Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,915
- 30,027
Awapiiiiii mie nna mwaka sasa nafuatilia Proposal tu na supervisor amenilebo mkorofi eti Kila nkimpigia anasema atachekiIla Masters wako active sana

Ndugu yangu scholarships za Phd na Masters zipo kibao kwa nini unahsngaika kusoma TanzaniaKatika makosa niliyofanya katika maisha ni kujiunga na masomo ya PhD pale Open University of Tanzania. Ningelijua ningeeda UDSM. Kwa matatizo ninayopitia sishauri mtu akasome PhD pale OUT.
Chamgamoto nilizopitia ni kama ifuatavyo:
1. Supervisor kutojibu email zangu au hata sms kwa zaidi ya mwaka mmoja.
2. Supervisor kukaa kimya bila kupitia proposal kwa zaidi ya mwaka mzima na Wala hajali. Unamtumia kazi zaidi ya mara kumi ila hajibu na yupo kimya kana kwamba hakujui.
3. Process ya kubadilisha supervisor ni ngumu Sana, unaweza kukaa mwaka mzima unahangaika tu. Nilijaza fomu ya kubadilisha supervisor wakaa kimya, nilipowakomalia wakanipa fomu nyingine, stori ikaishia hapo.
4. Yule mdada au secretary wa ofisi ya post graduate research wa OUT ana dharau Sana. Ukimpigia simu hapokei na hata akipokea akajua ni wewe ana kata simu yako. Yule dada ni shida Sana.
5. Kwa sisi tulioko mikoani ni shida kusoma PhD OUT. Hawajali kabisa. Na ukisema usafiri kwenda huko Dar utazungushwa mpaka uchoke. Nimeenda Dar kituoni kwao pale Biafra ni shida tu hakuna la maana la kunisaidia.
Kutokana na OUT kunisumbua kwa muda wa miaka mitatu huku ada yangu wamekula ila kunisaidia kwao wanaona mzigo au usumbufu kwakweli ni Bora niache kusoma hiyo PhD nifanye mambo mengine. Ila wamenipotezea muda, hiyo miaka mitatu imeenda Bure. Yani miaka mitatu unahangaika na proposal haijawahi kusahishwa hata kusomwa tu na supervisor. Ukienda ofisini kwao Biafra unaambiwa supervisor wako hayupo amesafiri.
7. Kwa kweli OUT mnakatisha tamaa, mtu anakuwa kama hasomi PhD. Kama uwezo wa kusimamia tafiti za wanafunzi wa PhD hapo si mnamwambia mwanafunzi atafute chuo kingine kuliko kupoteza muda wa mtu.
Aaah mbinu ya kumpa rushwa si ndio.Una E-mail ya huyo supervisor mwanangu? Kama unayo nijibu nkupe mbinu pm.
VETA hakuna degrees lakini. Watu tunatafuta degrees ili tupate fursa mbalimbali. VETA utabaki kama abavyo ulikuwa kabla hujaendaBora VETA, Hawa Maprofesa Wana roho za ajabu Sana.
Angalia hapa Kuna mawili.Ninayo Email yake huyo Dr asiyejali.
Mmmh mkuu fafanua hii. Unamrengrnrzea vipiMkuu sijui unafeli wapi? Unasoma PhD na unalalamika upo serious kweli? Unafikiri supervisor wanakula email?
Tengeneza na weka mazingira supervisor wako akutambue na siku moja moja akupigie simu akijidai amekosea au anataka kukusalimia tu!
Kumbe ni dokta.Ninayo Email yake huyo Dr asiyejali.
Hivi kweli mtu unatoa ada yako kwenda kusoma open university ya Tanzania, kile chuo ni cha wazee wa vitengo serikalini na bungeni kwaajili ya kustaafu na position nzuri au heshima, hata kazi kuna ambazo zikitangazwa hawataki kabisa waliosoma long distance learning kwa sababu inajulikana hakuna kinachosomwa huko zaidi ya kununua vyeti...by the way huyo secretary ni mchepuko wa nani hadi apate kiburi hivyo, jumatano nikachukue joining instruction yakimagumanishi nimwone tu 😀Katika makosa niliyofanya katika maisha ni kujiunga na masomo ya PhD pale Open University of Tanzania. Ningelijua ningeeda UDSM. Kwa matatizo ninayopitia sishauri mtu akasome PhD pale OUT.
Chamgamoto nilizopitia ni kama ifuatavyo:
1. Supervisor kutojibu email zangu au hata sms kwa zaidi ya mwaka mmoja.
2. Supervisor kukaa kimya bila kupitia proposal kwa zaidi ya mwaka mzima na Wala hajali. Unamtumia kazi zaidi ya mara kumi ila hajibu na yupo kimya kana kwamba hakujui.
