Sishauri mtu kusoma PhD OUT

Sishauri mtu kusoma PhD OUT

UDSM wamebadilika kwa Sasa. Kuna system ya kumonitor masupervisor sio kama OUT. Unafunga safari na kwenda pale Biafra unaambiwa supervisor wako yupo nje ya nchi subiri akirudi. Unakaa miezi SITA ukirudi Tena unaambiwa yupo Kanda ya ziwa ameenda kusimamia mitihani. Ni shida tu OUT tukubali.
Sasa kama UDSM - si itabidi uingie full time?
 
Kuna lecturer wangu mmoja alisema Namnukuu "mimi nilipata kwa tabu sana hii phd yangu alafu wewe ndo uje upate course work kirahisi"
Nakwambia robo tatu ya darasa tulikunja "C" lile somo 🙌
Aina ya ma lecturer tulio nao , wanataka kuona wanafunzi wanateseka, ka wao walivyopata shida wakati wanafunzi. Badala wa muwezeshe mwanafunzi ku gain credible knowledge, wao wanataka ateseke?

Kuna todauti kubwa sana na vyuo vya UK na hapa. Dunia mbili tofauti kabisa
 
Back
Top Bottom