Sisi handsome boys tunakwama wapi?

Sisi handsome boys tunakwama wapi?

Mi kila demu ntaemtongoza huwa anajibu " kwa jinsi ulivo huwezi kosa mpenzi" yaani nimejikuta tu fungu la kukosa na nshakata tamaa sitongozi mtu now, naeza kaa ata mwaka sina demu, nishazoeaha





ndugu name ctak tena kutongza
ova
 
Aiseee
Nashindwa kuelewa kuhusu ili jinamizi linalotukumba sisi ma handsome boys maana tunaongoza kudate na wanawake vimeo wasiokuwa na mvuto kabisa sijui tunakwama wapi aisee!inabidi tuitishe kikao cha dharura kama walichoitisha mabaharia
 
Handsome boy wengi huwa wana amin kwa uzuri walio nao lazima watongozwe na wanawake,Hivo hujikuta wakiishia kushobokewa na wale madem wabovu au majimama.
Tatizo wao huwa wanafikiri handsome boy ni mwanaume mwenye sura nzuri kama ya kike handsome boy ni mwanaume aliyekaa kiume ndo wanawake wanapenda siyo mwanaume umefanana naye!!
 
Wadau wameogopa kuwaambia ukweli,, ni hivi hb hamjui kufanya, hamjui kusaka noti, hamjui kubembeleza mnaita romantic, hamna amsha amsha kiujumla hamshtui hisia za wanawake wengi
 
Tatuta hela... Achana na U Handsome..

UHandsome HAULIPI BILLS...

TAFUTA HELA
TAFUTA HELA
TAFUTA HELA
TAFUTA HELA

"Ukiwa na hela Vingine utaongezewa AUtomatically""
Umenikumbusha hiii picha
255714849930_status_a77ef5f6bd0f4fad82c3279f4f54870c.jpeg
 
aysee hapa nmetoka kwa kazi mbovu yangu inanielewa kinouma ila na m naimanya kiouma maana hakuna ushindan
 
Hmm sasa kwani kuna shida gani sister?Mbona nyie mnajisifiaga ma beautiful...Alaf sio wote hulamba lips kwa mfano mimi hulamba papuchi tu bas.
Kajinga wewe , mwanaume anasifiwa pochi Nene basi, mnajisifia uzuri mtalelewa ohooo, wasalimie hapo Fas ya R, naprint nakuja huko dingilai
 
ukiwa hb tafta demu mzuri mdogo mdogo hawa wakubwa wanatukimbia sana
 
Kama ilivyo kwa mwanamke mzuri ukiwa nae ni kasheshe anaweza kuwa cha ote(sio wote) basi ndo hivyo pia kwa upande mwingine jinsi wanawake wenye hekima na busara wanavyowachukulia wanaume wazuri kua vya wote( sio wote) .
Na hiyo ndio sababu inayopelekea kupata wanawake wa hovyo wasio na directions.. Ila kuwa na subira utapata perfect match wako utafurahia maisha..
Mkuu hapo uliposema inayopelekea kupata wanawake wa hovyo wasio na direction umemaanisha nini..ufafanuzi wako ni muhimu
 
Back
Top Bottom