3. Process ya kubadilisha supervisor ni ngumu Sana, unaweza kukaa mwaka mzima unahangaika tu. Nilijaza fomu ya kubadilisha supervisor wakaa kimya, nilipowakomalia wakanipa fomu nyingine, stori ikaishia hapo.
4. Yule mdada au secretary wa ofisi ya post graduate research wa OUT ana dharau Sana. Ukimpigia simu hapokei na hata akipokea akajua ni wewe ana kata simu yako. Yule dada ni shida Sana.
5. Kwa sisi tulioko mikoani ni shida kusoma PhD OUT. Hawajali kabisa. Na ukisema usafiri kwenda huko Dar utazungushwa mpaka uchoke. Nimeenda Dar kituoni kwao pale Biafra ni shida tu hakuna la maana la kunisaidia.
Kutokana na OUT kunisumbua kwa muda wa miaka mitatu huku ada yangu wamekula ila kunisaidia kwao wanaona mzigo au usumbufu kwakweli ni Bora niache kusoma hiyo PhD nifanye mambo mengine. Ila wamenipotezea muda, hiyo miaka mitatu imeenda Bure. Yani miaka mitatu unahangaika na proposal haijawahi kusahishwa hata kusomwa tu na supervisor. Ukienda ofisini kwao Biafra unaambiwa supervisor wako hayupo amesafiri.
7. Kwa kweli OUT mnakatisha tamaa, mtu anakuwa kama hasomi PhD. Kama uwezo wa kusimamia tafiti za wanafunzi wa PhD hapo si mnamwambia mwanafunzi atafute chuo kingine kuliko kupoteza muda wa mtu.
mwaka unafatilia ?Awapiiiiii mie nna mwaka sasa nafuatilia Proposal tu na supervisor amenilebo mkorofi eti Kila nkimpigia anasema atacheki
kwamba watakuwa wengiKumbe ni dokta.
Nilidhani Prof. Dokta hataki upate udokta mtakuwa wengi.
Katika makosa niliyofanya katika maisha ni kujiunga na masomo ya PhD pale Open University of Tanzania. Ningelijua ningeeda UDSM. Kwa matatizo ninayopitia sishauri mtu akasome PhD pale OUT.
Chamgamoto nilizopitia ni kama ifuatavyo:
1. Supervisor kutojibu email zangu au hata sms kwa zaidi ya mwaka mmoja.
2. Supervisor kukaa kimya bila kupitia proposal kwa zaidi ya mwaka mzima na Wala hajali. Unamtumia kazi zaidi ya mara kumi ila hajibu na yupo kimya kana kwamba hakujui.
3. Process ya kubadilisha supervisor ni ngumu Sana, unaweza kukaa mwaka mzima unahangaika tu. Nilijaza fomu ya kubadilisha supervisor wakaa kimya, nilipowakomalia wakanipa fomu nyingine, stori ikaishia hapo.
4. Yule mdada au secretary wa ofisi ya post graduate research wa OUT ana dharau Sana. Ukimpigia simu hapokei na hata akipokea akajua ni wewe ana kata simu yako. Yule dada ni shida Sana.
5. Kwa sisi tulioko mikoani ni shida kusoma PhD OUT. Hawajali kabisa. Na ukisema usafiri kwenda huko Dar utazungushwa mpaka uchoke. Nimeenda Dar kituoni kwao pale Biafra ni shida tu hakuna la maana la kunisaidia.
Kutokana na OUT kunisumbua kwa muda wa miaka mitatu huku ada yangu wamekula ila kunisaidia kwao wanaona mzigo au usumbufu kwakweli ni Bora niache kusoma hiyo PhD nifanye mambo mengine. Ila wamenipotezea muda, hiyo miaka mitatu imeenda Bure. Yani miaka mitatu unahangaika na proposal haijawahi kusahishwa hata kusomwa tu na supervisor. Ukienda ofisini kwao Biafra unaambiwa supervisor wako hayupo amesafiri.
7. Kwa kweli OUT mnakatisha tamaa, mtu anakuwa kama hasomi PhD. Kama uwezo wa kusimamia tafiti za wanafunzi wa PhD hapo si mnamwambia mwanafunzi atafute chuo kingine kuliko kupoteza muda wa mtu.
Kuna PhD by thesis hii huingii darasani fulltime, ila by coursework ndo full time darasaniSasa kama UDSM - si itabidi uingie full time?
Angalia hapa Kuna mawili.
Unaweza kuwa inatafutwa wewe Nani wakukomoe kabisa au kweli utasaidiwa.
Pole sana mkuu, japo naamini umefanya maamuzi bora kwa future na malengo yako👏🏼Nimeamua kuhama mazima. Nimekubali kuwaachia ada.