Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 7,658
- 3,746
Hilo la kizingatiaNi Bora uende nchi za njekwa kafno china ila Kuna kigezoncha umri.
Wazee tu nado wanaosema PhD vyuo vya bongo kwa samia
Hilo la kizingatiaNi Bora uende nchi za njekwa kafno china ila Kuna kigezoncha umri.
Wazee tu nado wanaosema PhD vyuo vya bongo kwa samia
UDOM😂Kuna lecturer wangu mmoja alisema Namnukuu "mimi nilipata kwa tabu sana hii phd yangu alafu wewe ndo uje upate course work kirahisi"
Nakwambia robo tatu ya darasa tulikunja "C" lile somo 🙌
na ndio maana tuko nyuma sanaUDOM😂
Hahahapale ni sehemu ya kuzugia
Lecturer anaona fahari kukufelishana ndio maana tuko nyuma sana
Sio kweli MA pia ni yale yale.... Hasa watu wa FEDIla Masters wako active sana
Hujui unaloliongeaHapo wengi wanaosoma ni wale waajiriwa wa Serikali wanaotafuta vyeti ili wapandishwe vyeo ila kichwani wanakuwa watupu
Duh basi ni hatariSio kweli MA pia ni yale yale.... Hasa watu wa FED
Bado unasumbuliwa tu mkuu, au wamepunguza?Open wanaboa Sana. Niwe mkweli. Mpaka Sasa hivi wanajivuta kama hawataki vile.
Aisee hata mimi ngeyakanyaga wiki ilopita tu nlipita pale kumbe ndio upuuz wao kenge hawaPole sana kiongozi.
Bora umenistua nilitaka niyakanyage.
Kwa hiyo umepotezea 😀?Aisee hata mimi ngeyakanyaga wiki ilopita tu nlipita pale kumbe ndio upuuz wao kenge hawa
sa mkuu niliwe hela zangu bure nichomeshwe mahindi miaka mitatu alafu niishie njiani wakati nishapewa taarifa?...Kweli nlipita pale tena kwenye vile vistationery nliprint hadi document zangu, wamenikosa kenge wale...Kwa hiyo umepotezea 😀?
aende VETA siosuluhisho ni VETA tu
Hahaa noma kakaAisee hata mimi ngeyakanyaga wiki ilopita tu nlipita pale kumbe ndio upuuz wao kenge hawa
hakikaaende VETA sio
Unasemaa!?!hakika
VETA hakuna usumbufu wa mara supervisor ameenda nje, mara ameendq kusahisha mitihani ujerumani... huku ukienda ofisi ukimkosa km ameenda nje basi ameenda tu kukojoa choo cha nje..Bora VETA, Hawa Maprofesa Wana roho za ajabu Sana.
Ungesoma MzumbeKatika makosa niliyofanya katika maisha ni kujiunga na masomo ya PhD pale Open University of Tanzania. Ningelijua ningeeda UDSM. Kwa matatizo ninayopitia sishauri mtu akasome PhD pale OUT.
Chamgamoto nilizopitia ni kama ifuatavyo:
1. Supervisor kutojibu email zangu au hata sms kwa zaidi ya mwaka mmoja.
2. Supervisor kukaa kimya bila kupitia proposal kwa zaidi ya mwaka mzima na Wala hajali. Unamtumia kazi zaidi ya mara kumi ila hajibu na yupo kimya kana kwamba hakujui.
3. Process ya kubadilisha supervisor ni ngumu Sana, unaweza kukaa mwaka mzima unahangaika tu. Nilijaza fomu ya kubadilisha supervisor wakaa kimya, nilipowakomalia wakanipa fomu nyingine, stori ikaishia hapo.
4. Yule mdada au secretary wa ofisi ya post graduate research wa OUT ana dharau Sana. Ukimpigia simu hapokei na hata akipokea akajua ni wewe ana kata simu yako. Yule dada ni shida Sana.
5. Kwa sisi tulioko mikoani ni shida kusoma PhD OUT. Hawajali kabisa. Na ukisema usafiri kwenda huko Dar utazungushwa mpaka uchoke. Nimeenda Dar kituoni kwao pale Biafra ni shida tu hakuna la maana la kunisaidia.
Kutokana na OUT kunisumbua kwa muda wa miaka mitatu huku ada yangu wamekula ila kunisaidia kwao wanaona mzigo au usumbufu kwakweli ni Bora niache kusoma hiyo PhD nifanye mambo mengine. Ila wamenipotezea muda, hiyo miaka mitatu imeenda Bure. Yani miaka mitatu unahangaika na proposal haijawahi kusahishwa hata kusomwa tu na supervisor. Ukienda ofisini kwao Biafra unaambiwa supervisor wako hayupo amesafiri.
7. Kwa kweli OUT mnakatisha tamaa, mtu anakuwa kama hasomi PhD. Kama uwezo wa kusimamia tafiti za wanafunzi wa PhD hapo si mnamwambia mwanafunzi atafute chuo kingine kuliko kupoteza muda wa mtu.