Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 6,978
- 10,367
Elimu ya bongo kukomoana
Baada ya ujio wa chatgpt sasa Phd huko wameifinya kuwa ya miaka 2 tu tosha......Nimesikia malalamiko sana, hizi mambo wanafanya masupervisor wa Bongo tu au ni utaratibu hata waliosoma ughaibuni wanapitia?
SafiBaada ya ujio wa chatgpt sasa Phd huko wameifinya kuwa ya miaka 2 tu tosha......
Hahaha asee!Out hakuna shule pale,ni chaka la wapenda dezo tu
Hata udsm tawi la Duce,nina Kaka yangu ana mwaka wa tatu anazinguana na Dr......japo yeye anasoma Masters lakini upuuzi uliopo bora ulime matikiti tu maana amepotezewa muda sana..... Supervisors wa vyuo vyetu hasa kwenye research department ni miungu watu,wana upuuzi mwingi sana.Pole sana mkuuKatika makosa niliyofanya katika maisha ni kujiunga na masomo ya PhD pale Open University of Tanzania. Ningelijua ningeeda UDSM. Kwa matatizo ninayopitia sishauri mtu akasome PhD pale OUT.
Chamgamoto nilizopitia ni kama ifuatavyo:
1. Supervisor kutojibu email zangu au hata sms kwa zaidi ya mwaka mmoja.
2. Supervisor kukaa kimya bila kupitia proposal kwa zaidi ya mwaka mzima na Wala hajali. Unamtumia kazi zaidi ya mara kumi ila hajibu na yupo kimya kana kwamba hakujui.
3. Process ya kubadilisha supervisor ni ngumu Sana, unaweza kukaa mwaka mzima unahangaika tu. Nilijaza fomu ya kubadilisha supervisor wakaa kimya, nilipowakomalia wakanipa fomu nyingine, stori ikaishia hapo.
4. Yule mdada au secretary wa ofisi ya post graduate research wa OUT ana dharau Sana. Ukimpigia simu hapokei na hata akipokea akajua ni wewe ana kata simu yako. Yule dada ni shida Sana.
5. Kwa sisi tulioko mikoani ni shida kusoma PhD OUT. Hawajali kabisa. Na ukisema usafiri kwenda huko Dar utazungushwa mpaka uchoke. Nimeenda Dar kituoni kwao pale Biafra ni shida tu hakuna la maana la kunisaidia.
Kutokana na OUT kunisumbua kwa muda wa miaka mitatu huku ada yangu wamekula ila kunisaidia kwao wanaona mzigo au usumbufu kwakweli ni Bora niache kusoma hiyo PhD nifanye mambo mengine. Ila wamenipotezea muda, hiyo miaka mitatu imeenda Bure. Yani miaka mitatu unahangaika na proposal haijawahi kusahishwa hata kusomwa tu na supervisor. Ukienda ofisini kwao Biafra unaambiwa supervisor wako hayupo amesafiri.
7. Kwa kweli OUT mnakatisha tamaa, mtu anakuwa kama hasomi PhD. Kama uwezo wa kusimamia tafiti za wanafunzi wa PhD hapo si mnamwambia mwanafunzi atafute chuo kingine kuliko kupoteza muda wa mtu.
Shida inakuwaga ni nini? Wanataka kibunda au wanataka na wewe upitie shida walizopitiaHata udsm tawi la Duce,nina Kaka yangu ana mwaka wa tatu anazinguana na Dr......japo yeye anasoma Masters lakini upuuzi uliopo bora ulime matikiti tu maana amepotezewa muda sana..... Supervisors wa vyuo vyetu hasa kwenye research department ni miungu watu,wana upuuzi mwingi sana.Pole sana mkuu
Yes ni watu wa rushwa kinyamaaaShida inakuwaga ni nini? Wanataka kibunda au wanataka na wewe upitie shida walizopitia
Uko sahihi, nakumbuka Dr Kadeghe alikuwa anafundisha COMMUNICATION SKILLS UDSM,kwake wanafunzi wengi kufail ndiyo alikuwa anaona sifa fala yule,unakutana Prof Mukandala kwenye course yake anakwambia only 60% will pass this course,40% Supplementary and 20% will carry this course,halafu huyo ndiyo alikuwa VC..........Elimu ya bongo kukomoana
Hapo nimekuelewaYes ni watu wa rushwa kinyamaaa
Aisee!Uko sahihi, nakumbuka Dr Kadeghe alikuwa anafundisha COMMUNICATION SKILLS UDSM,kwake wanafunzi wengi kufail ndiyo alikuwa anaona sifa fala yule,unakutana Prof Mukandala kwenye course yake anakwambia only 60% will pass this course,40% Supplementary and 20% will carry this course,halafu huyo ndiyo alikuwa VC..........
Kuna watu wanaenda kudai PhD zao mahakamani ndio wanapataHapo nimekuelewa
Anatakiwa kufika bei !unafikiri Kwa njaa za walimuUna E-mail ya huyo supervisor mwanangu? Kama unayo nijibu nkupe mbinu pm.
hahahaAnatakiwa kufika bei !unafikiri Kwa njaa za walimu
utatoboa!!?
Hata UDSM labda hujui vizuriKatika makosa niliyofanya katika maisha ni kujiunga na masomo ya PhD pale Open University of Tanzania. Ningelijua ningeeda UDSM. Kwa matatizo ninayopitia sishauri mtu akasome PhD pale OUT.
Chamgamoto nilizopitia ni kama ifuatavyo:
1. Supervisor kutojibu email zangu au hata sms kwa zaidi ya mwaka mmoja.
2. Supervisor kukaa kimya bila kupitia proposal kwa zaidi ya mwaka mzima na Wala hajali. Unamtumia kazi zaidi ya mara kumi ila hajibu na yupo kimya kana kwamba hakujui.
3. Process ya kubadilisha supervisor ni ngumu Sana, unaweza kukaa mwaka mzima unahangaika tu. Nilijaza fomu ya kubadilisha supervisor wakaa kimya, nilipowakomalia wakanipa fomu nyingine, stori ikaishia hapo.
4. Yule mdada au secretary wa ofisi ya post graduate research wa OUT ana dharau Sana. Ukimpigia simu hapokei na hata akipokea akajua ni wewe ana kata simu yako. Yule dada ni shida Sana.
5. Kwa sisi tulioko mikoani ni shida kusoma PhD OUT. Hawajali kabisa. Na ukisema usafiri kwenda huko Dar utazungushwa mpaka uchoke. Nimeenda Dar kituoni kwao pale Biafra ni shida tu hakuna la maana la kunisaidia.
Kutokana na OUT kunisumbua kwa muda wa miaka mitatu huku ada yangu wamekula ila kunisaidia kwao wanaona mzigo au usumbufu kwakweli ni Bora niache kusoma hiyo PhD nifanye mambo mengine. Ila wamenipotezea muda, hiyo miaka mitatu imeenda Bure. Yani miaka mitatu unahangaika na proposal haijawahi kusahishwa hata kusomwa tu na supervisor. Ukienda ofisini kwao Biafra unaambiwa supervisor wako hayupo amesafiri.
7. Kwa kweli OUT mnakatisha tamaa, mtu anakuwa kama hasomi PhD. Kama uwezo wa kusimamia tafiti za wanafunzi wa PhD hapo si mnamwambia mwanafunzi atafute chuo kingine kuliko kupoteza muda wa mtu.
Vipi majirani zetu wanahizi mambo pia?Hata UDSM labda hujui vizuri
Ni Bora uende nchi za nje kwa kafno china ila Kuna kigezo cha umri.Vipi majirani zetu wanahizi mambo pia?