comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 6,474
- 11,572
handsome sio hand same
Wenzake wanakomaa wapate threesome, yeye bado yuko CHAPUTA handsome.handsome sio hand same



namshangaa sanaWenzake wanakomaa wapate threesome, yeye bado yuko CHAPUTA handsome.
![]()
madel ?? Umemaanisha ninWakat unakuta kuna madel wakaliii sisi tunakwama wap jman
Sawa miss Lhera.Mimi navutiwa na wanaume wa kawaida wale wazuri naona ntateseka sijisifujapo mimi ni kazuri
Acha izo mamiloox!!sasa ma'manzi wazuri tuzidi kuwaita tu shemeji ama?Mimi navutiwa na wanaume wa kawaida wale wazuri naona ntateseka sijisifujapo mimi ni kazuri
Huh.!!ni nini iki??kama ndo wewe buddy bas kuna tatizo sehem.kwa wasiojua definition ya hb basi waniangalie mimiView attachment 1214070
Nashindwa kuelewa kuhusu ili jinamizi linalotukumba sisi ma handsome boys maana tunaongoza kudate na wanawake vimeo wasiokuwa na mvuto kabisa sijui tunakwama wapi aisee!inabidi tuitishe kikao cha dharura kama walichoitisha mabaharia
Yaap, tatizo ni handsome BOYZ, wanawake hawataki BOYZ, wanataka a man who can pay bills, otherwise awe na ela ya baba, vinginevyo, atawaona kwenye star magazines tu.Kama ilivyo kwa mwanamke mzuri ukiwa nae ni kasheshe anaweza kuwa cha ote(sio wote) basi ndo hivyo pia kwa upande mwingine jinsi wanawake wenye hekima na busara wanavyowachukulia wanaume wazuri kua vya wote( sio wote) .
Na hiyo ndio sababu inayopelekea kupata wanawake wa hovyo wasio na directions.. Ila kuwa na subira utapata perfect match wako utafurahia maisha..
Mimi navutiwa na wanaume wa kawaida wale wazuri naona ntateseka sijisifujapo mimi ni kazuri
Ndiyo elimu yakehandsome sio hand same
tatizo lipi au unatest ramli yako kama inafanya kazi?....Huh.!!ni nini iki??kama ndo wewe buddy bas kuna tatizo sehem.
Nadhani Tunakwama kwenye ile barabala ya kuelekea masasi🤔🤔🤔Wakat unakuta kuna madel wakaliii sisi tunakwama wap jman
Kweli mkuuAisee nakubaliana nawewe Ariff..inabidi tuite kikao Tujadili hili.
Mi kila demu ntaemtongoza huwa anajibu " kwa jinsi ulivo huwezi kosa mpenzi" yaani nimejikuta tu fungu la kukosa na nshakata tamaa sitongozi mtu now, naeza kaa ata mwaka sina demu, nishazoeaNashindwa kuelewa kuhusu ili jinamizi linalotukumba sisi ma handsome boys maana tunaongoza kudate na wanawake vimeo wasiokuwa na mvuto kabisa sijui tunakwama wapi aisee!inabidi tuitishe kikao cha dharura kama walichoitisha mabaharia
Chini ya pumb.u mkuu.Sisi legsome tunakomenti wapi![]()