CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,087
- 23,870
Wadada wananipiga vibuti kila iitwayo leo,najaribu wauliza sababu Hawana sababu Wanasema tu hawawezi kuwa na mimi cause hawataki presha,sikuaga nimeelewa maana yake mpk siku moja nilipokutana na dada mmoja akanambia "D nakupenda ila siwezi kuwa na wewe sababu wanaokutaka kule hostel ni karibia hostel nzima"
Nikamwambia kwani wakinitaka shida iko wapi? akanijibu yeye hawezi wala hayuko tayari gombana na marafiki zake.
From that day nikagundua shida ni haka ka sura ka mama..Ki ukweli nikiorodhesha 5 girls nlotoka nao sura zao ni ngumu zinahitaji matumaini na kutiwa moyo sana,la sivyo sina la kusema.
imefikia hatua saivi sitongozi,huwa nasubiri ataekua na ujasiri wa kuniambia LIVE ndio najua ananipenda ila vyengine vyote vinakukubalia kwa ajili ya show off tu while mwenzao natafuta mahabuba wa maisha.