote ya dunia ni mali yake, ndo maana hakuna SIKU YA WANAUME DUNIAN.