Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,439
Kwani kwenu hakuna hela ? Hadi uanze kusifia mwanaume kisa ana hela? Umekulia maisha gani enh?Kajinga wewe, mwanaume anasifiwa pochi Nene basi, mnajisifia uzuri mtalelewa ohooo, wasalimie hapo Fas ya R, naprint nakuja huko dingilai
NdioWe mzuri wa k?
Tena walamba lips wanamajivuno haoYaani wanaume mnajisifia kabisa ni mahandsome duuh, hongereni walamba lips
Hahaaaukiwa hb tafta demu mzuri mdogo mdogo hawa wakubwa wanatukimbia sana
Umejuaje aisee, kwetu hamna hata mia mbovu, hongera wewe kwa kukulia kwenye maisha ya hela, Mimi nilimaanisha mwanaume anasifiwa kwa hard working inayopelekea kuwa na dough/pochi nene.Kwani kwenu hakuna hela ? Hadi uanze kusifia mwanaume kisa ana hela? Umekulia maisha gani enh?
Mmmmmh mkuu ukijiona handsome halafu unadate na dem ana sura km ubao wa supu basi utakua huna hadhi stahiki ya kuitwa hivyo.Nashindwa kuelewa kuhusu ili jinamizi linalotukumba sisi ma handsome boys maana tunaongoza kudate na wanawake vimeo wasiokuwa na mvuto kabisa sijui tunakwama wapi aisee!inabidi tuitishe kikao cha dharura kama walichoitisha mabaharia
Wanaringa ni wazuriTena walamba lips wanamajivuno hao

kila kitu ni jinsi unavyokichukulia.Nashindwa kuelewa kuhusu ili jinamizi linalotukumba sisi ma handsome boys maana tunaongoza kudate na wanawake vimeo wasiokuwa na mvuto kabisa sijui tunakwama wapi aisee!inabidi tuitishe kikao cha dharura kama walichoitisha mabaharia
Hahaha, kumbe nishapata mwenyeji wifi jimama ,nashukuru kakalai ntakuchekiiOooh whaoo!!Karibu sana Gachuland Dadalai,utafikia kwa jimama langu uku njiro halinaga kwere ata,
Aah aah aah!Yaani wanaume mnajisifia kabisa ni mahandsome duuh, hongereni walamba lips
Kusema ukweli ukiwa hb..napo ni mateso tu..mana mademu wabovu wanatutongoza kila uchao..na zaidi ukiwakubalia ili ule mzigo..aiseee uasumbufu na vinganganizi hatari.
Shida uwe na hela sasa..hapo hadi kwa mgaga watakuendea.
Mi sikuhizi nawa kata ngabe juu kwa juu sitaki kabisa ma zoea nao..kwanza mwakani na mpango wa kuoa.![]()



kwamba na ww n handsomeTuweke picha sio?Mmh yan huu uzi asilimia kubwa wanaume wamekuwa ma HBí ½í¸í ½í¸í ½í¸
Mmh yan huu uzi asilimia kubwa wanaume wamekuwa ma HB![]()



handsome lazima awe na kaushoga flani iviNashindwa kuelewa kuhusu ili jinamizi linalotukumba sisi ma handsome boys maana tunaongoza kudate na wanawake vimeo wasiokuwa na mvuto kabisa sijui tunakwama wapi aisee!inabidi tuitishe kikao cha dharura kama walichoitisha mabaharia
Itapendeza zaidi wengine matomaso😊😊😊Tuweke picha sio?
Ahahaaaa Hb la kijaluoYaani hata mimi nimejikuta ni HB![]()
Nakwama kwenye kuhonga mkuuMmmmmh mkuu ukijiona handsome halafu unadate na dem ana sura km ubao wa supu basi utakua huna hadhi stahiki ya kuitwa hivyo.
Mahondsome wenzako tumedate na vyombo mpk kuoa tumeoa vyombo tena vya asia.
TUKUULIZE WW HANDSOME MWENZETU UNAKWAMA WAPIIII!!!!!???